Zitto Kabwe achunguzwa kuvuna PAP

Zitto Kabwe achunguzwa kuvuna PAP

Ni kweli Lizaboni kulikuwa na hot debate siku ile na hata maelezo ya Zitto yaweza kuwa ilikuwa ni kutafuta huruma ya wabunge na jamii kwa ujumla lakini still haiwezi kuwa excuse ya bunge lenye dhamana kubwa ya kusimamia uwajibikaji kwa mihimili mingine lishindwe kuwajibika lenyewe.

Binafsi bado naona bunge lilipotoka sana kuachia tuhuma zile zipite bila uchunguzi wowote.
Hakika bunge linatakiwa kujitathimini hawako salama wala sahihi inaonekana kunavitu vinavyowahusu baadhi ya watu au wabunge hawavigusi ila mengine ya watu au wabunge wasiojua kujikosha wala kujipendekeza ndiyo yanajadiliwa hii siyo sawa zitto lazima ashughurikiwe ipasavyo.
 
Kwenye orodha ya watu waliokua wakimtetea zzk kwamba kaonewa na CDM, jina lako pia lipo! Hatimae umeanza kuelewa sasa.
Kwani ZITTO alifukuzwa CHADEMA kwa sababu ya UFISADI? Mimi sina itikadi yoyote ya Chama pale anapoonewa mtu namtetea na pale anavurunda nakuwa kinyume naye, siyo nyie wafia vyama.
 
Zitto mwizi sana halafu akibanwa kujibu maswali anakimbilia kulia kama mtoto mdogo ili ahurumiwe jamaa kafisadi kweli.
Pale Mago Garden-Kinondoni, alikuwa analia kama chizi vile, eti wimbo umemgusa. -Nani kama Mama wa Bela. Nilipokasogelea kumbe kamelewa chakali

siku hizi akilewa anaanza kulia lia. Mara kaimiss CHADEMA.
 
Ni kweli Lizaboni kulikuwa na hot debate siku ile na hata maelezo ya Zitto yaweza kuwa ilikuwa ni kutafuta huruma ya wabunge na jamii kwa ujumla lakini still haiwezi kuwa excuse ya bunge lenye dhamana kubwa ya kusimamia uwajibikaji kwa mihimili mingine lishindwe kuwajibika lenyewe.

Binafsi bado naona bunge lilipotoka sana kuachia tuhuma zile zipite bila uchunguzi wowote.

Mkù, huo ndo uhalisia ambao unapaswa kusemwa wazi wazi. Ni wakati sasa wa bunge kuwawajibisha wabunge wao wabaokula mlungula. Sitasahau siku ile wabunge walivyotuhumiwa kwa rushwa bunge likawakingia kifua yet wanajifanya wao ndo wasafi wa kuiwajibisha serikali
 
Last edited by a moderator:
Hakika bunge linatakiwa kujitathimini hawako salama wala sahihi inaonekana kunavitu vinavyowahusu baadhi ya watu au wabunge hawavigusi ila mengine ya watu au wabunge wasiojua kujikosha wala kujipendekeza ndiyo yanajadiliwa hii siyo sawa zitto lazima ashughurikiwe ipasavyo.
Something like that.
 
Huyu dogo nilisema mwanzo kuwa ni mwizi tena sana tu mkanipuuza zaidi ya hapo ni mnafiki na msaliti namba moja.
 
Pale mago garden alikuwa analia kama chizi eti wimbo umemgosa. -nani kama mama wa Bela. Nilipokasogelea kumbe kamelewa chakali.

Tehetehetehe. Zitto mwizi anayejifanya mtakatifu
 
asipoachia ngazi tutaenda kumtoa kwa nguzu bungeni, tumeshaanza kuhamasishana na kufikia jmosi haja ng'oka tutaanza kupanda mabasi kuelekea dodoma tayari kwa kazi ya kumng'oa asijifanye kotapini. tundu lissu lema na sugu kama mtamshindwa basi tegemeeni mshikemshike wiki ijayo, hakianani dodoma haitakalika.

Uwezo huo hauna! endelea kubwabwaja jf tu.
 
Wakati wa uchunguzi, zitto kabwe ashinikizwe kuachia ngazi ndani ya kamati ya PAC kupisha ucbunguzi

Ungesema kuwa akaunti ya PAPiliyoko stanbic ichunguzwe upya kabisa na wengineo woooote wale waliofaidika na chochote kile nao waadhibiwe! zaidi ya hapo uko husomeki unakuwa kama mchochezi! Shauri wakubwa wako suala hili lirudi upya bungeni! Tujue mwenyekiti wa baraza la mawaziri kama yuko msafi!
 
Pale mago garden alikuwa analia kama chizi eti wimbo umemgosa. -nani kama mama wa Bela. Nilipokasogelea kumbe kamelewa chakali.
Ha ha ha ha ha ha,jamaa kajinga kweli kumbe kanalewa kijinga hivi halafu hela anazokula rushwa ndiyo anaenda kulewa pombe hafai kabisa.
 
Huyu dogo nilisema mwanzo kuwa ni mwizi tena sana tu mkanipuuza zaidi ya hapo ni mnafiki na msaliti namba moja.

Mkuu, pole sana kama ulikwazwa kwa kiasi hicho. Kwa sasa imethibitika kuwa Zitto ni mwizi. Anapaswa kushughulikiwa ipasavyo
 
Hivi mbona munakua na akili ndogo hzo nyaraka ziliibuliwa kipindi kile PAC wananasilisha masuala ya escrow ilikua ni upuuzi wa kubumba lkn siwashangai nyie watazania mna wivu hampendi kuona mtu anang'ara kwa lolote juu ya mafanikio yake ndo haya haya ya diamond mnamfanyia shinda kweli nyie. Wivu usio na maana kabisa mtu anasapoti ujinga kweli hamtaweza fka.
 
Kwenye orodha ya watu waliokua wakimtetea zzk kwamba kaonewa na CDM, jina lako pia lipo! Hatimae umeanza kuelewa sasa.

Hii haihusiani ata kidogo na mfano uloutoa. Tunazungumzia UFISADI kwa Viongozi (Zitto akihusishwa). Hakufukuzwa CDM kwa ufisadi(kwani Mafisadi ndan ya CDM hakuwa yeye,walikuwa wengine ba wanafahamika kwa majina).
 
Huyu dogo nilisema mwanzo kuwa ni mwizi tena sana tu mkanipuuza zaidi ya hapo ni mnafiki na msaliti namba moja.

Mbona husemi kuwa akaunti hiyo stanbic haisemwi kwa majina walichochotewa ni akina nani wengineo! Ukilileta hili ccm wataumia!
 
Ungesema kuwa akaunti ya PAPiliyoko stanbic ichunguzwe upya kabisa na wengineo woooote wale waliofaidika na chochote kile nao waadhibiwe! zaidi ya hapo uko husomeki unakuwa kama mchochezi! Shauri wakubwa wako suala hili lirudi upya bungeni! Tujue mwenyekiti wa baraza la mawaziri kama yuko msafi!
Anayetuhumiwa hapa ni Zitto kupokea mlungula kwa PAP. Anapaswa kuwajibika ili uchunguzi ufanyike akiwa nje. Anapaswa pia kuwa nje ya bunge
 
Anayetuhumiwa hapa ni Zitto kupokea mlungula kwa PAP. Anapaswa kuwajibika ili uchunguzi ufanyike akiwa nje. Anapaswa pia kuwa nje ya bunge

Uchunguzi wa kiuoga huo!! Akaunti ya Stanbic ije upya tujue wafaidika!
 
Back
Top Bottom