Zitto Kabwe anahitaji ulinzi

Zitto Kabwe anahitaji ulinzi

naunga mkono hoja. nikikumbuka yaliyomtokea LISSU dodoma sina imani kabisa na usalama wa zitto. tunaomba waliokaribu na zitto wamwambie awe makini sana kipindi hiki.
..si alisema anatumia kamati za ufundi?,..
 
zuni_warrior_doll_by_jamusdu-daouv8j.jpg
 
Mwenyewe alishasema mtu akitia maguu pale, kwao watakufa mpaka mende. Wakati akiwa CHADEMA kuna sakata silikumbuki alilishikia bango mpaka akafanyiwa figisu na kufukuzwa na kufungiwa vikao kadhaa vya bunge, wakatia anaondoka ndani ya mjengo wa bunge, kuna mbuge wa ccm alimnyooshea kidole kidharau flani hivi, Mzitto alipomaliza adhabu yake siku aliporejea bungeni, mbuge aliemnyooshea kidole hakuwa na kiganja.
 
Habari wakuu,

Kutokana na hali ya kiusalama hapa nchink kuwa ndogo hasa kwa wapinzani wa mwenye nchi, ikiwemo kupigwa risasi kwa wabunge, utekaji na uepo wa kundi la kiasi lisilojulikana

Ni wazi shahiri mheshimiwa mbunge Zitto kabwe anahitaji ulinzi wa kiwango cha juu, lakini ni nani atapaswa kuwa mlinzi wa Zitto katika nchi hii yenye mapandikizi kila kona?

kwa kazi nzuri, kubwa na nzito anayoifanys mheshiwa Zitto kwa watanzania dhidi ya serikali badhilifu na gandamizi kwa wapinzani, ni bora Zitto atafutiwe ulinzi mapema sana kabla yajamkuta mengine yanayoendelea hapa nchini.

Zitto unahitaji ulinzi, huenda umejipanga na unajilinda lakini hao walinzi wako wamepia mafunzo wapi? Vipi watu wasiojulikana hawawezi pitisha mikono yao kwa hao walinzi

Zitto alindwe hata kwa gharama yoyote!
wacha uoga mdogo wake zzk ndo mkuu wa kitengo cha murder jumba jeupe.
 
Mwangalie vizuri Profesa Assad ana sigida kubwa kwenye paji la uso, hii ni moja ya ishara kwamba huyu mtu ni swala tano.

Kwa jinsi ninavyowafahamu mimi watu wenye hamu na nia ya kuiona firdaus hata umtishe vipi huyu hawezi kupindisha ukweli, ccm wajifunze katika hili wakitaka kuendelea na wizi wao hivi vyeo wawe wanawapa makafir wala kitimoto na wanywa pombe waliojaa urafi roho mbaya na hawana khofu na Mungu.

Mimi ni Mkristo ila nawajuwa vizuri waislamu wa kweli wengi kwenye hizi nafasi wana roho za kibinadamu.
Kwa hiyo mzee wa msogani hakuwa mwislamu??? Mbna katuharibia nchi na ufisadi wake.
 
Siyo Zitto tu Mkuu hata CAG ajilinde sana. Tayari kuna chuki ya kutisha dhidi yake ndani ya Serikali mpaka Bungeni wakati hana hatia yoyote ile zaidi ya kufanya kazi yake ambayo ni kwa mujibu wa nafasi yake ambayo aliteuliwa na Kikwete. Tangu jiwe liingie madarakani kumekuwepo na msukumo mkubwa kukwamisha kazi ya CAG na hata kumuondoa pia ili kiwekwe kikaragosi cha jiwe.

Taifa linayumba sana na linapitia kipindi kigumu mno tangu tupate uhuru.
CAG yupo kwenye hatari sana , maana mara zote yuko nao , hawa watu hawana aibu hata kidogo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Habari wakuu,

Kutokana na hali ya kiusalama hapa nchink kuwa ndogo hasa kwa wapinzani wa mwenye nchi, ikiwemo kupigwa risasi kwa wabunge, utekaji na uepo wa kundi la kiasi lisilojulikana

Ni wazi shahiri mheshimiwa mbunge Zitto kabwe anahitaji ulinzi wa kiwango cha juu, lakini ni nani atapaswa kuwa mlinzi wa Zitto katika nchi hii yenye mapandikizi kila kona?

kwa kazi nzuri, kubwa na nzito anayoifanys mheshiwa Zitto kwa watanzania dhidi ya serikali badhilifu na gandamizi kwa wapinzani, ni bora Zitto atafutiwe ulinzi mapema sana kabla yajamkuta mengine yanayoendelea hapa nchini.

