Zitto Kabwe ambwaga Tundu Lissu

Zitto Kabwe ambwaga Tundu Lissu

Ni dhana zako tu.
Ungekuwa unafaham nchi nyingi ambazo viongozi wake hawana demokrasia ndizo zenye maendeleo husingeandika ulichoandika.
Duh mboja zitto alisema bipa demokrasua hakuna free flow ya mawazo huru hivyo inaweza pelekea uchumi kudorora ila wwe unampinga kiongozi mkuu??? Alitolea mfano wa ripoti ya CAG kupunguzwa bajeti na serikali akasema huo ni udikteta nashangaa wwe unampinga kiongozi wako mkuu kuwa kuna uhusiano kati ya demokrasia na maendeleo
 
Juzi Magu kaambiwa mkabila mmelia ile mbaya kwamba hakuna ukabila nchi hii. Leo ww unajenga hoja zako kuonyesha kuna mtu anatetewa kikabila. Anyway tuache hilo, tuje kwenye poll, nilitaraji gap lisiwe la 2%. Nilitarajia kuona Zitto wangalau above 70% na Lissu below 30%. Sasa 34% v/s 32% huoni hiyo ni ngoma draw? Sio mbaya hiyo ndio raha ya demokrasia na sio huyo baba yenu mpima mikojo.
Hizi kura zilipiwa wapi?

Sent from my Kimulimuli
 
Ukitaka Lisu amshinde Zitto wapambanishe zidi ya kelele sizizo na msingi, Lisu atashinda.
Mkuu ni muhim kuweka akiba ya maneno...... hizi post siku lisu anakuwa mwenyekiti wa ACT au mgombea urais wa ukawa na enzi hizo ACT ipo ukawa utafanyeje??? Tujaribu kujikita kwenye hoja kuliko kejeli labda ungesema lisu kajikita hasa kwenye mambo ya sheria,miswada,katiba, haki na demokrasia na ungechambua kwenye eneo hilo na zitto pia kwenye eneo alilo na nguvu kma aliyosema mtoa mada ila kulinganisha indicator moja ya jimbo ambalo lipo chini ya halmashauri ya ACT wakati jimbo la lisu liko kwenye halmashauri ya ccm naona kma inakuwa haina uhalisia

Kejeli hazisaidii mkuu jikite kwenye hoja maana siasa hizi hubadilika kesho usishangae wanaungana na chadema je utaweka wapi uso wako
 
Kama kuna mtu anasema Lissu ni mbaya inawezekana hajitambua na hafaham mabadiliko waliyofanya ccm kuwaletea wananchi maendeleo kwa shinikizo la Lissu.

Lakini kumpambanisha Lissu na Zitto then ukasema bora ya Lissu kuliko Zitto kwenye kujenga hoja zenye tija, inawezekana siasa yako uliipata kwenye majumba ya ibada.

Hamna shida hayo ni maoni yako na naheshim ila hoja yangu ni kwamba uache kejeli kusema lisu anamzidi zitto kwenye KUPIGA MAKELELE sioni kma ni busara kwa mtu makini na intelligent kama wewe
 
Pigia msitari maneno haya;
Inaweza pelekea uchumi kudorora.
Kwenye maneno kama hayo ndipo tunapowatofautisha kati ya wasomi na waliokwenda shule.

Kaa chini alafu taja nchi zote ambazo wewe unafikiri zinamaendeo alafu sema kama kuna demokrasia.

Mind you, sisemi sipendi demokrasia hapana.
Siku zote naamini kuwa umasikini ndani ya nchi ya kidemokrasia ni bora kuliko maendeleo ndani ya nchi ya kidikteta.

