Zitto Kabwe Agonga Mwamba kwa Madiwani wa ACT Wazalendo Kigoma ujiji

Ungeleta taarifa yako bila kuweka mambo ya ubaguzi wa ukabila bado ingeeleweka. Kusema Zitto ni Mrundi huku huna uthibitisho inaonyesha una chuki binafsi dhidi yake. Tena tukianza kuchimbuana nani katoka Burundi, nani Mnyarwanda nani Mmakonde wa Msumbiji nani Msomali basi utaona hata viongozi fulani wakubwa tu wa nchi hii sio Watanzania
 
Mi CCM bwana!! Kwa hio mnataka kumuondoa na meya wa kigoma ujiji ili muonekane miamba sio? Mlianza Iringa jamaa akakataa kununuliwa kama mfugo, mkaenda Arusha akafika bei, mkaelekea Dar sijui mkuria yule mlimpa dau dogo maana alikua na elements za kuunga mkono juhudi hatimae mkashindwana mkaamua kumuondoa kwa hila (illegally). Sasa naona Bashiru Ally amekuja huko kuhakikisha meya wa huko anaondolewa!!!!!
Ipo siku haya yataisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Toka lini mkurya akawa Meya wa Dar? Mbona mnaleta uchuro?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye jina takatifu then unalinajisi kwa uovu ni sawa na kufuru!

Wanyakyusa wapumbavu ni wachache saana. Wengiwao itapiamlo uliwapitia!
Unadhani ni Mnyakyusa wa kuokoteza kama wewe unavyojiita Mnyakyusa kwakuwa ulisaidiwa kulifungua bichwa lako kitaaluma.
Hauelewi kilichompata ndugu yako Usiku kucha anahaha haelewi alale wapi, Anywe wapi, asaidiwe na nani maana aliokuwa nao hakuna hata wa kumshauri cha kufanya.
Usiku alishifika Coast view bar akiwa na Wilson Awimo Mogha, ambaye ni Mundari wa Mbeya akiwa na vibaka 03. Alikuwa amevaa Surua ya kaki nyeupe kutwa anachati na kulalamika na anacholalamikia eti ametengwa.
Zitto people are tired , Sera zako zilezile huna hata jipya.
Hata kama umemtongoza Mwanamke siku ya kwanza nakununulia gari, hujatimiza ahadi siku Nyingine unamdanya nakununulia nyumba hujatimiza unaenda tena nitakuletea hela hujatimiza, nivumilie kesho nitawasaidia huduma ya Usafiri na hujatimiza, unapanga uongo Mwingine, nani atakuelewa.
Zitto Kabwe ni Muongo kwelikwel na si wa kumuamini.
NB: Kikolo twe bhanyakyusa tusimenye isyanaloli fijho, aseee leka nkwifanya numwe bhanyafyale bho mulibhajhanga bha mwighurusi.
Zitt Kabw amebanwa kila kona hoi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜Ž
 
Kila kukicha watu wanawehuka sijui kwa nini! hoja dhaifu sana hizi.. Alafu wapambe nuksi wanajaa wakileta ubaguzi na kelele zile Hayati Mwalimu JK Nyerere alizipinga, yani hadi leo hii watu wanapiga michongo kwenda Mars mtu na ndevu zako unongelea ukabila katika misingi ya chuki na ubaguzi usio na maana. Shithole
 
