Zitto Kabwe More Than Meets the Eye!

Zitto is wiser than that., hawezi kufanya hivyo hataingekuwa kweli ataondoka Chadema., lakini kwakua sijui ya ndani mwa moyo wake, niseme tu yakitokea hayo nitakuwa verily verily disappointed in Zitto and in siasa za Tanzania.,

Km umefuatialia kwa makini mara chache alizopanda jukwaani utaona yaliyoanza mponyoka......utaona pressure in him na disperation iliyopo ndani yake,huku akizungukwa na washauri waliojaa ego.Ni wazi zinapokaribia siku 14 michango ya watu,na kujitazama ndani kunaweza mchanganya sana.Akijitazama na kuangalia kwa mapana nini kimemfikisha hapo..nini kimemwondolea enzi aliyokuwa akipendwa na kuabudiwa na vijana,siku kila mtu alilia naye alipohukumiwa na CCM kwa hoja ya mudhihir mudhihir...siku hata mimi nilipasua simu yangu kwa hasira ya makelele ya magamba, huku batilda burian akimmalizia....Dr.Slaa akajitahidi sana kujuia lile likawa gumu,akachagua option ya kushauri kupunguza adhabu bado magmba km nyumbu wakaongozana.Ilikuwa ni days of grace kwa Zitto.Hakika km angekuwa na maadili ya familia mazuri Zitto angesurvive fame.Asingekwenda out of his ways.

Zitto ktk siku 14 au baadaye kidogo atakuwa mtu w aajabu sana.Yetu macho....atajiuliza nini angekosa km asingeingia ktk mitego ya ajabu,atajifunza kwanini aliamua jificha ktk udini,ukabila, kiburi ya elimu ambayo bado ni ya kawaida na kudharau wengine?Ni vipi sasa ataweza jidai kuwa mtetezi w ahaki za wanyonge km wasio na elimu kwake hawastahili pita ktk mapito ayatakayo.?

Believe me kuna vitu hata mimi binfasi niliwahi vipuuza ,ila siku ya graduation walipopokea wenzangu nilianza amka sana.Niliona kuwa sikuwa responsible enough ktk maisha yangu.
 
Sijui ukweli wa haya unayoyasema., yanaweza kuwa mawazo yake tu, lakini yanaweza kuwa kweli, only, when it comes to judging someone its important to make use of information that is assured beyond resonanle doubt, ninginevyo hatari.

Wanasheria watakuambia "ni bora kufanya makosa ukamuachilia huru mtu aliye uwa, kuliko kufanya makosa ukamuhukumu kunyongwa mtu asiye na hatia ".

Sasa huyu Zitto mara zote atakuwa anasingiziwa yeye tu; ilishasemwa kuwa alikuwa amepata mshiko na ndio maana alikuwa anatetea kuhusu mitambo ya Dowans kununuliwa na serikali; akahusishwa na wabunge waliokula hongo kwenye kashfa ya Tanesco na pia alihusishwa na kula hongo ili kutetea kuongezwa muda kwa shirika la CHC [ Consolodated Holding Corporation]. Sasa kama kila siku mtu anatuhumiwa ni lazima kutakuwa na chembechembe za ukweli!!!
 
mkuu nakufuatilia sana threads zako, and i can now see you falling trend!
Hivi kweli unadhani kuna viongozi ndani ya CCM wanataka kuiona CHADEMA ikistawi?

Zitto anatetewa na hawa magamba kwasababu ndio nguzo yao kuu ya kuitumia kuivuruga Chadema hivyo akiondoka ndio mwisho wa mbinu yao kuu; sasa kama wanaona hatendewi haki si wamchukue halafu wao ndio wamtendee haki!!!
 
