Zitto Kabwe ambwaga Tundu Lissu

Zitto Kabwe ambwaga Tundu Lissu

Unawapambanisha zidi ya nini?

Zitto siyo wakumpambanisha na mtu, Zitto mpambanishe na CDM yote au ccm yote still watadondoshwa.
Wapambanishe Zitto na Lissu live tuone nani mwenye akili na kibaraka wa CCM.
 
Wewe ukitakiwa usiwe na upande wowote, uwe katikati, sasa kwa vile unaonesha wazi upo upande wa Zitto siwezi kuamini matokeo yako haya.
 
Aisee, group interest vs national interest which one will you prefer?

Pia mtoa mada jaribu kisoma kitu kinaitwa freerider problem.

Unibie zitto na group lake/ wapiga kura waje Je wanafaidika na anachopigania lisu?
 
mtoa mada nimeufuatilia huko fb,kwahiyo sishangazwi na matokeo haya!
Wewe ni mwana act-wazalendo!
Anyways,ni ruhusa kujifuraisha!
 
Uthubutu kama wa Lissu umewahi kuona wapi? Nchi hii ingekuwa na Lissu 5 tu tungekaa sawa for 50 years and more!
Tatizo lake ni mnafiki anapihania asichokijua alipambana kumtukana lowassa fisadi papa Leo kumbe alikuwa anataka lowassa ajiunge nae...
 
Zitto anatetea jimbo lisu anatetea kizazi na vizazi.....jipange kijana hawafanani hawa
 
Akili yako imejaa ukabila.
Na marafiki zako huko FB ni wale wanaofanana na akili hiyo.

Na wanao unga mkono hoja zako ni wale wenye akili hiyo hiyo.

FB mtu anamtafuta rafiki anayemfahamu na kuvutiwa na hoja zake.
Kwa hiyo kama unaakili za kutosha unaweza ukaona kuwa Lisu kwenye ukurasa wako usiompenda amepata kura nyingi sana.
Mana kauli zako zinakupambanua kuwa wewe uko upande wa Zito na CCM .
Sasa mtu wa ACT na CCM automatically atakuwa na wapiga kura wengi wa CCM na ACT.
Ni dhahiri kuwa waliompigia kura Lisu walipaswa wote wampigie Zito mana ni wana CCM na wanaACT ndio waliojaa kwenye Ukurasa wako wa FB.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapambanishe Zitto na Lissu live tuone nani mwenye akili na kibaraka wa CCM.
Itakuwa vioja.
Lissu kwa asili ana point sana ila mropokaji sana, na kejeli nyingi kwa anayemkosoa kiasi kwamba watu hujikuta wanaconcentrate kwenye matusi na kejeli zake badala ya hoja yake..
Zitto yupo makini sana and very well composed (ni kama Mbowe) na hoja zake huzitoa bila kutukana wala kukejeli anayemkosoa. Hivyo watu makini wanamuelewa kirahisi sana.
 
Mtoa maada mpambano huo umekuingizia shng ngapi wewe na familia yako? Au umeliingizia taifa kodi/mapato kiasi gani?
 
Lissu alichokuwa anakipigania zamani amekigeuka leo baada ya kuona rais anakishughulikia, ana hofu Magu atawakosesha hoja huko mbeleni

Kwa sababu ya Chuki yako dhidi ya Lissu basi hujui hata anachokipagania pole sana endelea kuwa hivyo hivyo.
 
Zitto ni kibaraka wa CCM ni lazima ashinde kwa kuwa kura zake zinatoka ACT na CCM pamoja na kwa msimamizi na mwendesha kura mwenyewe.
 
Through your research we all knew your destination, guy you can't pit Lissu and Zitto.These are great politicians but with quite different ambitions,Lissu stands for rule of law.While Zitto have been a good adviser to the government on economical issue.All of them have been biased with the ruling party but to no avail to what they stand for.These guys are flag beares for their respective professional in our parliament.When these guys speak we all listen ALL!!! .Hon Zitto is an economist and stand for while Lissu is a lawyer and stand for.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika umefanya jambo jema sana na kwa kiwango kikubwa hauna mihemko ya kisiasa. Tukichukulia kura zilizoharibika kuwa karibu sawa na walizozipata watu walioshindanishwa nadhani jambo fulani linahitaji kufanyika tena ili kupata picha halisi ya nani anakubalika zaidi kwa watanzania.
Hata hivyo naona wote wanahitajika kwetu na wakiunganisha nguvu tunaweza kupata faida kubwa kama taifa.
 
Back
Top Bottom