Zitto unahitaji ulinzi, huenda umejipanga na unajilinda lakini hao walinzi wako wamepia mafunzo wapi? Vipi watu wasiojulikana hawawezi pitisha mikono yao kwa hao walinzi

Zitto alindwe hata kwa gharama yoyote!
Wakati wa Mpakanjia aliomba ulinzi?
 
Hivi yule CAG yuko free au ndio Lubuva style?

Nakumbuka Lowasa na Sumaye wakati wanataka kwenda Bahari beach hotel kujiunga na UKAWA wazee wa suti nyeusi waliwazongazonga kweli ila walikomaa mpaka wazee wa suti nyeusi wakaregea.

Kwa maoni yangu tumuombee zaidi CAG maana huu muziki ni yeye ndio ameweka Cd halafu ametuachia tuucheze.

Sidhani hapa duniani kama kuna mtu ana jeuri ya kumkatalia Rais hadharani swali kama aliloulizwa.

Nimemsikiliza Dr Chegeni jana kwenye kipima joto badala ya kuonesha yeye ni mtu wa kuisimamia serikali lakini ameonesha dhahiri yeye ni dekio la executive.

Watanzania tumeliwa hatuna bunge na huyo CAG repoti ya mwakani ni lazima ataandikiwa na aliye juu.

Hivi Tanzania tumemkosea nini Mungu wa kweli?
.
sorry mkuu,waliwazonga zonga kiaje,,hao 2 si ni mawaziri wakuu wastaafu,ina maana ao unaosema waliwazonga zonga si ni walinzi wao mkuu daily au nakosea@
 
.
sorry mkuu,waliwazonga zonga kiaje,,hao 2 si ni mawaziri wakuu wastaafu,ina maana ao unaosema waliwazonga zonga si ni walinzi wao mkuu daily au nakosea@
Huelewi, walinzi wao wapo, ila walifatwa na convoy kutoka kitengo.
 
Huelewi, walinzi wao wapo, ila walifatwa na convoy kutoka kitengo.
.
to be honest ni lazima ingetokea na walilijua ilo,wale 2 hawakua just citizen, ni 'ex-prime ministers'',watu so powerful kuliko tunavyowaona wakitabasam kwny luninga,,sasa imagine wanaenda kwny kikao cha upinzan,lazima rabsharabsha zngetokea 2
 
Yanayotusibu na yajayo yanasikitisha
 
Habari wakuu,

Kutokana na hali ya kiusalama hapa nchink kuwa ndogo hasa kwa wapinzani wa mwenye nchi, ikiwemo kupigwa risasi kwa wabunge, utekaji na uepo wa kundi la kiasi lisilojulikana

Ni wazi shahiri mheshimiwa mbunge Zitto kabwe anahitaji ulinzi wa kiwango cha juu, lakini ni nani atapaswa kuwa mlinzi wa Zitto katika nchi hii yenye mapandikizi kila kona?

kwa kazi nzuri, kubwa na nzito anayoifanys mheshiwa Zitto kwa watanzania dhidi ya serikali badhilifu na gandamizi kwa wapinzani, ni bora Zitto atafutiwe ulinzi mapema sana kabla yajamkuta mengine yanayoendelea hapa nchini.

Zitto unahitaji ulinzi, huenda umejipanga na unajilinda lakini hao walinzi wako wamepia mafunzo wapi? Vipi watu wasiojulikana hawawezi pitisha mikono yao kwa hao walinzi

Zitto alindwe hata kwa gharama yoyote!
Itakuwa vizuri wewe upewe kazi hiyo ya kumlinda ili uwe na amani, kwa kuwa unadhani ulinzi uliopo sasa hautoshi, over.
 
Niliposikia LISSU kashambuliwa akiwa kwenye gari nilishangaa sana - mtu unalipwa zaidi tshs 12M kwa mwezi halafu unatembea na gari linaloruhusu risasi kupenya

Zipo gari nyingi mpya au used tena za bei ndogo ambazo hata ziangukiwe chuma ww unadunda tu afu mnafanya masihala. Nitoe rai kwa waovu kutotumia mwanya huo kuichanganisha serikali kupitia kupanga njama za kipuuzi.
mjinga kweli boya wewe,hujui hata gharama ya Bullet proof car.
 
Hakuna pesa iliyoibiwa,wala hakuna kitu kama hicho.
 
Back
Top Bottom