imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,403
Chadema ni majizi.KWA MWENDO HUU ZITO ANAKUJA KWA KASI SNA KUIJENGA CHAMA CHAKE YUPO KAMA MALEMA.CHADEMA IMESINZIA SNA TENA KWENYE ISHU NZITO KM HII WAPO KMYA.NAKOSA IMANI NAO

Yule nafsini mwake amekataa kuwa ndondocha la magu.Hivi yule CAG yuko free au ndio Lubuva style?
Nakumbuka Lowasa na Sumaye wakati wanataka kwenda Bahari beach hotel kujiunga na UKAWA wazee wa suti nyeusi waliwazongazonga kweli ila walikomaa mpaka wazee wa suti nyeusi wakaregea.
Kwa maoni yangu tumuombee zaidi CAG maana huu muziki ni yeye ndio ameweka Cd halafu ametuachia tuucheze.
Sidhani hapa duniani kama kuna mtu ana jeuri ya kumkatalia Rais hadharani swali kama aliloulizwa.
Nimemsikiliza Dr Chegeni jana kwenye kipima joto badala ya kuonesha yeye ni mtu wa kuisimamia serikali lakini ameonesha dhahiri yeye ni dekio la executive.
Watanzania tumeliwa hatuna bunge na huyo CAG repoti ya mwakani ni lazima ataandikiwa na aliye juu.
Hivi Tanzania tumemkosea nini Mungu wa kweli?
Habari wakuu,
Kutokana na hali ya kiusalama hapa nchink kuwa ndogo hasa kwa wapinzani wa mwenye nchi, ikiwemo kupigwa risasi kwa wabunge, utekaji na uepo wa kundi la kiasi lisilojulikana
Ni wazi shahiri mheshimiwa mbunge Zitto kabwe anahitaji ulinzi wa kiwango cha juu, lakini ni nani atapaswa kuwa mlinzi wa Zitto katika nchi hii yenye mapandikizi kila kona?
kwa kazi nzuri, kubwa na nzito anayoifanys mheshiwa Zitto kwa watanzania dhidi ya serikali badhilifu na gandamizi kwa wapinzani, ni bora Zitto atafutiwe ulinzi mapema sana kabla yajamkuta mengine yanayoendelea hapa nchini.
Zitto unahitaji ulinzi, huenda umejipanga na unajilinda lakini hao walinzi wako wamepia mafunzo wapi? Vipi watu wasiojulikana hawawezi pitisha mikono yao kwa hao walinzi
Zitto alindwe hata kwa gharama yoyote!
Msimpe kiki asizostahili ulinzi ana nini cha kuwindwa
Hivi mnakumbuka tukio lililomkuta Mudhihir Mudhihir na Agnes Mbatia? ZZK ni Mwami...sio mtoto mdogo vile vidoti usoni ukiweza kuvihesabu viko vingapi ndio unaweza kummliza huyu bwana...otherwise sahau.Habari wakuu,
Kutokana na hali ya kiusalama hapa nchink kuwa ndogo hasa kwa wapinzani wa mwenye nchi, ikiwemo kupigwa risasi kwa wabunge, utekaji na uepo wa kundi la kiasi lisilojulikana
Ni wazi shahiri mheshimiwa mbunge Zitto kabwe anahitaji ulinzi wa kiwango cha juu, lakini ni nani atapaswa kuwa mlinzi wa Zitto katika nchi hii yenye mapandikizi kila kona?
kwa kazi nzuri, kubwa na nzito anayoifanys mheshiwa Zitto kwa watanzania dhidi ya serikali badhilifu na gandamizi kwa wapinzani, ni bora Zitto atafutiwe ulinzi mapema sana kabla yajamkuta mengine yanayoendelea hapa nchini.
Zitto unahitaji ulinzi, huenda umejipanga na unajilinda lakini hao walinzi wako wamepia mafunzo wapi? Vipi watu wasiojulikana hawawezi pitisha mikono yao kwa hao walinzi
Zitto alindwe hata kwa gharama yoyote!
Hivyo vidoti vikikutana Glock havitafua dafu.vile vidoti usoni ukiweza kuvihesabu viko vingap
Cag kaweka cd afu kabonyeza play tunaokata mauno ni sisiHivi yule CAG yuko free au ndio Lubuva style?
Nakumbuka Lowasa na Sumaye wakati wanataka kwenda Bahari beach hotel kujiunga na UKAWA wazee wa suti nyeusi waliwazongazonga kweli ila walikomaa mpaka wazee wa suti nyeusi wakaregea.
Kwa maoni yangu tumuombee zaidi CAG maana huu muziki ni yeye ndio ameweka Cd halafu ametuachia tuucheze.
Sidhani hapa duniani kama kuna mtu ana jeuri ya kumkatalia Rais hadharani swali kama aliloulizwa.
Nimemsikiliza Dr Chegeni jana kwenye kipima joto badala ya kuonesha yeye ni mtu wa kuisimamia serikali lakini ameonesha dhahiri yeye ni dekio la executive.
Watanzania tumeliwa hatuna bunge na huyo CAG repoti ya mwakani ni lazima ataandikiwa na aliye juu.
Hivi Tanzania tumemkosea nini Mungu wa kweli?

Hata yule kimada wangu alivoenda kutibiwa india,ni sehemu ya T.Mara paaaap! Diwani na wabunge kujiuzulu kumbe ni nguvu ya 1.5 trilioni
Uelewa wa watu kama wewe ndo unafanya elimu yetu inadharaulikaHivi kupika data Na takwimu za uongo vinaisaidia nini serikali? Je vina athari gani?
Well saidZito ajilinde Mwenyewe,kama kuna mtu aliyedhoofisha upinzani nchi hii basi ni Zito,na lazima alipe gharama ya usaliti wake,mpaka awamu hii ya jiwe iishe Zito atakua ashalipa gharama za usaliti aloifanya kipindi cha JK.
Duh, Mkuu na wewe ni mmoja wa malaika?Mwangalie vizuri Profesa Assad ana sigida kubwa kwenye paji la uso, hii ni moja ya ishara kwamba huyu mtu ni swala tano.
Kwa jinsi ninavyowafahamu mimi watu wenye hamu na nia ya kuiona firdaus hata umtishe vipi huyu hawezi kupindisha ukweli, ccm wajifunze katika hili wakitaka kuendelea na wizi wao hivi vyeo wawe wanawapa makafir wala kitimoto na wanywa pombe waliojaa urafi roho mbaya na hawana khofu na Mungu.
Mimi ni Mkristo ila nawajuwa vizuri waislamu wa kweli wengi kwenye hizi nafasi wana roho za kibinadamu.
Atalindwa na nani?Habari wakuu,