Cha kuudhi katika sakata hili,wapo ambao UTII wao upo si kwa sababu wanaamin itikadi au maono ya viongozi wao bali kwa sababu MATUMBO yao na mifuko yanawategemea watu hawa.hivyo wamekua watetezi wa kimaslai zaid,siku minofu hiyo ikikatwa watatafuta mahali pengine pa kuegememea
 
Km umefuatialia kwa makini mara chache alizopanda jukwaani utaona yaliyoanza mponyoka......utaona pressure in him na disperation iliyopo ndani yake,huku akizungukwa na washauri waliojaa ego.Ni wazi zinapokaribia siku 14 michango ya watu,na kujitazama ndani kunaweza mchanganya sana.Akijitazama na kuangalia kwa mapana nini kimemfikisha hapo..nini kimemwondolea enzi aliyokuwa akipendwa na kuabudiwa na vijana,siku kila mtu alilia naye alipohukumiwa na CCM kwa hoja ya mudhihir mudhihir...siku hata mimi nilipasua simu yangu kwa hasira ya makelele ya magamba, huku batilda burian akimmalizia....Dr.Slaa akajitahidi sana kujuia lile likawa gumu,akachagua option ya kushauri kupunguza adhabu bado magmba km nyumbu wakaongozana.Ilikuwa ni days of grace kwa Zitto.Hakika km angekuwa na maadili ya familia mazuri Zitto angesurvive fame.Asingekwenda out of his ways.

Zitto ktk siku 14 au baadaye kidogo atakuwa mtu w aajabu sana.Yetu macho....atajiuliza nini angekosa km asingeingia ktk mitego ya ajabu,atajifunza kwanini aliamua jificha ktk udini,ukabila, kiburi ya elimu ambayo bado ni ya kawaida na kudharau wengine?Ni vipi sasa ataweza jidai kuwa mtetezi w ahaki za wanyonge km wasio na elimu kwake hawastahili pita ktk mapito ayatakayo.?

Believe me kuna vitu hata mimi binfasi niliwahi vipuuza ,ila siku ya graduation walipopokea wenzangu nilianza amka sana.Niliona kuwa sikuwa responsible enough ktk maisha yangu.

I don't know,. Theres much i dont know about everything thats going on in chadema,. Its seems things aren't the way they seem from the outside., I don't know,. I have heard much but am not sure of anything., you may have a point, lets wait for the 14 days to elapse.,

Lakini unadhani kwamaoni yako au kama ungalikua na nafasi ya ushawishi kwa chombo chenye mamlaka ya kuamua juu ya hatma ya zitto pertaining to this case, unadhani ungeshauri afukuzwe uwanachama chadema??
 
Sasa huyu Zitto mara zote atakuwa anasingiziwa yeye tu; ilishasemwa kuwa alikuwa amepata mshiko na ndio maana alikuwa anatetea kuhusu mitambo ya Dowans kununuliwa na serikali; akahusishwa na wabunge waliokula hongo kwenye kashfa ya Tanesco na pia alihusishwa na kula hongo ili kutetea kuongezwa muda kwa shirika la CHC [ Consolodated Holding Corporation]. Sasa kama kila siku mtu anatuhumiwa ni lazima kutakuwa na chembechembe za ukweli!!!

Ndugu yangu singependa nionekane namtetea sana Zitto., ila wanasema mnyoge mnyongeni haki yake mpeni.
Kuhusu swala la ununuzi wa mitambo ya dowans nikweli zitto alishauri inunuliwe, na hakatai hilo lakini, alishauri hivyo baada ya kupiga hesabu jamani., alipega hesabu akaona mitambo ile garama imeshaingiwa kubwa sana na wale jamaa walikuwa tayari kuiuza mitambo ile kwa bei karibu na bure! Mh. Zitto akasema kwa bei hii ni bora tuinunue hii mitambo., watu wakasema kapewa hongo, matokeo yake mitambo ile ikanunuliwa na jamaa wengine na baada ya muda ikabadilishwa jina mitambo ile ile ikaja kuzinduliwa na president Obama na sasa seeikali ina ikodisha tena kwa mabilioni ya shilingi kwa jamaa hao.,
Kwa maneno mengine, laiti serikali ingali sikiza ushauri wa zitto, ile mitambo sasa ingekuwa Mali ya serikali na tusinge kua tuna lipa mamilioni kila mwezi kwa mitambo kama ile.
 
