Huyu mshamba anajiona yuko mwisho wa dunia hahaha ushamba bhana,hajui kuwa hata hapo manati inafika.
Maana yake huu utawala ni fisadi na dhalimu kupata kuwepo toka uhuru.Siyo Zitto tu Mkuu hata CAG ajilinde sana. Tayari kuna chuki ya kutisha dhidi yake ndani ya Serikali mpaka Bungeni wakati hana hatia yoyote ile zaidi ya kufanya kazi yake ambayo ni kwa mujibu wa nafasi yake ambayo aliteuliwa na Kikwete. Tangu jiwe liingie madarakani kumekuwepo na msukumo mkubwa kukwamisha kazi ya CAG na hata kumuondoa pia ili kiwekwe kikaragosi cha jiwe.
Taifa linayumba sana na linapitia kipindi kigumu mno tangu tupate uhuru.
mmeacha kuamini kuwa ni msaliti?Habari wakuu,
Kutokana na hali ya kiusalama hapa nchink kuwa ndogo hasa kwa wapinzani wa mwenye nchi, ikiwemo kupigwa risasi kwa wabunge, utekaji na uepo wa kundi la kiasi lisilojulikana
Ni wazi shahiri mheshimiwa mbunge Zitto kabwe anahitaji ulinzi wa kiwango cha juu, lakini ni nani atapaswa kuwa mlinzi wa Zitto katika nchi hii yenye mapandikizi kila kona?
kwa kazi nzuri, kubwa na nzito anayoifanys mheshiwa Zitto kwa watanzania dhidi ya serikali badhilifu na gandamizi kwa wapinzani, ni bora Zitto atafutiwe ulinzi mapema sana kabla yajamkuta mengine yanayoendelea hapa nchini.
Zitto unahitaji ulinzi, huenda umejipanga na unajilinda lakini hao walinzi wako wamepia mafunzo wapi? Vipi watu wasiojulikana hawawezi pitisha mikono yao kwa hao walinzi
Zitto alindwe hata kwa gharama yoyote!
Hata Zitto ni sehemu ya watu wanafki tu ingawa kwa hili la kuichambuwa CAG report amefanyakazi nzuri.
Labda tu kama humjui Zitto ni kwamba yeye ni muislamu, ametoka Kigoma na ameaga kwao, yeyote atakayejaribu kumdhuru basi kwenye ukoo wao hata panya hatosalia.
Kwahiyo nikutowe hofu kuhusu Zitto huyu ana ulinzi wa kisayansi za chini ya bahari.
ukweli lazima usemwe, weka mbali tofauti zilizowahi tokea huko. Mkulu lazima aambiwe ukweli na nilazima viongozi kama zitto walindwe kutokana na hali tuliyonayouhai wa chadema unategemea ACT sikuwahi kudhania zama hizi zitakuja so soon
unaogopa kumeza maneno yako kiwa zitto msaliti unabaki ..lakino, ingawa katika hili....
so sad
Ulinzi wa nini sasa. Amefanya nini, kusema 2.5t haionekani? Tena kwa kunukuu CAG repirt?Habari wakuu,
Kutokana na hali ya kiusalama hapa nchink kuwa ndogo hasa kwa wapinzani wa mwenye nchi, ikiwemo kupigwa risasi kwa wabunge, utekaji na uepo wa kundi la kiasi lisilojulikana
Ni wazi shahiri mheshimiwa mbunge Zitto kabwe anahitaji ulinzi wa kiwango cha juu, lakini ni nani atapaswa kuwa mlinzi wa Zitto katika nchi hii yenye mapandikizi kila kona?
kwa kazi nzuri, kubwa na nzito anayoifanys mheshiwa Zitto kwa watanzania dhidi ya serikali badhilifu na gandamizi kwa wapinzani, ni bora Zitto atafutiwe ulinzi mapema sana kabla yajamkuta mengine yanayoendelea hapa nchini.
Zitto unahitaji ulinzi, huenda umejipanga na unajilinda lakini hao walinzi wako wamepia mafunzo wapi? Vipi watu wasiojulikana hawawezi pitisha mikono yao kwa hao walinzi
Zitto alindwe hata kwa gharama yoyote!
SidhaniMara paaaap! Diwani na wabunge kujiuzulu kumbe ni nguvu ya 1.5 trilioni
Ulinzi wa nini sasa. Amefanya nini, kusema 2.5t haionekani? Tena kwa kunukuu CAG repirt?
Aendelee na maisha yake ajichanganya mango garden kama kawaida kujificha ndio rahisi kuuawa
Mpizani wa kweli nchi hii ni Zitto hao wengine ni waganga njaa tu.Zito ajilinde Mwenyewe,kama kuna mtu aliyedhoofisha upinzani nchi hii basi ni Zito,na lazima alipe gharama ya usaliti wake,mpaka awamu hii ya jiwe iishe Zito atakua ashalipa gharama za usaliti aloifanya kipindi cha JK.
Nondo?Zitto kawasaliti Chadema,Zitto kamsaliti Nondo,Zitto ni msaliti mnafiki mzushi muongopeaji,nk.bk
Kwenye 1.5 Trillion hatukubali kugawanywa.Zitto kawasaliti Chadema,Zitto kamsaliti Nondo,Zitto ni msaliti mnafiki mzushi muongopeaji,nk.bk