Zitto Kabwe anahitaji ulinzi

Zitto Kabwe anahitaji ulinzi

Hata Zitto ni sehemu ya watu wanafki tu ingawa kwa hili la kuichambuwa CAG report amefanyakazi nzuri.

Labda tu kama humjui Zitto ni kwamba yeye ni muislamu, ametoka Kigoma na ameaga kwao, yeyote atakayejaribu kumdhuru basi kwenye ukoo wao hata panya hatosalia.

Kwahiyo nikutowe hofu kuhusu Zitto huyu ana ulinzi wa kisayansi za chini ya bahari.
Hahaaa....mkuu umesema hata panya hatosalia.....hahaa...uchunguzi wa vifo vyao vitakuwa na utata assume watu wankutwa wamekufa na panya waliopo darini nao wamekufa...
 
Trilogy-Of-Terror-ZUNI-Fetish-Warrior-Doll-Life-_57.jpg

Zitto ujuwaji usiokuwa na tija utajikuta pabaya.
 
Zitto, zimwi likujualo halikuli likakumaliza, ila usipoangalia itabidi uliwe mpaka mfupa.
 
Wasikosee wakafanya ujinga wowote kutoa roho ya Mtanzania! Haya matukio ya uovu yanawakomaza Watanzania,tunaishi pamoja mitaani,sio polisi ama wenye dola na familia zao wanauwezo kuwapa hifadhi ya kambi LA pekee.ONYO MSIMWAGE DAMU YA MTANZANIA!
 
Analindwa na mzimu wa mama yake ndyo ulinzi tosha.

Kabwe haogopi.
 
Kwa hali ilivyo hivi sasa wakimdhuru kabla ya tarehe 26 itakuwa bad move kwa upande wao
 
Hivi yule CAG yuko free au ndio Lubuva style?

Nakumbuka Lowasa na Sumaye wakati wanataka kwenda Bahari beach hotel kujiunga na UKAWA wazee wa suti nyeusi waliwazongazonga kweli ila walikomaa mpaka wazee wa suti nyeusi wakaregea.

Kwa maoni yangu tumuombee zaidi CAG maana huu muziki ni yeye ndio ameweka Cd halafu ametuachia tuucheze.

Sidhani hapa duniani kama kuna mtu ana jeuri ya kumkatalia Rais hadharani swali kama aliloulizwa.

Nimemsikiliza Dr Chegeni jana kwenye kipima joto badala ya kuonesha yeye ni mtu wa kuisimamia serikali lakini ameonesha dhahiri yeye ni dekio la executive.

Watanzania tumeliwa hatuna bunge na huyo CAG repoti ya mwakani ni lazima ataandikiwa na aliye juu.

Hivi Tanzania tumemkosea nini Mungu wa kweli?
Hatujamkosea kitu Mungu
ila ni upumbavu wetu wa kuona hayatuhusu
yanawahusu wanasiasa
watu wapo kimya wanasubiri Chadema waseme kitu juu ya Trilion 1.5
 
ukweli lazima usemwe, weka mbali tofauti zilizowahi tokea huko. Mkulu lazima aambiwe ukweli na nilazima viongozi kama zitto walindwe kutokana na hali tuliyonayo

wengine tunakumbuka sana,

watanzania huwa mnaenda mbele, halafu kuna muda mnajirudisha nyuma kwa mambo ya kijinga na personal gains!

mlisema zitto ni CCM au sio??

hayajapita hayo

CDM ishakufa na ishapoteza watu wengi kwa sababu ya ubinafsi

sasa hivi CDM inaishi kwa hoja za zitto

zitto anachofanya kwa magufuli ni pure politics na anaweza, yuko vizuri japo binafsi naamini 1.5T hajaibiwa
 
Siyo Zitto tu Mkuu hata CAG ajilinde sana. Tayari kuna chuki ya kutisha dhidi yake ndani ya Serikali mpaka Bungeni wakati hana hatia yoyote ile zaidi ya kufanya kazi yake ambayo ni kwa mujibu wa nafasi yake ambayo aliteuliwa na Kikwete. Tangu jiwe liingie madarakani kumekuwepo na msukumo mkubwa kukwamisha kazi ya CAG na hata kumuondoa pia ili kiwekwe kikaragosi cha jiwe.