nimeipenda hiyo thread hapo mwanzoni lakini hutaki kukubali kwamba njia ya kufukuzana kwa viongozi wa juu ni kuongeza maadui badala ya kupunguza maadui, na kuongeza marafiki.
 
nadhani tuiite kuwajibishana., na kuwajibishana ndio utaratibu sahihi.
Asante
 
Tatizo ninalo liona hasa changamoto anayokumbana nayo ng. Zitto, ni ule uswahili, ubinafsi, USHAMBA wa watu wengine ndani ya chama wanao mtazama nakushindwa kumuelewa tu., wanadhani zitto anafanya anayoyafanya ilikupata sifa nakusahau kwamba kiongozi makini huhitaji kuweka misingi wakati mwingine., Lazima afanye gestures (kwakumaanisha kabisa) zinazo onyesha unachokiamini ilikujenga misingi sahihi kwa wale unao waongoza.

Ndugu zangu kuwa mpinzani -result oriented, unahitaji kuaminika!! Lazima sisi wapinzani wenzako tukuamini, lakini lazima tunaowapinga nao wakuamini, kwasababu tunawapinga tukionyesha namnabora zaidi ya kufanya mambo kuliko wanavyo fanya wao. Na hatuwapingi kwakuwa wao ni wao na sisi ni sisi.!
Hatuwapingi CCM kwakua wao ni CCM na sisi ni CHADEMA, tunawapinga kwakua tuna hoja zenyenguvu za kuboresha uendeshaji wa nchi yetu,

zipo hoja kwamba mbona zitto anaaminika na serikali ya CCM kuliko wengine, anahongwa!,.

Sasa niseme tu wasi, Zitto kuaminika na watawala is a BIG plus to the change movement.

Basi mimi sioni shida hata kidogo, namuona mtu mwenye uwezo,Nia na sababu ya kufanya mabadiliko ya kweli kwenye siasa zetu, actually na muona mtu mwenye the right mentality for leadership.., if this is what his heart is. then, I think THERE ACTUALLY MIGHT BE MORE TO THIS PARTY STRIFE THAN MEETS THE EYE.

kama ambavyo nilieleza kwenye thread yangu hivi majuzI, Zitto has the right preparation and the right mentality to bring about true change to Africa.,

Ninachosema hapa ni kitu gani, Zitto kujenga kuaminiwa na seeikali ya CCM hakutakiwi kumaanisha ni msaliti, nandio maana hoja zake nyingi bungeni zimefanyiwa kazi na kuboresha shuguli za bunge na serikali kwa ujumla, wakati hoja za wengine hata pale ambapo hua nzuri na zenyenguvu kabisa hukataliwa bila hata kusikilizwa.

Baada ya kusema hayo mengi niliosema, ninaomba kumalizia kwakusema, Mh. Zitto anahitajika CHADEMA sikwasababu bila yeye CHADEMA haiwezekani kuendelea HAPANA HATA KIDOGO!

Ila kwasababu having him is a Plus!
Nevertheless, kwasababu za kimisingi (principles) kamanilivyoeleza kabla, naeleza tena, uamuzi wa CC ya Chadema ni SAHIHI.

Mh. Zitto, tafadhali, Nina amini uwezo Wako, na Nia yako pengine kuliko wengi ndani ya kambi hii ya upinzani, kama swala ni waraka wa ushindi, na mikakati isiyo halali ilyokuwa ikifanyika ndani ya chama ilikumuondoa mwenyekiti HALALI Kwakueleza madhaifu yake na shutuma za makosa ya kiutendaji nje ya utaratibu wa vikao halali vya chama, fuata maelekezo ya CC tufunge ukurasa huu, Rudi tujenge chama, mimi kama vijana wengi ningetamani kuingia humo pia siku moja lakini tunahitaji mazingira sahihi na mentality sahihi, mentality uliyonayo ndugu zitto.
We need to close this chapter and put it behind us.

