Zitto Kabwe achunguzwa kuvuna PAP

Zitto Kabwe achunguzwa kuvuna PAP

We hujui siasa ya Nchi hii, wiki jana tulikuwa na furaha zaidi, Maana tulijuwa mlichokuwa mnakitaka, ndo hamtaweza kukipata tena mrudi tuu shimoni mkafanye udalali wa vitunguu.

tapika vyote, mpaka nyongo!
 
Wasi wasi wangu ni kwa nini Zito hakufatilia mgao wa Stanbic Bank wa viroba na sandarusi??
Akakomaa na migao ya Ruge, alimlinda nani??
Kama ni mgao alipata wa viroba vilivyo pelekwa Ikulu, ndio maana huko hakugusa!!
 
unanitaka tafadhari usipotoshe, mtu aplot kutoa fedha kwa CO ya PAP na VIP Hotelini Kunduchi, asipewe kitu kwa kweli??
Tupate majina ya wafaidika wa Stanbic Bank, tuwe na uhakika kama Muhongo hayumo!!
 
Last edited by a moderator:
jamani zito ni mchafu sana.kwanini apewe hela za mashirika ya umma kama nssf?mbona kuna vituo vingi sana vya watu wenye matatizo na hawapewi hiyo misaada?nawanyooshe kidole ole wenu
 
Na wanaotuhumiwa kutafuna ruzuku wachunguzwe...ninaamini kabisa hakuna msafi pale.Sheria ni msumeno unakata kotekote bila kujali nani ni nani?
 
Wasi wasi wangu ni kwa nini Zito hakufatilia mgao wa Stanbic Bank wa viroba na sandarusi??
Akakomaa na migao ya Ruge, alimlinda nani??
Kama ni mgao alipata wa viroba vilivyo pelekwa Ikulu, ndio maana huko hakugusa!!

Hapo kabla ya kukimbilia kwa mbuzi wa kafara ulipaswa kujiuliza kwanini Rais hajalitolea ufafanuzi, Rais alipaswa kuliweka bayana hili jambo.
 
Kitendo cha kutajwa tu kinatosha kumfanya ajiuzuru kamati take,so msafi and this is his time to be responsible,hana tofauti na akina Muhongo
 
Unaweza kumtetea mtu kwa kosa moja lakini usimtetee kwa kosa jingine. Kwa hili hata mie nashinikiza Zitto achukuliwe hatua kali. Kwa nini yeye na si DeoFilikunjombe?

Team Muhongo mna jazba
 
Kwani ZITTO alifukuzwa CHADEMA kwa sababu ya UFISADI? Mimi sina itikadi yoyote ya Chama pale anapoonewa mtu namtetea na pale anavurunda nakuwa kinyume naye, siyo nyie wafia vyama.

Avatar yako tu inakushitaki.

Pumbavu mkubwa.
 
Back
Top Bottom