Zitto Kabwe anahitaji ulinzi

Zitto Kabwe anahitaji ulinzi

Habari wakuu
kutokana na hali ya kiusalama hapa nchink kuwa ndogo hasa kwa wapinzani wa mwenye nchi, ikiwemo kupigwa risasi kwa wabunge, utekaji na uepo wa kundi la kiasi lisilojulikana

Ni wazi shahiri mheshimiwa mbunge Zitto kabwe anahitaji ulinzi wa kiwango cha juu, lakini ni nani atapaswa kuwa mlinzi wa Zitto katika nchi hii yenye mapandikizi kila kona?
kwa kazi nzuri, kubwa na nzito anayoifanys mheshiwa Zitto kwa watanzania dhidi ya serikali badhilifu na gandamizi kwa wapinzani, ni bora zitto atafutiwe ulinzi mapema sana kabla yajamkuta mengine yanayoendelea hapa nchini.
Zitto unahitaji ulinzi, huenda umejipanga na unajilinda lakini hao walinzi wako wamepia mafunzo wapi? Vp watu wasiojulikana hawawezi pitisha mikono yao kwa hao walinzi

Zitto alindwe hata kwa gharama yoyote!
Asiwe na wasiwasi, ule walaka kutoka usikochi uliofichua kitengo ndani ya kitengo sasa Mkuu wa kitengo hicho kawa ras wa mkoa uliochoka
 
Namuamini Zito yupo imara km Jiwe, akifa mjue ndo siku yake imefika, hivi hivi si MTU wa mchezomchezo
 
Hivi kupika data Na takwimu za uongo vinaisaidia nini serikali? Je vina athari gani?

Athari za kupika data ni nyingi,moja wapo ni kama investors ama users wengine wa hizi data wakizitumia kufanya investment decisions then wata end up na wrong decision katika investment zao, pia watz hawatakua na data za uhakika za ukuaji wa uchumi hili ni janga la kitaifa
 
KILE KICHWA CHA KIGOMA MWISHO WA RELI AKUNA WAKU MGUSA YULE BWANA NAAMBIWA NIMKUBWA WA WA CHAWI BONGO SASA MTU AJICHANGANYE
 
Hivi yule CAG yuko free au ndio Lubuva style?

Nakumbuka Lowasa na Sumaye wakati wanataka kwenda Bahari beach hotel kujiunga na UKAWA wazee wa suti nyeusi waliwazongazonga kweli ila walikomaa mpaka wazee wa suti nyeusi wakaregea.

Kwa maoni yangu tumuombee zaidi CAG maana huu muziki ni yeye ndio ameweka Cd halafu ametuachia tuucheze.

Sidhani hapa duniani kama kuna mtu ana jeuri ya kumkatalia Rais hadharani swali kama aliloulizwa.

Nimemsikiliza Dr Chegeni jana kwenye kipima joto badala ya kuonesha yeye ni mtu wa kuisimamia serikali lakini ameonesha dhahiri yeye ni dekio la executive.

Watanzania tumeliwa hatuna bunge na huyo CAG repoti ya mwakani ni lazima ataandikiwa na aliye juu.

Hivi Tanzania tumemkosea nini Mungu wa kweli?
Kwa joto aliloliachilia CAG kwa wala NCHI nahisi ujio wa Mabadiliko makubwa ya sheria ili kumng'oa MENO Mkaguzi
 
Hivi yule CAG yuko free au ndio Lubuva style?

Nakumbuka Lowasa na Sumaye wakati wanataka kwenda Bahari beach hotel kujiunga na UKAWA wazee wa suti nyeusi waliwazongazonga kweli ila walikomaa mpaka wazee wa suti nyeusi wakaregea.

Kwa maoni yangu tumuombee zaidi CAG maana huu muziki ni yeye ndio ameweka Cd halafu ametuachia tuucheze.

Sidhani hapa duniani kama kuna mtu ana jeuri ya kumkatalia Rais hadharani swali kama aliloulizwa.

Nimemsikiliza Dr Chegeni jana kwenye kipima joto badala ya kuonesha yeye ni mtu wa kuisimamia serikali lakini ameonesha dhahiri yeye ni dekio la executive.

Watanzania tumeliwa hatuna bunge na huyo CAG repoti ya mwakani ni lazima ataandikiwa na aliye juu.

Hivi Tanzania tumemkosea nini Mungu wa kweli?
Umeandika kwa uchungu mno.
Inasikitisha sana
 
Mwangalie vizuri Profesa Assad ana sigida kubwa kwenye paji la uso, hii ni moja ya ishara kwamba huyu mtu ni swala tano.

Kwa jinsi ninavyowafahamu mimi watu wenye hamu na nia ya kuiona firdaus hata umtishe vipi huyu hawezi kupindisha ukweli, ccm wajifunze katika hili wakitaka kuendelea na wizi wao hivi vyeo wawe wanawapa makafir wala kitimoto na wanywa pombe waliojaa urafi roho mbaya na hawana khofu na Mungu.

Mimi ni Mkristo ila nawajuwa vizuri waislamu wa kweli wengi kwenye hizi nafasi wana roho za kibinadamu.
Kama anaitafuta pepo kwa dhati,mbona hatukuona ukaguzi wa manunuzi nna mahesabu ya bomba-dear?
 
Yan
Siyo Zitto tu Mkuu hata CAG ajilinde sana. Tayari kuna chuki ya kutisha dhidi yake ndani ya Serikali mpaka Bungeni wakati hana hatia yoyote ile zaidi ya kufanya kazi yake ambayo ni kwa mujibu wa nafasi yake ambayo aliteuliwa na Kikwete. Tangu jiwe liingie madarakani kumekuwepo na msukumo mkubwa kukwamisha kazi ya CAG na hata kumuondoa pia ili kiwekwe kikaragosi cha jiwe.

Taifa linayumba sana na linapitia kipindi kigumu mno tangu tupate uhuru.
Yani Mkuu hili jiwe sijui kwanini isitokee gafla paap awe kama Masogange alivyo sasa ivi.
 
Back
Top Bottom