Comrades,
Niwashukuru.[/QUOTE]

Pole sana Character X; Umetumia maneno mengi sana, thread ndefu sana kujenga hoja dhaifu; you probably know the words; cause for a long thread; lakini seriously you miss their meaning; I give you the benefit of the doubt; kwa kuwa umetangulia kusema kwamba ni maoni na mtazamo wako; you are entitled to your opinion; wacha yasimame japo hayana maana hata kidogo. Kujidai kumuelewa Zitto vizuri zaidi kuliko watu wengine wengi is more than meets the eye!!; nikinukuu maneno yako.
Zitto is no Nelson Mandela; Zitto has outlived his usefulness for CDM; his sell by date is long gone. he needs to exit CDM; go elsewhere to start a new venture; he is tainted, siasa hazimfai tena maana hata CCM wengine wataanza kumuangalia kwa shakashaka!!
 
nimekueelewa xana! kiukweli kuna hoja dhaifu xana zinazotumika kumwita zzk kama msaliti, hata huo waraka wanaomtuhumu nao yeye(zzk) hajashiriki kuuwandaa (he's just a beneficially) mfaidikaji tu
 
Tatizo ninalo liona hasa changamoto anayokumbana nayo ng. Zitto, ni ule uswahili, ubinafsi, USHAMBA wa watu wengine ndani ya chama wanao mtazama nakushindwa kumuelewa tu., wanadhani zitto anafanya anayoyafanya ilikupata sifa nakusahau kwamba kiongozi makini huhitaji kuweka misingi wakati mwingine., Lazima afanye gestures (kwakumaanisha kabisa) zinazo onyesha unachokiamini ilikujenga misingi sahihi kwa wale unao waongoza.

Ndugu zangu kuwa mpinzani -result oriented, unahitaji kuaminika!! Lazima sisi wapinzani wenzako tukuamini, lakini lazima tunaowapinga nao wakuamini, kwasababu tunawapinga tukionyesha namnabora zaidi ya kufanya mambo kuliko wanavyo fanya wao. Na hatuwapingi kwakuwa wao ni wao na sisi ni sisi.!
Hatuwapingi CCM kwakua wao ni CCM na sisi ni CHADEMA, tunawapinga kwakua tuna hoja zenyenguvu za kuboresha uendeshaji wa nchi yetu,

zipo hoja kwamba mbona zitto anaaminika na serikali ya CCM kuliko wengine, anahongwa!,.

Sasa niseme tu wasi, Zitto kuaminika na watawala is a BIG plus to the change movement.

Basi mimi sioni shida hata kidogo, namuona mtu mwenye uwezo,Nia na sababu ya kufanya mabadiliko ya kweli kwenye siasa zetu, actually na muona mtu mwenye the right mentality for leadership.., if this is what his heart is. then, I think THERE ACTUALLY MIGHT BE MORE TO THIS PARTY STRIFE THAN MEETS THE EYE.

kama ambavyo nilieleza kwenye thread yangu hivi majuzI, Zitto has the right preparation and the right mentality to bring about true change to Africa.,

Ninachosema hapa ni kitu gani, Zitto kujenga kuaminiwa na seeikali ya CCM hakutakiwi kumaanisha ni msaliti, nandio maana hoja zake nyingi bungeni zimefanyiwa kazi na kuboresha shuguli za bunge na serikali kwa ujumla, wakati hoja za wengine hata pale ambapo hua nzuri na zenyenguvu kabisa hukataliwa bila hata kusikilizwa.

