Zitto Kabwe na ujumbe wake watua Ulaya, shughuli imeanza rasmi

Yale yale ya Maalim sefu Alienda Marekani
Akaishia kujipigia tupicha ukumbini
Upinzani wa tanzania
Aliye waroga kisha kufa na dawa yake
Full Kucheza na Akili za Vibendera wao hovyo

Umejisahaulisha wewe mwenyewe ulikua mpiga debe wa ACT humu JF?

Wewe aliyekuroga dawa zake zili expire sio?

dodge
 
Hopeless comment! Subiri baada ya October utajua na wewe ukileta cha kuleta utajua kama maharage ni mboga!
Childish mentality. Hakuna anayetisha watu yeye akabaki salama. Akina Samuel Doe, Muamar Gaddafi, Saddam Hussein (Rip) laiti kama wangekuwepo, wangetupa ushuhuda, tena mzuri tu.

History is not on the side of those tyrants who live by the sword, refer Matthew 26:52
 
View attachment 1338320

Tayari Mh Zitto Kabwe na ujumbe wake wameanza kazi iliyowapeleka Ulaya , wameishakutana na Makundi kadhaa ya watetezi wa haki za binadamu kwa lengo la kunusuru demokrasia ya Tanzania .

Sisi wapenda haki na demokrasia ambao ni Wazalendo wa kutupwa tuko tayari kuunga mkono juhudi zozote zinazofanywa ili kuunganisha nchi iliyogawanywa makusudi na watu waoga
Asiache kupita World Bank kuhakikisha jamaa hapati ule mkopo asilani.. maana anaweza kupewa mkopo wa Elimu, kichaa chake kikamtuma akaagiza Mindege.
 
Takataka. Unafikiri hii nchi ni ya baba yako. Bogus.
.
IMG_20200129_093605.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaitaji watu zaidi kama Zitto katika nchi..., wote hatuwezi kuwa na mawazo sawa na wale wenye mawazo tofauti na sisi ndio chachu ya maendeleo na sio wale wanaokubaliana na lolote tunaloliona ni sawa..., Tuwafundishe vijana wate kuwa na misimamo yao na kuisimamia misimamo yao no matter wangapi wanakubaliana nao.
 
OK noted

Tuache ushabiki kwa waliosoma zamani, Hivi lini mwanafunzi aliyepata mimba alirudi darasani tukasoma nae tena, Wengi waliacha kimya kimya

Mambo yalikuwa kimya kimya Sana, Tatizo la sasa watoto wanajua kuoga na kupendeza mambo ya Dot. COM Haya

Wanafunzi wanajipenda na kupendeza kuliko Mama zao wanaowalipia ada Unategemea boga litabaki boga lazima ua lipendwe

Serikali ikishapitisha sheria rasmi wengi watatoa ahadi kuwalipia ada hao wanafunzi
Usipotishe, wapo... namfahamu mmoja alisoma Songea Girls akapata mimba akiwa foem two. Akalea kwa mida mfupi akahamia Peramiho girls akamaliza. Sasa ni mwalimu huko Songea
 
Tunaitaji watu zaidi kama Zitto katika nchi..., wote hatuwezi kuwa na mawazo sawa na wale wenye mawazo tofauti na sisi ndio chachu ya maendeleo na sio wale wanaokubaliana na lolote tunaloliona ni sawa..., Tuwafundishe vijana wate kuwa na misimamo yao na kuisimamia misimamo yao no matter wangapi wanakubaliana nao.
Kwa kusaliti watanzania wenzako???too low eti kwa sababu hana nasaba na JPM chuki zake hazina mashiko
 
Kwa kusaliti watanzania wenzako???too low eti kwa sababu hana nasaba na JPM chuki zake hazina mashiko
Usaliti ni nini ?, na Anawasaliti kwenye nini ?
Hakuna jambo baya duniani kama kuisaliti nafsi yako, wewe unachokiona kinafaa binafsi..

Kwahio hata kama wewe unaona ndugu zako wanapotoka (hata kama sio kweli ila kwa maono yako unaona ni hivyo) je uendelee kutetea upotofu wao kwa minaajili ya kwamba ni ndugu zako ndio wanafanya huo upotofu...

Na sisi ndugu zake kama tunajiamini tunachofanya ni sawa tuonaogopa nini so called uongo wake ?, si tumuache tu na kumpuuza kuliko kuita kila analofanya ni usaliti so long as ni tofauti na sisi fikra zetu...

All in all Kudos kwa msimamo wake no matter anasimamia wapi... na tuache hizo propaganda za kuita watu wasaliti badala ya kupingana na hoja inayoongelewa
 
View attachment 1338320

Tayari Mh Zitto Kabwe na ujumbe wake wameanza kazi iliyowapeleka Ulaya , wameishakutana na Makundi kadhaa ya watetezi wa haki za binadamu kwa lengo la kunusuru demokrasia ya Tanzania .

Sisi wapenda haki na demokrasia ambao ni Wazalendo wa kutupwa tuko tayari kuunga mkono juhudi zozote zinazofanywa ili kuunganisha nchi iliyogawanywa makusudi na watu waoga
Kaenda kusiliba mkopo wa shule, mwanangu akikosa Ada ninae?
 
Hao watu wasiozidi 10 sio viongozi bali ni jumuiya kwa ujumla wake ya watanzania nchini Uingereza ambao wengi ni "Wapemba waliojilipua"!

Kwa kukusaidia, Jumuiya ya watanzania nchini Uingereza kwa ujumla ni wanaCCM ndio maana waliohudhulia hawafiki hata 10!

Huoni hata ukumbi mzuri wameshindwa kukodi badala yake wanafanyia mkutano kwenye one bedroom ya Council house/Housing Association!

By the way, hivi ziara za Maalim Seif ziliishia wapi?

Ama kweli ukitaka kusikia tena kichekesho hiki andika message ''Zitto UK'' na utume kwa ACT-Wazalendo!
 
Back
Top Bottom