Trillion
JF-Expert Member
- Apr 24, 2018
- 3,329
- 7,502
HAYAWANI anatia ulimi puani.. Pumbavu..!Amani inapatikana kwa NCHA YA ULIMI-mh.Rais SSH💪
HAYAWANI anatia ulimi puani.. Pumbavu..!Amani inapatikana kwa NCHA YA ULIMI-mh.Rais SSH💪
Kumpondea zitto hakumsaidii mbowe. Yes, kesi yake ni ya kubuni tu. Ila mwacheni zitto afanye siasa kwa style yake. Ndiyo maana ana chama chakeViroboto wamemwagwa huku na Hangaya.
Yameshawashinda wanatafuta pakutokea haya MAHAYAWANI.
Mbowe ni SHUJAA.
Katiba mpya ni lazima na ni sasa.
Nawasalimu wanajukwaa.
Acha niende moja kwa moja kwenye hoja, nimemfuatilia kwa umakini Mh. Zitto jinsi ambavyo amekuwa akiendesha siasa zake na nikiri huyu Mh. hafanyi siasa kwa mihemko bali akili kubwa sana.
Wakati wengine wakisusia mkutano yeye amekwenda na alipopewa nafasi amemuomba Mh. Rais ikiwezekana kiongozi mwenzao mwenye changamoto za kisheria aachiwe, kwakweli ameonesha ukomavu wa kisiasa.
Pongezi kwako Zitto Kabwe.
Niwatakie kazi njema wanajukwaa.
Kwani mh.Rais naye si mwananchi?!!Wenye nchi ni wananchi sio hicho kibibi cha kiarabu, wala Chama maiti . Mtake msitake.
Hawa wanaishi kiharakati sana haya mambo ni ya kizamani kweli kweli yaaani.Watatunyonga hadharani kama walivyofanya wakoloni wa kijerumani kwa baba wa mababu zetu!
Unamjua shushu Zito mzee wa kuuma na kupulizaNawasalimu wanajukwaa.
Acha niende moja kwa moja kwenye hoja, nimemfuatilia kwa umakini Mh. Zitto jinsi ambavyo amekuwa akiendesha siasa zake na nikiri huyu Mh. hafanyi siasa kwa mihemko bali akili kubwa sana.
Wakati wengine wakisusia mkutano yeye amekwenda na alipopewa nafasi amemuomba Mh. Rais ikiwezekana kiongozi mwenzao mwenye changamoto za kisheria aachiwe, kwakweli ameonesha ukomavu wa kisiasa.
Pongezi kwako Zitto Kabwe.
Niwatakie kazi njema wanajukwaa.
Kuwa HAYAWANI hakukupi umiliki wa nchi,Nimekuuliza swali.....
Kwanini katiba mpya ni lazima na TUTAKE TUSITAKE ?!!!!
Achana naye huyo Zitto ameona busara amehudhuria mkutano na amemuombea msamaha bwana mkubwa badi tunamshukuru Zitto kwa busara zake na akili yake kubwa.Kwani mh.Rais naye si mwananchi?!!
Unafikiri kwa lugha hizo chafu,zenye kedi na zisizo staha zinaweza kuwaletea hicho mkitakacho?!!!
Ninyi jamaa badilikeni....badilikeni kwa Kweli.....
Akili zako hazina akili.Kumpondea zitto hakumsaidii mbowe. Yes, kesi yake ni ya kubuni tu. Ila mwacheni zitto afanye siasa kwa style yake. Ndiyo maana ana chama chake
Yaani kama CDM ndio mjejaa sampuli yako hiyo basi itabidi tukeshe tukiomba nchi hii CCM iitawale hata millennium 1000 zijazo na kama ni upinzani kushinda msishinde nyie wawe watu ambao wanapenda majadiliano na muafaka.Kuwa HAYAWANI hakukupi umiliki wa nchi,
Wenye nchi ni wananchi na katiba inaaema peupe.. katiba mpya ni lazima na ni sasa.
Hicho kibibi chenu cha kiarabu kirudi tu kwenye mitala yake. Ndicho anachoweza.
Na nyie viroboto mnastahili kufukiwa mkiwa hai.
Basi tuliza mshono kama hamkutuma sasa unalalamika nini yeye kuwepo pale?Akili zako hazina akili.
Kwani CHADEMA tulimtuma Zitto. Au Mbowe alimtuma Zitto?!
Mnawashwa washwa sana na CHADEMA.
Hakika.....Hawa wanaishi kiharakati sana haya mambo ni ya kizamani kweli kweli yaaani.
Kelele tu nyingi, Fuateni katiba na sheria, muone, mnagopa Chama maiti haliwezi kushinda chaguzi.Yaani kama CDM ndio mjejaa sampuli yako hiyo basi itabidi tukeshe tukiomba nchi hii CCM iitawale hata millennium 1000 zijazo na kama ni upinzani kushinda msishinde nyie wawe watu ambao wanapenda majadiliano na muafaka.
Huyo ni mjinga kama polepole,kesi ya michongo,jaji wa michongo,mashahidi wote ni police uliona wapiNawasalimu wanajukwaa.
Acha niende moja kwa moja kwenye hoja, nimemfuatilia kwa umakini Mh. Zitto jinsi ambavyo amekuwa akiendesha siasa zake na nikiri huyu Mh. hafanyi siasa kwa mihemko bali akili kubwa sana.
Wakati wengine wakisusia mkutano yeye amekwenda na alipopewa nafasi amemuomba Mh. Rais ikiwezekana kiongozi mwenzao mwenye changamoto za kisheria aachiwe, kwakweli ameonesha ukomavu wa kisiasa.
Pongezi kwako Zitto Kabwe.
Niwatakie kazi njema wanajukwaa.
Wanaojitambua wapo kma polepoleBora hata Zitto kaenda na kasema hyo issue ya mbowe hao Susa Susa hawajitambui kabisa
Aende popote awepo popote,asitafute vyeo kwa jina la Mbowe au chadema.Basi tuliza mshono kama hamkutuma sasa unalalamika nini yeye kuwepo pale?
Umeona ulivyojawa na UGONJWA WA CHUKI NA HASIRA ZA KINYAMA?!! 🤣🤣Kuwa HAYAWANI hakukupi umiliki wa nchi,
Wenye nchi ni wananchi na katiba inaaema peupe.. katiba mpya ni lazima na ni sasa.
Hicho kibibi chenu cha kiarabu kirudi tu kwenye mitala yake. Ndicho anachoweza.
Na nyie viroboto mnastahili kufukiwa mkiwa hai.
Zitto hajaanza leo kuongelea hiyo kesi ya Mbowe........Aende popote awepo popote,asitafute vyeo kwa jina la Mbowe au chadema.
Apambane tu na hali yake.. ya Chadema hayamuhusu na wewe pia hayakuhusu.
Mwenye Chuki ni Hangaya na serikali yake wanaotesa wengine kisiasa kwa kesi za michongo. au ulitaka nifurahi mwenyekiti wangu kutekwa Mwanza na kuhukumiwa na Samia BBC.?!Umeona ulivyojawa na UGONJWA WA CHUKI NA HASIRA ZA KINYAMA?!! 🤣🤣
Hata sheria zinatungwa kwa MASIKILIZANO NA NCHA ZA ULIMI.......
Hakuna Jambo la kulazimisha kana kwamba taifa hili lina mawazo yenu tu........😳😳😳