Baada ya kusema hayo mengi niliosema, ninaomba kumalizia kwakusema, Mh. Zitto anahitajika CHADEMA sikwasababu bila yeye CHADEMA haiwezekani kuendelea HAPANA HATA KIDOGO!

Ila kwasababu having him is a Plus!
Nevertheless, kwasababu za kimisingi (principles) kamanilivyoeleza kabla, naeleza tena, uamuzi wa CC ya Chadema ni SAHIHI.

Mh. Zitto, tafadhali, Nina amini uwezo Wako, na Nia yako pengine kuliko wengi ndani ya kambi hii ya upinzani, kama swala ni waraka wa ushindi, na mikakati isiyo halali ilyokuwa ikifanyika ndani ya chama ilikumuondoa mwenyekiti HALALI Kwakueleza madhaifu yake na shutuma za makosa ya kiutendaji nje ya utaratibu wa vikao halali vya chama, fuata maelekezo ya CC tufunge ukurasa huu, Rudi tujenge chama, mimi kama vijana wengi ningetamani kuingia humo pia siku moja lakini tunahitaji mazingira sahihi na mentality sahihi, mentality uliyonayo ndugu zitto.
We need to close this chapter and put it behind us.

Comrades,
Niwashukuru.

Pole sana Character X; Umetumia maneno mengi sana, thread ndefu sana kujenga hoja dhaifu; you probably know the words; cause for a long thread; lakini seriously you miss their meaning; I give you the benefit of the doubt; kwa kuwa umetangulia kusema kwamba ni maoni na mtazamo wako; you are entitled to your opinion; wacha yasimame japo hayana maana hata kidogo. Kujidai kumuelewa Zitto vizuri zaidi kuliko watu wengine wengi is more than meets the eye!!; nikinukuu maneno yako.
Zitto is no Nelson Mandela; Zitto has outlived his usefulness for CDM; his sell by date is long gone. he needs to exit CDM; go elsewhere to start a new venture; he is tainted, siasa hazimfai tena maana hata CCM wengine wataanza kumuangalia kwa shakashaka!![/QUOTE]

Huo nao nimtazamo Wako. Na Nina uheshimu.
Ila ninachokisema nikwamba
1. Bado hakuna aliye onyesha ushahidi wa Usaliti wa zitto! Hakuna aliye uonyesha ushahidi usionashaka kuhusu kutumiwa na CCM kwakulipwa, hakuna mwenye ushahidi huo. kumuita mtu yeyote msaliti, kahongwa bila kuonyesha ushahidi SIHAKI.

2. CHADEMA bila Zitto INAWEZEKANA kabisa!!
Lakini zitto Akiwepo Chadema Nina amini anamchango mkubwa, kuwepo kwake is a big plus to the movement.

Sasa hayo, ndo maoni yangu. Yakwako nimeyasikia, Lakini yanabaki kuwa ya kwako, na yanabaki kuwa maoni.
 
I don't know,. Theres much i dont know about everything thats going on in chadema,. Its seems things aren't the way they seem from the outside., I don't know,. I have heard much but am not sure of anything., you may have a point, lets wait for the 14 days to elapse.,

Lakini unadhani kwamaoni yako au kama ungalikua na nafasi ya ushawishi kwa chombo chenye mamlaka ya kuamua juu ya hatma ya zitto pertaining to this case, unadhani ungeshauri afukuzwe uwanachama chadema??

Tatizo kuna vitu vinakuwa too ugly..hadi hata marafiki waamue kukupa pole n akusema masikitiko yao.Zitto kaamua fanya kila kitu too ugly.

Kwa jinsi CDM wamejitahidi kumkwepa ili amalize yote kwa akilo yake,bado aklifikisha hapa.Hakuna njia Zitto lazima atoke kabisa.Pengine wanachoweza fanya CDM na km nimelisikia ni kukata mjadala wa kumdhalilisha Zitto zaidi km sehmu ya kujali ile kumbukumbu nzuri waliyo nayo.
 
