Character X
The issue here sio mtazamo wa wafanyakazi wenzangu huko valid kiasi gani. Huu ndio ukweli kwa watz wasiokuwa wanachama halisi. Vyama vinatakiwa kuwekeza ktk wapenda mageuzi kuliko watu wanaojifanya kuvaa magwanda kumbe ni nyoka. Unachotakiwa kutambua ni kwamba watz wengi hasa wasomi/wafanyakazi serikalini na kwenye private sectors hatuko active kwenye siasa za kila siku lkn we are watching the tanzanian political games very close. Unachotakiwa kujua ni kwamba wanachama wenye kadi za vyama vyote hivi yaani ccm, cdm, cuf, nccr na nk. ni asilimia ndogo sana ukicompare na idadi ya watz wasiokuwa na kadi za vyama more than 45 milion. For your information ccm, yenye more than 50 years ktk game tangu kuanzishwa kwake tangu enzi za TANU haina zaidi ya wanachama zaidi hata million sita. Hii inamaana kuwa usiogope hizo kelele zinazotokea sijui lindi m/kiti kajiuzuru, sijui arusha, sijui singida!!! Upinzani imara ulisababishwa na cdm kwa ccm ni jambo muhimu kwa maendeleo ya taifa letu bila kuwa na magomvi yoyote.
Kuhusu, tuhuma za ZZK kama ni kweli au la, hii sio kazi yetu. CDM ni taasisi huru inayojiendesha kwa utaratibu na sheria waliojiwekea. Sio haki hata kidogo mimi mwananchi asiye na kadi ya cdm kuquestion maamuzi halali ya chama. Hii ni fujo. Wangapi ktk vyama wamefutiwa hadi uanachama na hakuna kelele. Umesahau ya Mhe. Mansour wa zanzibar kwa kutoa mawazo tu ya kutaka serikali tatu ktk mchakato halali wa katiba mpya. Kwa maoni yangu ZZK na wenzake walistahili adhabu kali sana ili kuleta nidhamu ndani ya vyama.