NTWA MWIKEMO
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 734
- 365
Hii habari imekaa kiumbeaumbea sana utadhani aliyeandika ametoka kwenye mzunguko wa hedhi hivi majuzi.Update: Anawalilia Madiwani Wamsamehe kwa yote yaliyotokea ili kukinusuru chama yasitokee kama ya DSM akieleza kuwa Chama chao ni Kichanga kina Malengo Makubwa.Acha kulia brother sindano ikuingie. Umehujumu sana miradi ya wanakigoma. Unawachonganisha wanakigoma na Serikali ili wawachukie wasilete Maendeleo ili kwenu Burundi kuonekane Bora kuliko Tz kwa upande wa Kigoma tumekustukiago go Zitto we tired with your poor mission
Hiyo mimba inakupeleka kubaya!Kwa kile kinachoonesha Madiwani kumchoka Zitto Kabwe, Wamchana wazi Jioni hii kwenye Ofisi za ACT Wazalendo Kigoma ujiji ambayo ni Makao Makuuu ya ACT Wazalendo Mkoa wa Kigoma, kuwa wamemchoka kwa tabia yake ya kudai 10% kwa migongo ya Madiwani lakini Mwishowe anaishia kuwapatia Madiwani wachache. Kutokana na Hali hiyo wamepanga kuhakikisha Meya anavuliwa umeya na hawatopokea tena ushauri wa Zitto kwa kile kinachodaiwa kuwa Zitto Kabwe anakipaji cha kudanganya haswa kwa kutumia kikosi cha Wataalam 50 wa ramli. Wameapa hawatomsikiliza tena πππππππππππππ Zitto ameshikwa panyewe. Mtamuua Mrundi/Mbwali
1. Waha hawapendaniKwa kile kinachoonesha Madiwani kumchoka Zitto Kabwe, Wamchana wazi Jioni hii kwenye Ofisi za ACT Wazalendo Kigoma ujiji ambayo ni Makao Makuuu ya ACT Wazalendo Mkoa wa Kigoma, kuwa wamemchoka kwa tabia yake ya kudai 10% kwa migongo ya Madiwani lakini Mwishowe anaishia kuwapatia Madiwani wachache. Kutokana na Hali hiyo wamepanga kuhakikisha Meya anavuliwa umeya na hawatopokea tena ushauri wa Zitto kwa kile kinachodaiwa kuwa Zitto Kabwe anakipaji cha kudanganya haswa kwa kutumia kikosi cha Wataalam 50 wa ramli. Wameapa hawatomsikiliza tenaZitto ameshikwa panyewe. Mtamuua Mrundi/Mbwali
Ukisikia mamaaaaaaa ujue jiwe limedungua kitu gizaniHiyo mimba inakupeleka kubaya!
Leo jaribu kutuliza mizuka Mtu huko kidogo animwage radhiMi CCM bwana!! Kwa hio mnataka kumuondoa na meya wa kigoma ujiji ili muonekane miamba sio? Mlianza Iringa jamaa akakataa kununuliwa kama mfugo, mkaenda Arusha akafika bei, mkaelekea Dar sijui mkuria yule mlimpa dau dogo maana alikua na elements za kuunga mkono juhudi hatimae mkashindwana mkaamua kumuondoa kwa hila (illegally). Sasa naona Bashiru Ally amekuja huko kuhakikisha meya wa huko anaondolewa!!!!!
Ipo siku haya yataisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kudharirisha hali ya asili ya mwanamkeHii habari imekaa kiumbeaumbea sana utadhani aliyeandika ametoka kwenye mzunguko wa hedhi hivi majuzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari hii ni ya upande mmoja. Hakuna maoni ya diwani au madiwani, picha etc. Zito ana nafasi ya kuueleza umma hali halisi. Lakini Bashiru Ally atatoka na madiwani kama alivyofanya Tanga, habari hii itakuwa na mashiko1. Waha hawapendani
2. Waha ni wajuaji
3. Waha ni wabishi
4. Waha ni washirikina
5. Waha ni ..................
Sent using Jamii Forums mobile app
Meya Aliomba Milioni 10 kwa Mtendaji wa Serikali eti atakatwa kwenye pension eti abakie na Umeya. Hivi Meya analipwa shiling ngapiMi CCM bwana!! Kwa hio mnataka kumuondoa na meya wa kigoma ujiji ili muonekane miamba sio? Mlianza Iringa jamaa akakataa kununuliwa kama mfugo, mkaenda Arusha akafika bei, mkaelekea Dar sijui mkuria yule mlimpa dau dogo maana alikua na elements za kuunga mkono juhudi hatimae mkashindwana mkaamua kumuondoa kwa hila (illegally). Sasa naona Bashiru Ally amekuja huko kuhakikisha meya wa huko anaondolewa!!!!!
Ipo siku haya yataisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga mtupu ndo mana umekua kidwarfUpdate: Anawalilia Madiwani Wamsamehe kwa yote yaliyotokea ili kukinusuru chama yasitokee kama ya DSM akieleza kuwa Chama chao ni Kichanga kina Malengo Makubwa. ππππ Acha kulia brother sindano ikuingie. Umehujumu sana miradi ya wanakigoma. Unawachonganisha wanakigoma na Serikali ili wawachukie wasilete Maendeleo ili kwenu Burundi kuonekane Bora kuliko Tz kwa upande wa Kigoma tumekustukia πππππ go go Zitto we tired with your poor mission
Jamani Wanagombea ten percent wenyewe hapo CCM inahusikeje. Nasikia Kiongozi Mkuu Mpaka macho yamevimba huwezi kumtambua. Leo alikuwa amevaa cadate nyeupe imebadilika rangi na kuwa ya Majimaji. ππππ akina Kacheche Kalyango Mpaka wanaoana aibu π€¨π€¨π€¨π€¨πipo siku mtamaliza wote alafu mtagundua kumbe bado bashite mtammaliza alafu mtasema apana tunamwachaje polepole mwisho siku mtatuona watanzania mbona hawatupendi. sijui ikifika siku hiyo mtakapojua hayo mtushughulikie?
ccm movi yenu hii ipo siku mtajutia
Kwa kile kinachoonesha Madiwani kumchoka Zitto Kabwe, Wamchana wazi Jioni hii kwenye Ofisi za ACT Wazalendo Kigoma ujiji ambayo ni Makao Makuuu ya ACT Wazalendo Mkoa wa Kigoma, kuwa wamemchoka kwa tabia yake ya kudai 10% kwa migongo ya Madiwani lakini Mwishowe anaishia kuwapatia Madiwani wachache. Kutokana na Hali hiyo wamepanga kuhakikisha Meya anavuliwa umeya na hawatopokea tena ushauri wa Zitto kwa kile kinachodaiwa kuwa Zitto Kabwe anakipaji cha kudanganya haswa kwa kutumia kikosi cha Wataalam 50 wa ramli. Wameapa hawatomsikiliza tenaZitto ameshikwa panyewe. Mtamuua Mrundi/Mbwali
Nasikia Wanatafunana na Moga π π π π π