Duh mboja zitto alisema bipa demokrasua hakuna free flow ya mawazo huru hivyo inaweza pelekea uchumi kudorora ila wwe unampinga kiongozi mkuu??? Alitolea mfano wa ripoti ya CAG kupunguzwa bajeti na serikali akasema huo ni udikteta nashangaa wwe unampinga kiongozi wako mkuu kuwa kuna uhusiano kati ya demokrasia na maendeleo
 
Uthubutu kama wa Lissu umewahi kuona wapi? Nchi hii ingekuwa na Lissu 5 tu tungekaa sawa for 50 years and more!

huo mpambano wake kaufanya yeye na marafiki zake wa facebook then anaufanya ni mpambano wa kitaifa nani asie jua kua zitto ni msaliti na hana misimamo katika kauli zake na pia amekua anabadilika kama kinyonga kila siku?
 
Kwenye ukoo wangu tupo 57
Waliopga kura 33
Matokeo
Lissu 29
Zitto 3
Moja imeharibika
TL kamgaragaza mchumia tumbo.
 
Itakuwa vioja.
Lissu kwa asili ana point sana ila mropokaji sana, na kejeli nyingi kwa anayemkosoa kiasi kwamba watu hujikuta wanaconcentrate kwenye matusi na kejeli zake badala ya hoja yake..
Zitto yupo makini sana and very well composed (ni kama Mbowe) na hoja zake huzitoa bila kutukana wala kukejeli anayemkosoa. Hivyo watu makini wanamuelewa kirahisi sana.
Sawa
 
Kwenye ukoo wangu tupo 57
Waliopga kura 33
Matokeo
Lissu 29
Zitto 3
Moja imeharibika
TL kamgaragaza mchumia tumbo.
Hata mi pia Ukoo wangu namba ni hizo hizo, perhaps tuko ukoo mmoja
 
Kwani neno "KUPIGA KELELE" wewe umelichukuliaje?
Hamna shida hayo ni maoni yako na naheshim ila hoja yangu ni kwamba uache kejeli kusema lisu anamzidi zitto kwenye KUPIGA MAKELELE sioni kma ni busara kwa mtu makini na intelligent kama wewe
 
Ulichokiandika hapa kwa mwanasayansi hata kwenye "interview" hakuiti.
huo mpambano wake kaufanya yeye na marafiki zake wa facebook then anaufanya ni mpambano wa kitaifa nani asie jua kua zitto ni msaliti na hana misimamo katika kauli zake na pia amekua anabadilika kama kinyonga kila siku?
 
Lissu alichokuwa anakipigania zamani amekigeuka leo baada ya kuona rais anakishughulikia, ana hofu Magu atawakosesha hoja huko mbeleni
Umelewa kutawaliwa,hapo mtoa hoja amewalinganisha watu wawili tofauti,yaani national figure na district figure,hawaendani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MATOKEO YA MCHUANO/MPAMBANO KATI YA

ZITTO Z. KABWE Vs TUNDU A. LISSU

Siku ya Jumapili tarehe 30/07/2017 mimi BABA WA DODOMA niliweka post ya nani anakubalika zaidi kwa wananchi kati ya wanasiasa mashuhuri nchini Tanzania ambao wanaimani tofauti katika kufanya siasa zao.

Mmoja anaitwa Zitto Z. Kabwe (Mb) yeye ni Kiongozi wa Chama (KC) cha ACT WAZALENDO, anaamini SIASA NI MAENDELEO. Ndio maana hoja zake Bungeni zinajikita katika maendeleo ya nchi kama:-

1. FUNGAMANISHO NA UJENZI WA RELI YA KATI NA BOMBA LA GESI NA MAFUTA

2. RELI YA STANDARD GAGE IPELEKWE KIGOMA PALIPO NA UCHUMI MKUBWA WA NCHI BADALA YA MWANZA

3. HOJA YA HIFADHI YA JAMII KWA WATANZANIA WOTE

4. KUBORESHWA KWA KILIMO CHA BIASHARA NA KILIMO CHA CHAKULA

5. N.K

Lakini pia Kila kukicha Mhe. ZITTO anawaza kuweka miradi mbalimbali katika jimbo lake la Kigoma Mjini kama;-

