MATOKEO YA MCHUANO/MPAMBANO KATI YA
ZITTO Z. KABWE Vs TUNDU A. LISSU
Siku ya Jumapili tarehe 30/07/2017 mimi BABA WA DODOMA niliweka post ya nani anakubalika zaidi kwa wananchi kati ya wanasiasa mashuhuri nchini Tanzania ambao wanaimani tofauti katika kufanya siasa zao.
Mmoja anaitwa Zitto Z. Kabwe (Mb) yeye ni Kiongozi wa Chama (KC) cha ACT WAZALENDO, anaamini SIASA NI MAENDELEO. Ndio maana hoja zake Bungeni zinajikita katika maendeleo ya nchi kama:-
1. FUNGAMANISHO NA UJENZI WA RELI YA KATI NA BOMBA LA GESI NA MAFUTA
2. RELI YA STANDARD GAGE IPELEKWE KIGOMA PALIPO NA UCHUMI MKUBWA WA NCHI BADALA YA MWANZA
3. HOJA YA HIFADHI YA JAMII KWA WATANZANIA WOTE
4. KUBORESHWA KWA KILIMO CHA BIASHARA NA KILIMO CHA CHAKULA
5. N.K
Lakini pia Kila kukicha Mhe. ZITTO anawaza kuweka miradi mbalimbali katika jimbo lake la Kigoma Mjini kama;-
1. UJIJI CITY
2. BANDARI KAVU
3. KILIMO CHA MPUNGA
4. KILIMO CHA MICHIKICHI
5. KUJENGA HOSPITARI YA KIMATAIFA
6. UWANJA WA KISASA WA MICHEZO PALE COMMUNITY CENTER (RUYAGWA YOUTH PARCK)
7. KUJENGA BARABARA ZA PAVEMENT, LAMI , MATAA YA MARABARANI na KUJENGA MITARO NA MIFEREJI YA MAJI NDANI YA JIMBO LAKE
8. KUJENGA KIWANDA KIKUBWA CHA KUSINDIKA SAMAKI
9. KUPELEKA MAJI NA UMEME WA UHAKIKA NDANI YA JIMBO NA
10. N.K
Na zaidi ZITTO anasema yupo tayari kushirikiana na mtu yeyote au chama chochote kuhakikisha maendeleo yanapatikana wananchi waondokane kabisa na dibwi la umaskini uliokithili nchini.
Note:
Kazi anayoifanya ZITTO, inafanywa na LISSU kwa kiwango kidogo.
Wapili anaitwa Tundu A. Lissu (Mb) yeye ni wanasheria mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) anaamini SIASA NI HARAKATI, Ndio maana hoja za mbunge huyu akiwa Bungeni na hata nje ya Bunge zinajikita katika pupinga hoja zote za serikali na kuwaelewesha wananchi mambo ya honyo yanayofanywa na serikali.
Mambo anayoyapigania Mhe. LISSU ni kama yafuatayo:-
1. KUWAELEZEA WANANCHI MADHAIFU YA MIKATABA YA MADINI
2. KUWAELEZEA WANANCHI MADHAIFU YA MIKATABA YA MAFUTA NA GESI
3. KUWAELEWESHA WANANCHI UMUHIMU WA KATIBA MPYA
4. KUTETEA UHURU WA KUONGEA
5. KUWAELEZEA WANANCHI MADHARA YA KUKAMATWA KWA VIONGOZI WA UPINZANI
6. KUWAELEZEA WANANCHI MADHAIFU YA UENDESHAJI WA KITI CHA SPIKA BUNGENI
7. KUWATETEA WANANCHI KUJUA HAKI ZAO
8. KUPIGANIA UHURU WA KUMKOSOA RAIS NA SERIKALI YAKE
9. N.K
Lakini pia Mhe. LISSU anaujasiri wa kutosha wa kusema kuwa Mataifa yote Duniani yainyime misaada nchi yake, yaisusie na kuizomea nchi yake mpaka yale anayoyapigania yakae sawa.
Note:
Kazi anayoifanya LISSU, inafanywa pia na ZITTO kwa kiwango kidogo
SASA NAOMBA NITOE MATOKEO
Mchuano/mpambano huu niliuweka katika sehemu 5 ndani ya mtandao moja wa kijamii Facebook.
1. Niliiweka katika Account yangu ya Facebook inayojulikana kama (Miiko Ya Uongozi)
2. Niliiweka katika group la facebook lijulikanalo kama (WACHEJUAJI WA HOJA)
3. Niliiweka katika group la facebook lijulikanalo kama (KISIMA CHA JANGWANI)
4. Niliiweka katika group la facebook lijulikanalo kama (CHADEMA 2015 Vs CCM 2015) na mwisho
5. Niliiweka katika group la facebook lijulikanalo kama (TANURU LA FIKRA)
Kura zote zilizopigwa ni 2254 sawa na 100% ya kura zote
Kura zilizoharibika ni 749 sawa na 33% ya kura zote
Kura halali ni 1505 sawa na 67% ya kura zote
TUNDU A. LISSU amepata kura 731 sawa na 32% za kura zote
ZITTO Z. KABWE amepata kura 774 sawa na 34% za kura zote
Kwa mamlaka niliyaonayo napenda kumtangaza ZITTO Z. KABWE kuwa MSHINDI wa Mchuano/Mpambano huo.
Asanteh.
Tukutane wiki ijayo Mungu akijalia tutakuwa na mpambano mwingine!
By: BABA WA DODOMA