Ungeleta taarifa yako bila kuweka mambo ya ubaguzi wa ukabila bado ingeeleweka. Kusema Zitto ni Mrundi huku huna uthibitisho inaonyesha una chuki binafsi dhidi yake. Tena tukianza kuchimbuana nani katoka Burundi, nani Mnyarwanda nani Mmakonde wa Msumbiji nani Msomali basi utaona hata viongozi fulani wakubwa tu wa nchi hii sio Watanzania
Sina maana natoa Ubaguzi Kiongozi, Mtu akiwa na tabia ya Mimi nifanikishe kwa Wazazi Wangu kuonekane Bora kuliko kwa Watanzania wanaopakana na kwenu kwa asili ambako ndiko kwa Wazazi wako huoni kama ni hujuma kwa Watanzania wasio na hatia.
Kama ni kosa kumweleza mtu ukweli naomba nisamehewe kwa hilo kwasababu wote ni Waafrika, na Waafrika hatujafikia huko. Tunapendana ila Zitto Kabwe alikofikia lazima arudishwe kwenye reli. Maaana anajua kuingia kwenye siasa ni wakati wakutengeneza story harafu baadae anaenda kuomba rushwa Waulize waliye naye Bungeni, na amewafanyia hivyo mapaka Madiwani wa Manispaa ya Kigoma bila Huruma. Ameenda kwa Wakandarasi wa Kichina kavuta, Aliyefilisika wa Mradi wa Maji wa Spenconi alivuta Mpaka Jamaa alifirisika, kuna Makandarasi wa Barabara ya Posta hadi Gungu, Kibirizi, Kalalangabho, Bangwe kamara amevuta mpaka miradi imetekelezwa chini ya kiwango na Mradi wa Maji mpaka sasa unasuasua ila JPM amechukua hatua ya kusaidia Wananchi wa Kigoma Kigoma Manispaa. Na hata Fedha alizotoa JPM kwa Mkandarasi Mpya naye anamwomba 10%. Sasa hapo Jamani Mimi Mnyakyusa kama mnavyosema nimekosea wapi.
Njoo Kigoma Vijijini amejimilikisha maeneo ya Madini eneo kubwaaaa Lengo eti aje alipwe fidia. Huyu Kabw anajifanya Mzalendo ila hafai nenda kawaulize Madiwani wa ACT Wazalendo Kigoma ujiji utaelewa. Mama Anna Mgwira alimkimbia anamjua Zitto ni hatariii zaidi ya unavyoelewa.
Nitawarushia siku uozo wake kwenye Kikundi waliokuwa wanajiita Kigogo 14 , sijui Wamewaibia watu hao kwa kutumia akaunti feki.
Naona Mwisho tutaelewana baada ya pa Madiwani kumtandika Fimbo.
 
Hii habari imekaa kiumbeaumbea sana utadhani aliyeandika ametoka kwenye mzunguko wa hedhi hivi majuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ben Bella Member
Joined Dec 3, 2019

Umejiunga mwezi mmoja uliopita ghafla unakuja na mchango wa kitoto kiasi hiki. Ni wale ambao matokeo yametoka hivi karibuni? Soma sheria za JF. Hatuko hapa kutukana matusi au kudhalilisha kundi fulani.
Huna dada au mama ambae anaingia kwenye hedhi? Akiingia huwa anaonesha tabia unayoiona?
 
