OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
ha ha., sasa hapo ukipata nafasi ya kuzungumza na zitto muulize atakuelezea., lakini ndivyo alivyo andika kwenye thread yake ile.. ila nadhani point ya msingi pale ni kwamba aliomba radhi tena mara mbili kwa makosa aliyo mfanyia marehemu.
Kama mjadala umefungwa, mbona viongozi wanaendelea kutoa matamko na wanasambaza ripoti ya siri juunya zitto kabwe
DISCLAIMER
Beware the phrases you are about to read below are very sweet to read but deadly to believe. It is a spinning document written by the masters of deceptions branded as Character X. - Mandela.
KubwajingaMbowe analijua hilo la uwezo mkubwa wa Zitto na linamtia woga sana, maana nyota ya Zitto inaongezeka kung'ara wakati ya kwake inaonekana imeshachokwa. Tatizo ni kuwa, kwa Mbowe, CHADEMA ni sawa na Bilcanas, yaani ni mali ya familia na hayuko tayari kuiachia mtu mwingine nje ya familia aiongoze.
Wewe unachotaka nikutuumiza vichwa kuwaza ujinga wa Zitto amaonewa hajaonewa atajua mwenyewe na waliomtuma kikubwa ni kwamba atupishe njia,kama itatokea tukakwama tutamtafuta kwani anakufa akifukuzwa Chadema?
Zitto out!
Soma Nipashe ya terehe 26/11/2013, ujue usaliti wa ZZK
Ndugu yangu niliiona hiyo pia kipindi flani kilichopita., Mwingulu akaulizwa na akasema ni uzushi mtupu, lakini haiondoi uwezekano wa hayo kuwa kweli, chombo kilicho na nguvu ya kusema ukweli halisi hasa inapokuja kwenye maswala ya kimawasiliano ya namna hii ni mamlaka ya mawasiliano, na hao ndio wenye taarifa hizi kwa uasilia wake, lakini wamekaa kimya,. na kama CHADEMA tunadhani tunahujumiwa mimi nadhani tulitakiwa kubisha hodi huko nakupata maelezo sahihi na ukweli wa habari hizi kitu ambacho sijui kama kimefanyika.
lakini kabla Mamlaka hiyo haija sema wazi nini ukweli wa taarifa hizi basi bado si authority sahihi kujengea hoja wala kufanyia maamuzi.
nimtazamo wangu.
Wastaarabu wanajua hilo..si kila kimkutacho adui utapenda kitangazwe hadharani..Hapa ndio huwa siwaamini sasa na.kuwaona kama.wanafiki nyie hao hao mnamuita muhaini na msaliti halafu moto umekolea sasa tunataka kujua A to Z mnaanza ngonjera za kukata mjadala sababu mnazuia kumdhalilisha zaidi eti...double standard you!!!!!
Kama ni msaliti beyond reasonable doubts na ni muhaini why the hell do you care sparing him????!!!!!Huu ni unafiki wa hali ya juu sana na nyie ndio wasaliti wa Taifa sababu mnamtoa kwenye chama sababu hamumuamini lakini mnataka umma umuamini na kumuheshimu!!!!!! How do you draw this thin line????!!!!
You can not be this smart not to be caught of guard;come.out clean or shut the gob up and we close the session you dudes spin this shet for long now,this Nation deserve some respects despite the fact that you now run the sphere but never undermine peoples capacity to think and straighten facts!!!!!
Kwa mtazamo wangu ZZK is no longer a truly revolutionary and focused politician to depend on. Mimi ni mtz nayefanya kazi ktk shirika kubwa hapa nchini. Kwa maoni ya wafanyakazi wenzangu wengi ZZK hana tena ushawishi kama zamani kutoka na mtazamo wa watu mbalimbali. Kwa ufupi ZZK haelewi kwa maana hiyo ana madhara/impact kidogo sana hata akifukuzwa uanachama. Ila Ushauri wangu kwa CDM ni kuwa ZZK apewe onyo kali na aendelee kama mwanachama wa kawaida kwa sababu he is no longer entrusted member kupewa majukumu ya uongozi ndani ya CDM. To me anamuona ZZK kama mtz mwingine mbali na sifa nyingi anazopewa na magazeti. Maana kwa tz kuwa maarufu huitaji kufanya jambo kubwa sanaaaa ila ni pale utakapoweza kucheza na vyombo vya habari. That is it.
Wastaarabu wanajua hilo..si kila kimkutacho adui utapenda kitangazwe hadharani..
Wastaarabu wanajua hilo..si kila kimkutacho adui utapenda kitangazwe hadharani..
Character X
The issue here sio mtazamo wa wafanyakazi wenzangu huko valid kiasi gani. Huu ndio ukweli kwa watz wasiokuwa wanachama halisi. Vyama vinatakiwa kuwekeza ktk wapenda mageuzi kuliko watu wanaojifanya kuvaa magwanda kumbe ni nyoka. Unachotakiwa kutambua ni kwamba watz wengi hasa wasomi/wafanyakazi serikalini na kwenye private sectors hatuko active kwenye siasa za kila siku lkn we are watching the tanzanian political games very close. Unachotakiwa kujua ni kwamba wanachama wenye kadi za vyama vyote hivi yaani ccm, cdm, cuf, nccr na nk. ni asilimia ndogo sana ukicompare na idadi ya watz wasiokuwa na kadi za vyama more than 45 milion. For your information ccm, yenye more than 50 years ktk game tangu kuanzishwa kwake tangu enzi za TANU haina zaidi ya wanachama zaidi hata million sita. Hii inamaana kuwa usiogope hizo kelele zinazotokea sijui lindi m/kiti kajiuzuru, sijui arusha, sijui singida!!! Upinzani imara ulisababishwa na cdm kwa ccm ni jambo muhimu kwa maendeleo ya taifa letu bila kuwa na magomvi yoyote.
Kuhusu, tuhuma za ZZK kama ni kweli au la, hii sio kazi yetu. CDM ni taasisi huru inayojiendesha kwa utaratibu na sheria waliojiwekea. Sio haki hata kidogo mimi mwananchi asiye na kadi ya cdm kuquestion maamuzi halali ya chama. Hii ni fujo. Wangapi ktk vyama wamefutiwa hadi uanachama na hakuna kelele. Umesahau ya Mhe. Mansour wa zanzibar kwa kutoa mawazo tu ya kutaka serikali tatu ktk mchakato halali wa katiba mpya. Kwa maoni yangu ZZK na wenzake walistahili adhabu kali sana ili kuleta nidhamu ndani ya vyama.
ha ha ha., i still laugh each time i go through this!., - "Mandela"