Zitto Kabwe anahitaji ulinzi

Zitto Kabwe anahitaji ulinzi

Jana Da Mange kapost kuwa Viongozi wa Chadema wanamshawishi aahirishe Maandamano yake mpaka tarehe 15 August, nae kaanza kuamini kuwa Wanasiasa wengi wa Bongo wapo kwenye payrol ya Makumbusho
 
Sasa tanzania yaonekana kuna watu ndiyo wanaoamua nani aishi na nani apotee.

@Vimungu vidogo.
 
Tena sio ulinzi tu, ikibidi muwategee mitego kabisa hao wasiojulikana, mmalize adui kabla hakapata nafasi ya kushambulia.
 
Kuna jamaa alisema "mimi nikichukia mpk panya anakufa",ngoja tuone mziki wake.
 
Dada yenu Mange alisema Masogange serikali inapanga afanyiwe mazishi ya kitaifa(makubwa +wasanii wote kuwepo) hapo tarehe 26/4 ili kuzima tukio lake la maandamano wkt familia imesema marehemu atazikwa kwao mbeya tarehe 24/4.

Huyu mtu kumuamini sa nyingine inabd uwe chizi tu.
 
Zitto jilinde Sana tena Sana.

Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu Sana
 
Niliposikia LISSU kashambuliwa akiwa kwenye gari nilishangaa sana - mtu unalipwa zaidi tshs 12M kwa mwezi halafu unatembea na gari linaloruhusu risasi kupenya

Zipo gari nyingi mpya au used tena za bei ndogo ambazo hata ziangukiwe chuma ww unadunda tu afu mnafanya masihala. Nitoe rai kwa waovu kutotumia mwanya huo kuichanganisha serikali kupitia kupanga njama za kipuuzi.
Basi serikali impe ulinzi Zitto!
 
Kila Kituo cha Police kuna Askari aende akatoe Taarifa Watampa utaratibu wakumpatia Ulinzi na atalindwa kama Mnavyopendekeza Kukindwa.
 
KWA MWENDO HUU ZITO ANAKUJA KWA KASI SNA KUIJENGA CHAMA CHAKE YUPO KAMA MALEMA.CHADEMA IMESINZIA SNA TENA KWENYE ISHU NZITO KM HII WAPO KMYA.NAKOSA IMANI NAO
 
87648-200.png

Hachoropoki mtu hapo.
 
Back
Top Bottom