Taifa linayumba sana na linapitia kipindi kigumu mno tangu tupate uhuru.
Kumbukumbu zangu kumbe zimeanza kupotea, Mkuu ndio unaniweka sawa kwamba kumbe huyu CAG alikuwa mtu wa JK......nilitaka kushangaa, awamu hii kuwe na MTU makini kama huyu.....shukrani kamanda.
 
Nchi hii haipo salama ; ushauri huu Zitto asiuzembee hatupendi ya Lissu yakajirudia.
 
Shukrani Mkuu

Kumbukumbu zangu kumbe zimeanza kupotea, Mkuu ndio unaniweka sawa kwamba kumbe huyu CAG alikuwa mtu wa JK......nilitaka kushangaa, awamu hii kuwe na MTU makini kama huyu.....shukrani kamanda.
 
Hivi yule CAG yuko free au ndio Lubuva style?

Nakumbuka Lowasa na Sumaye wakati wanataka kwenda Bahari beach hotel kujiunga na UKAWA wazee wa suti nyeusi waliwazongazonga kweli ila walikomaa mpaka wazee wa suti nyeusi wakaregea.

Kwa maoni yangu tumuombee zaidi CAG maana huu muziki ni yeye ndio ameweka Cd halafu ametuachia tuucheze.

Sidhani hapa duniani kama kuna mtu ana jeuri ya kumkatalia Rais hadharani swali kama aliloulizwa.

Nimemsikiliza Dr Chegeni jana kwenye kipima joto badala ya kuonesha yeye ni mtu wa kuisimamia serikali lakini ameonesha dhahiri yeye ni dekio la executive.

Watanzania tumeliwa hatuna bunge na huyo CAG repoti ya mwakani ni lazima ataandikiwa na aliye juu.

Hivi Tanzania tumemkosea nini Mungu wa kweli?

Tatizo lenu ninyi ni wajinga

Ni taifa la wajinga
 
WaTz wangelikuwa wazalendo Zitto angelilindwa. Lakini waTz ni wanafki, hivo ajihadhari

Zitto ni kiongozi wa ACT, kwahiyo ni jukumu la chama chake kutumia sehemu ya ruzuku wanayopewa na serikali kwa ulinzi wa kiongozi wao!! Mnaishuku serikali ya JPM kuwa pengine inaweza kumdhuru, kama ilivyomfanyia Lissu halafu mnataka serikali hiyo hiyo impe Zitto ulinzi? Anaweza pia kutumia pesa anazopewa za jimbo kujiwekea ulinzi wake.
 
Hata Zitto ni sehemu ya watu wanafki tu ingawa kwa hili la kuichambuwa CAG report amefanyakazi nzuri.

Labda tu kama humjui Zitto ni kwamba yeye ni muislamu, ametoka Kigoma na ameaga kwao, yeyote atakayejaribu kumdhuru basi kwenye ukoo wao hata panya hatosalia.

Kwahiyo nikutowe hofu kuhusu Zitto huyu ana ulinzi wa kisayansi za chini ya bahari.
Duhhh,,, aseeee!!! asante kwa taarifa.
 
wengine tunakumbuka sana,

watanzania huwa mnaenda mbele, halafu kuna muda mnajirudisha nyuma kwa mambo ya kijinga na personal gains!

mlisema zitto ni CCM au sio??

hayajapita hayo

CDM ishakufa na ishapoteza watu wengi kwa sababu ya ubinafsi

sasa hivi CDM inaishi kwa hoja za zitto

zitto anachofanya kwa magufuli ni pure politics na anaweza, yuko vizuri japo binafsi naamini 1.5T hajaibiwa
Unajuwa wee jamaa ni mjinga sana, kwani wapi Zitto aliposema 1.5 Trillioni zimeibwa?

Watu wengine wa hovyo sana.
 
Unajuwa wee jamaa ni mjinga sana, kwani wapi Zitto aliposema 1.5 Trillioni zimeibwa?

Watu wengine wa hovyo sana.

ha ha ha

mzee wa spinning

unataka kuyakataa maneno unayihubiri vijiweni??

unaisaidia ccm kwa sababu ya chuki

kimenata hiki
 
Hivi kupika data Na takwimu za uongo vinaisaidia nini serikali? Je vina athari gani?
Vinafurahisha kwa muda mchache ili watawala waonekane wanachapa kazi baada ya muda mambo yanaharibika
 
Back
Top Bottom