1. UJIJI CITY

2. BANDARI KAVU

3. KILIMO CHA MPUNGA

4. KILIMO CHA MICHIKICHI

5. KUJENGA HOSPITARI YA KIMATAIFA

6. UWANJA WA KISASA WA MICHEZO PALE COMMUNITY CENTER (RUYAGWA YOUTH PARCK)

7. KUJENGA BARABARA ZA PAVEMENT, LAMI , MATAA YA MARABARANI na KUJENGA MITARO NA MIFEREJI YA MAJI NDANI YA JIMBO LAKE

8. KUJENGA KIWANDA KIKUBWA CHA KUSINDIKA SAMAKI

9. KUPELEKA MAJI NA UMEME WA UHAKIKA NDANI YA JIMBO NA

10. N.K

Na zaidi ZITTO anasema yupo tayari kushirikiana na mtu yeyote au chama chochote kuhakikisha maendeleo yanapatikana wananchi waondokane kabisa na dibwi la umaskini uliokithili nchini.
Note:
Kazi anayoifanya ZITTO, inafanywa na LISSU kwa kiwango kidogo.

Wapili anaitwa Tundu A. Lissu (Mb) yeye ni wanasheria mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) anaamini SIASA NI HARAKATI, Ndio maana hoja za mbunge huyu akiwa Bungeni na hata nje ya Bunge zinajikita katika pupinga hoja zote za serikali na kuwaelewesha wananchi mambo ya honyo yanayofanywa na serikali.

Mambo anayoyapigania Mhe. LISSU ni kama yafuatayo:-

1. KUWAELEZEA WANANCHI MADHAIFU YA MIKATABA YA MADINI

2. KUWAELEZEA WANANCHI MADHAIFU YA MIKATABA YA MAFUTA NA GESI

3. KUWAELEWESHA WANANCHI UMUHIMU WA KATIBA MPYA

4. KUTETEA UHURU WA KUONGEA

5. KUWAELEZEA WANANCHI MADHARA YA KUKAMATWA KWA VIONGOZI WA UPINZANI

6. KUWAELEZEA WANANCHI MADHAIFU YA UENDESHAJI WA KITI CHA SPIKA BUNGENI

7. KUWATETEA WANANCHI KUJUA HAKI ZAO

8. KUPIGANIA UHURU WA KUMKOSOA RAIS NA SERIKALI YAKE

9. N.K

Lakini pia Mhe. LISSU anaujasiri wa kutosha wa kusema kuwa Mataifa yote Duniani yainyime misaada nchi yake, yaisusie na kuizomea nchi yake mpaka yale anayoyapigania yakae sawa.
Note:
Kazi anayoifanya LISSU, inafanywa pia na ZITTO kwa kiwango kidogo

SASA NAOMBA NITOE MATOKEO

Mchuano/mpambano huu niliuweka katika sehemu 5 ndani ya mtandao moja wa kijamii Facebook.

1. Niliiweka katika Account yangu ya Facebook inayojulikana kama (Miiko Ya Uongozi)

2. Niliiweka katika group la facebook lijulikanalo kama (WACHEJUAJI WA HOJA)

3. Niliiweka katika group la facebook lijulikanalo kama (KISIMA CHA JANGWANI)

4. Niliiweka katika group la facebook lijulikanalo kama (CHADEMA 2015 Vs CCM 2015) na mwisho

5. Niliiweka katika group la facebook lijulikanalo kama (TANURU LA FIKRA)

Kura zote zilizopigwa ni 2254 sawa na 100% ya kura zote

Kura zilizoharibika ni 749 sawa na 33% ya kura zote

Kura halali ni 1505 sawa na 67% ya kura zote

TUNDU A. LISSU amepata kura 731 sawa na 32% za kura zote

ZITTO Z. KABWE amepata kura 774 sawa na 34% za kura zote

Kwa mamlaka niliyaonayo napenda kumtangaza ZITTO Z. KABWE kuwa MSHINDI wa Mchuano/Mpambano huo.

Asanteh.

Tukutane wiki ijayo Mungu akijalia tutakuwa na mpambano mwingine!

By: BABA WA DODOMA
Kwa namna ulivyoanza hapo juu,Wewe ni Lumumba type
 
Back
Top Bottom