Ndugu yangu singependa nionekane namtetea sana Zitto., ila wanasema mnyoge mnyongeni haki yake mpeni.
Kuhusu swala la ununuzi wa mitambo ya dowans nikweli zitto alishauri inunuliwe, na hakatai hilo lakini, alishauri hivyo baada ya kupiga hesabu jamani., alipega hesabu akaona mitambo ile garama imeshaingiwa kubwa sana na wale jamaa walikuwa tayari kuiuza mitambo ile kwa bei karibu na bure! Mh. Zitto akasema kwa bei hii ni bora tuinunue hii mitambo., watu wakasema kapewa hongo, matokeo yake mitambo ile ikanunuliwa na jamaa wengine na baada ya muda ikabadilishwa jina mitambo ile ile ikaja kuzinduliwa na president Obama na sasa seeikali ina ikodisha tena kwa mabilioni ya shilingi kwa jamaa hao.,
Kwa maneno mengine, laiti serikali ingali sikiza ushauri wa zitto, ile mitambo sasa ingekuwa Mali ya serikali na tusinge kua tuna lipa mamilioni kila mwezi kwa mitambo kama ile.

Mbona hakushabikia serikali inunue mitambo ya IPTL kama kweli aliguswa na fedha tunazolipa kwa ukodishaji wa mitambo? Hatukodishi mitambo ya DOWANS tu bali hata ya IPTL!!! Asingeweza kutetea ununuzi wa mitambo ya IPTL kwa sababu kule hakupata hongo!!! Kijana ni mchafu na amekula hela nyingi sana za Rostam!!!
 
dah, sawa., sijui kama hayo Yana uthibitisho ila wacha nisiwe mbishi sana.,
huenda nikapata nafasi ya kukutana na zitto skumoja, labda atanielezea kwahakika zaidi.
 
Tatizo kuna vitu vinakuwa too ugly..hadi hata marafiki waamue kukupa pole n akusema masikitiko yao.Zitto kaamua fanya kila kitu too ugly.

Kwa jinsi CDM wamejitahidi kumkwepa ili amalize yote kwa akilo yake,bado aklifikisha hapa.Hakuna njia Zitto lazima atoke kabisa.Pengine wanachoweza fanya CDM na km nimelisikia ni kukata mjadala wa kumdhalilisha Zitto zaidi km sehmu ya kujali ile kumbukumbu nzuri waliyo nayo.

well, nikimuona zitto akizungumza na muona mtu very informed, naona mtu mwenye uwezo waku conceptualize mambo., na hii inanifanya nimpende kwakua hua nashindana nae kujua mambo japo amenizidi sana,. Nadhani nampenda Zitto.

Sasa kama kweli itakua bora zaidi kwa chadema kuwa bila zitto sijui, if you ask me, naona adhabu ya kuvuliwa uongozi itamstahili kama yatathibitishwa aliyoshutumiwa kwayo,. kumfukuza uwanachama naona niadhabu kali kuliko kiwango cha kosa(kama makosa ni yale 11), tungekua tumemuonea,.
Na ninajua nitakuwa nimempoteza mtu tuliezungumza lugha moja.

Lakini chadema itaishi hata baada ya zitto, namimi nitaipenda, nitailinda na kuijenga chadema awepo ama asiwepo zitto!
Kwakuwa Nina Imani na Misingi ya kuundwa kwa CHADEMA nanitaitetea misingi hiyo kwani ndiyo itakayo leta uhuru halisi kwa vizazi vijavyo.
 
DISCLAIMER
Beware the phrases you are about to read below are very sweet to read but deadly to believe. It is a spinning document written by the masters of deceptions branded as Character X. - Mandela.
 
Mkuu Character x, Watu wenye uelewa kuweza kuielewa hii hoja humu ndani wanahesabika!.
Pasco.
 
Back
Top Bottom