Sina maana natoa Ubaguzi Kiongozi, Mtu akiwa na tabia ya Mimi nifanikishe kwa Wazazi Wangu kuonekane Bora kuliko kwa Watanzania wanaopakana na kwenu kwa asili ambako ndiko kwa Wazazi wako huoni kama ni hujuma kwa Watanzania wasio na hatia.
Kama ni kosa kumweleza mtu ukweli naomba nisamehewe kwa hilo kwasababu wote ni Waafrika, na Waafrika hatujafikia huko. Tunapendana ila Zitto Kabwe alikofikia lazima arudishwe kwenye reli. Maaana anajua kuingia kwenye siasa ni wakati wakutengeneza story harafu baadae anaenda kuomba rushwa Waulize waliye naye Bungeni, na amewafanyia hivyo mapaka Madiwani wa Manispaa ya Kigoma bila Huruma. Ameenda kwa Wakandarasi wa Kichina kavuta, Aliyefilisika wa Mradi wa Maji wa Spenconi alivuta Mpaka Jamaa alifirisika, kuna Makandarasi wa Barabara ya Posta hadi Gungu, Kibirizi, Kalalangabho, Bangwe kamara amevuta mpaka miradi imetekelezwa chini ya kiwango na Mradi wa Maji mpaka sasa unasuasua ila JPM amechukua hatua ya kusaidia Wananchi wa Kigoma Kigoma Manispaa. Na hata Fedha alizotoa JPM kwa Mkandarasi Mpya naye anamwomba 10%. Sasa hapo Jamani Mimi Mnyakyusa kama mnavyosema nimekosea wapi.
Njoo Kigoma Vijijini amejimilikisha maeneo ya Madini eneo kubwaaaa Lengo eti aje alipwe fidia. Huyu Kabw anajifanya Mzalendo ila hafai nenda kawaulize Madiwani wa ACT Wazalendo Kigoma ujiji utaelewa. Mama Anna Mgwira alimkimbia anamjua Zitto ni hatariii zaidi ya unavyoelewa.
Nitawarushia siku uozo wake kwenye Kikundi waliokuwa wanajiita Kigogo 14 , sijui Wamewaibia watu hao kwa kutumia akaunti feki.
Naona Mwisho tutaelewana baada ya pa Madiwani kumtandika Fimbo.
Ujinga mwingi kuliko uhalisia. Hizo rushwa zote na kuna takukuru kwanini amjamlengesha akamatwe akiomba na kupokea rushwa?.maana kwa maelezo yako rushwa ni za wazi na isingekuwa kazi kubwa kumkamatisha. Ila mkuu jiepushe na ule upumbavu wa kusema ni mrundi unajidhalilisha sana.
 
Mbo
Toka lini mkurya akawa Meya wa Dar? Mbona mnaleta uchuro?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga mwingi kuliko uhalisia. Hizo rushwa zote na kuna takukuru kwanini amjamlengesha akamatwe akiomba na kupokea rushwa?.maana kwa maelezo yako rushwa ni za wazi na isingekuwa kazi kubwa kumkamatisha. Ila mkuu jiepushe na ule upumbavu wa kusema ni mrundi unajidhalilisha sana.
Mkuu hapo kumtaja Mrundi nimekosea na naomba Msamaha maana vyaubaguzi siyo vizuri, ila Takukuru wanaweza wakaanzia hapo. Ila kumkuta Zitt kwenye chain direct ni ngumu sana kutokana na ubobezi wake kwenye mambo hayo.
Wewe Jaribu kukumbuka kwenye issue za mikataba ya Madini alipopiga kwa kushirikiana na TL alikamatwa kwani au, Issue ya Miradi ya TSCP, Ujenzi wa mialo n.k . Labda Washaur ndugu hao waanze kwenye miradi iliyofail Kigoma lazima watapata kitu.
Tunayeishi na kufanya shughuli naye ndo tunaelewa. Ukifika Muda yatamwagwa hadharani maana tumeuchoka ujanjajanja wake
 
Ni heri ccm tuupoteze tena mkoa wa Dar,lakini si kwa Zitto kushinda kigoma mjini
Hatutaacha kugusa hata punje ya mtama,Zitto analijua hilo
 
Update: Anawalilia Madiwani Wamsamehe kwa yote yaliyotokea ili kukinusuru chama yasitokee kama ya DSM akieleza kuwa Chama chao ni Kichanga kina Malengo Makubwa. πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Acha kulia brother sindano ikuingie. Umehujumu sana miradi ya wanakigoma. Unawachonganisha wanakigoma na Serikali ili wawachukie wasilete Maendeleo ili kwenu Burundi kuonekane Bora kuliko Tz kwa upande wa Kigoma tumekustukia πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† go go Zitto we tired with your poor mission
Endelea na upudetisi nyingine, sisi tunasubiri.
 
