Kwanza ungesema lengo la kushidanisha lilikuwa nini? Pili ulipaswa kujua waliopiga kura no akina nani na wlikuwa na interest zipi? Sampling ya wachangiaji. Labda wapiha kura wako wengi ni ACT. Kwa hili kama ungekuwa na lengo zuri, ingepata wapiga kura wasio na upande wa Act, cdm wala ccm