Zitto Kabwe amuomba Rais Samia amuachie Mbowe

Nawasalimu wanajukwaa.

Acha niende moja kwa moja kwenye hoja, nimemfuatilia kwa umakini Mh. Zitto jinsi ambavyo amekuwa akiendesha siasa zake na nikiri huyu Mh. hafanyi siasa kwa mihemko bali akili kubwa sana.

Wakati wengine wakisusia mkutano yeye amekwenda na alipopewa nafasi amemuomba Mh. Rais ikiwezekana kiongozi mwenzao mwenye changamoto za kisheria aachiwe, kwakweli ameonesha ukomavu wa kisiasa.

Pongezi kwako Zitto Kabwe.

Niwatakie kazi njema wanajukwaa.
Sasa chadema wangeenda kufanya nini kama Zitto ndio kashafanya mpaka ya chadema.. kutuona watanzania mazwazwa kama nyie na njaa zenu, mnatukosea sana.
 
Muhimu Zitto amewasaidia na sasa nuru itaonekana, ila hizi siasa za muundo huu sasa mzibadilishe muwe watu wa mikakati.
 
Nawasalimu wanajukwaa.

Acha niende moja kwa moja kwenye hoja, nimemfuatilia kwa umakini Mh. Zitto jinsi ambavyo amekuwa akiendesha siasa zake na nikiri huyu Mh. hafanyi siasa kwa mihemko bali akili kubwa sana.

Wakati wengine wakisusia mkutano yeye amekwenda na alipopewa nafasi amemuomba Mh. Rais ikiwezekana kiongozi mwenzao mwenye changamoto za kisheria aachiwe, kwakweli ameonesha ukomavu wa kisiasa.

Pongezi kwako Zitto Kabwe.

Niwatakie kazi njema wanajukwaa.
Zitto namkubali uwa anasimamia anachokiamini
 
Chama maiti yamewashinda sio mnaomba msaada kwa Ztto . Endeleeni tu na tusipangiane. Hakuna anaeogopa viroboto na chawa kama nyie.. pumbavu kabisa kabisa
Mtake msitake..
Katiba mpya ni lazima na ni sasa.
 
Wajinga tunahitaji upinzani makini Sasa kususa ndio solution ya matatizo au kuzitatua?
Tangu dunia iumbwe kususa hakujawahi kuwa solution ya matatizo
Haya wewe kama wewe umefanya nini kwa upande wako? Au unabaki kuishauri CDM jinsi ya kukutatulia matatizo yako?
 
Nawasalimu wanajukwaa.

Acha niende moja kwa moja kwenye hoja, nimemfuatilia kwa umakini Mh. Zitto jinsi ambavyo amekuwa akiendesha siasa zake na nikiri huyu Mh. hafanyi siasa kwa mihemko bali akili kubwa sana.

Wakati wengine wakisusia mkutano yeye amekwenda na alipopewa nafasi amemuomba Mh. Rais ikiwezekana kiongozi mwenzao mwenye changamoto za kisheria aachiwe, kwakweli ameonesha ukomavu wa kisiasa.

Pongezi kwako Zitto Kabwe.

Niwatakie kazi njema wanajukwaa.
Mh.Zitto Kabwe ni aina ya wanasiasa wenye KUITANGULIZA TANZANIA NA MASLAHI YAKE......

Amedhihirisha hayo kwa mwafaka wa Zanzibar Kati ya ACT- WAZALENDO NA CCM.....

Kongole kwake mkomavu wa siasa zetu mh.Zitto Zuberi Kabwe💪

#Siempre JMT
#Utulivu Na Amani Ndio Nguvu Yetu
 
Zito Kichwa uwezo wake sawa na halmashauri kuu yote ya chadema
MaCCM akili zenu hazina akili.
Viroboto mnatia mpaka huruma..
Hangaya yamemshinda eheee anawatuma mje kupima upepo.

Mtake msitak, katiba mpya ni lazima na ni sasa.
 
Ili uwe na akili kubwa lazima ufuate kile CDM wanachotaka na kuamini...ukienda tofauti nao tu kidogo basi wewe ni akili ndogo, msaliti nk..
Mob psychology.....

CDM wajirekebishe mno na siasa zao za "tug of war"......
 
MaCCM akili zenu hazina akili.
Viroboto mnatia mpaka huruma..
Hangaya yamemshinda eheee anawatuma mje kupima upepo.

Mtake msitak, katiba mpya ni lazima na ni sasa.
Kwanini iwe TUTAKE TUSITAKE?!!!!
 
Zitto namkubali uwa anasimamia anachokiamini
Muhimu Zitto amewasaidia na sasa nuru itaonekana, ila hizi siasa za muundo huu sasa mzibadilishe muwe watu wa mikakati.
Mh.Zitto Kabwe ni aina ya wanasiasa wenye KUITANGULIZA TANZANIA NA MASLAHI YAKE......

Amedhihirisha hayo kwa mwafaka wa Zanzibar Kati ya ACT- WAZALENDO NA CCM.....

Kongole kwake mkomavu wa siasa zetu mh.Zitto Zuberi Kabwe💪

#Siempre JMT
#Utulivu Na Amani Ndio Nguvu Yetu
Zito Kichwa uwezo wake sawa na halmashauri kuu yote ya chadema
Viroboto wamemwagwa huku na Hangaya.
Yameshawashinda wanatafuta pakutokea haya MAHAYAWANI.
Mbowe ni SHUJAA.
Katiba mpya ni lazima na ni sasa.
 
Hata wenzake walivyomsusia Magufuli bungeni yeye alijifanya akili kubwa akabaki akijua uenyekiti wa PAC atapewa Kama kawa,Kilichofuata alinyimwa huo uenyekiti na hapo ndipo akili ilimkaa kichwani akaanza kupiga mayowe Sasa.

Opportunist.
Bora kuwa OPPORTUNIST kwa ajili ya maslahi mapana ya taifa.......
 
Viroboto wamemwagwa huku na Hangaya.
Yameshawashinda wanatafuta pakutokea haya MAHAYAWANI.
Mbowe ni SHUJAA.
Katiba mpya ni lazima na ni sasa.
Nimekuuliza swali.....

Kwanini katiba mpya ni lazima na TUTAKE TUSITAKE ?!!!!
 
Back
Top Bottom