Unadhani ni Mnyakyusa wa kuokoteza kama wewe unavyojiita Mnyakyusa kwakuwa ulisaidiwa kulifungua bichwa lako kitaaluma.
Hauelewi kilichompata ndugu yako Usiku kucha anahaha haelewi alale wapi, Anywe wapi, asaidiwe na nani maana aliokuwa nao hakuna hata wa kumshauri cha kufanya.
Usiku alishifika Coast view bar akiwa na Wilson Awimo Mogha, ambaye ni Mundari wa Mbeya akiwa na vibaka 03. Alikuwa amevaa Surua ya kaki nyeupe kutwa anachati na kulalamika na anacholalamikia eti ametengwa.
Zitto people are tired , Sera zako zilezile huna hata jipya.
Hata kama umemtongoza Mwanamke siku ya kwanza nakununulia gari, hujatimiza ahadi siku Nyingine unamdanya nakununulia nyumba hujatimiza unaenda tena nitakuletea hela hujatimiza, nivumilie kesho nitawasaidia huduma ya Usafiri na hujatimiza, unapanga uongo Mwingine, nani atakuelewa.
Zitto Kabwe ni Muongo kwelikwel na si wa kumuamini.
NB: Kikolo twe bhanyakyusa tusimenye isyanaloli fijho, aseee leka nkwifanya numwe bhanyafyale bho mulibhajhanga bha mwighurusi.
Zitt Kabw amebanwa kila kona hoi
Jifunze kuandika kwa Usahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbo
Mkuu hapo kumtaja Mrundi nimekosea na naomba Msamaha maana vyaubaguzi siyo vizuri, ila Takukuru wanaweza wakaanzia hapo. Ila kumkuta Zitt kwenye chain direct ni ngumu sana kutokana na ubobezi wake kwenye mambo hayo.
Wewe Jaribu kukumbuka kwenye issue za mikataba ya Madini alipopiga kwa kushirikiana na TL alikamatwa kwani au, Issue ya Miradi ya TSCP, Ujenzi wa mialo n.k . Labda Washaur ndugu hao waanze kwenye miradi iliyofail Kigoma lazima watapata kitu.
Tunayeishi na kufanya shughuli naye ndo tunaelewa. Ukifika Muda yatamwagwa hadharani maana tumeuchoka ujanjajanja wake
Nimekuelewa Mkuu.ila kwangu uwa sizielewi hizi taasisi za kupambana na rushwa kwa kushindwa kumkamata mtu ambaye kwa jinsi unavyomtuhumu zito aiwezi kuwa ngumu kumkamata.na kwa jinsi ya maelezo yako inaonekana na unakiri Mh Zito akili kubwa.na TL nini kilishindikana mpaka zikapigwa zile 38.na Mungu kukataa nia zenu mbaya
 
Mkuu Zitto atuhumiwi ni Kweli kama huamini Mtafute Kalama, Kalyango, Kacheche, Meya, Wakandarasi wa Kichina, Mmiliki wa Mradi wa Maji wa Spencon, Waliojenga barabara zenye kiwango ovyo, Waliojenga shule ya Msingi Kigoma karibu stesheni ya Reli Kigoma, Wananchi wa Kitongoni na Mengine ngoja niweke akiba asipoomba Msamaha kwa Madiwani nitamlipua zaidi ya alivyokuwa anafanya Mwanaharakati wa Wakujitegemea.
Amewafanya Madiwani kama Misukule, Mbaya zaidi anaenda kwa Waganga wake 50 waliopo Mwandiga, Kasingirima, Bushanani, Kitongoni n.k.
Na kwa ubaya zaidi alimfanyia Kibaya Baba Levo akiwa Gerezani kwa tabia Mbaya akaanza kudate na Bby wake, alimwahidi atamsomeshea Watoto lakini baada ya kutoka Rupango Baba Levo alimtukan kwelikweli kwenye kundi lao la WhatsApp la ACT Wazalendo. Kama anabisha ajitokeze awaeleze kama ni uongo Wasaidizi wake.
Alienda Afrika kusini kushinikiza Ndege zetu zikamatwe ili asaidiwe kupewa Fedha kwa ajili ya uchaguzi Mkuu 2020 na ule wa Serikali za mitaa 2019. Alipo Kosa kakajifanya eti kanaonewa wakati kalikosa pesa.
πŸ–πŸ–πŸ–πŸ–πŸ–πŸ–πŸ–πŸ–πŸ–πŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Back
Top Bottom