Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,268
visa vya chdm kwa zito haavitaisha labda wachaga waishe dunian,wizi wa mbowe na slaa mmekaa kimya wachaga bana
Ukabira naona umekukalia kooni, dunia ya leo unaongelea ukabira? Pole sana
visa vya chdm kwa zito haavitaisha labda wachaga waishe dunian,wizi wa mbowe na slaa mmekaa kimya wachaga bana
Na wale wote wanufaika wa Stanbic wachunguzwe lakini pia wakiwa nje. Tuache Double Standard
Uko sawa mkuu, sasa hao akina Lisu, sugu na Lema umewatendea haki kuwa ingiza ktk com zako hapo juu? Siyo kuwaonea kweli? Ebu tuwe wakweli
Hawa walisema watamtoa Muhongo kwa nguvu wakijua hakuwa kapata hata sent ya PAP/VIP kisa tu "uwajibikaji", sasa nyani mzee huyu hapa wamemgwaya, au ni mwenzao? inamaana cdm hawapaswi kuwajibika? kamon acheni ujuha. atoke.
Unataka tufanyeje.
swissme
Kwa kweli mla rushwa siyo mtu wa kuhurumiamia hata kidogo.Ni lazima achunguzwe kwani amepokea fedha kutoka kwa Mkono aliyejipatia zaidi ya shilingi bilioni 64 rudia bilioni 64 kutoka Tanesco kama wakili wake. Alipokuwa Musoma wakati wa likizo ya Krismasi alisema hataacha kuiandama serikali pale tu atakaporudishiwa "duka lake" (Tanesco). Amemtumia Kafulila na Zitto kuendesha kampeni ya Escrow kwa matumaini kuwa atarudishiwa duka lake.
Kumchunguza Zitto si tu kwa kashifa hii bali pia kwa kujipatia fedha kutoka mashirika mbalimbali ya umma ni muhimu. Kijana huyu ni janga la kitaifa.
Serikali hii utafikiri kichwa cha mwendawazimu.
Hawa PCCB wanaojianya wanachunguza wanashindwaje kuchunguza na kubaini wakina nani walichuka ela Mabilioni ya pesa kwenye Lumbesa pale Stanbic bak.?Ni uchizi husio na kifani. Unaacha kuchunguza watu waliokwapua a lot of billions through Stanbic unaanza kukimbizana na hawa watu waliochukua sijui vimilioni kumi sijui tano.Hii ni akili au matope.
asipoachia ngazi tutaenda kumtoa kwa nguzu bungeni, tumeshaanza kuhamasishana na kufikia jmosi haja ng'oka tutaanza kupanda mabasi kuelekea dodoma tayari kwa kazi ya kumng'oa asijifanye kotapini. tundu lissu lema na sugu kama mtamshindwa basi tegemeeni mshikemshike wiki ijayo, hakianani dodoma haitakalika.

mbona muhongo hajachukua hata senti tano katimliwa iweje yeye aliyekomba milioni kumi aachwe? tutaandamana kwenda dodoma labda awe analala bungeni

Uwezo huo hauna! endelea kubwabwaja jf tu.
Kwani Muhongo mliyemshinikiza ajiuzulu amefanya ufisadi gani?
Wakati wa mjadala wa sakata la ESCROW bungeni hili swala liliibuliwa na Nchambi pamoja na Lusinde, wakadai wana nyaraka. Lakini wakati Zitto akijibu hoja nakumbuka aliweka commitment yake swala lipelekwe kamati ya maadili ya bunge na yeye yupo tayari kuwajibika ikiwamo kujiuzuru ubunge wake ikiwa itathibitika ni kweli.
Kwangu nilijua kwa kuwa jambo lile liliibukia bungeni tena baina ya wabunge kutuhumiana nikajua commitment ya Zitto ni suluhu mujarabu ili ukweli ufahamike. Sasa kama wale ndugu Nchambi na Lusinde waliibua hili na kudai wana nyaraka kwa nini wasingekubaliana na Zitto na kuweka commitment zao kama mwenzao? Na kwa nini Spika alilikalia kimya pasipo ufafanuzi wowote? maana hizi zilikuwa ni tuhuma dhidi ya mwenyekiti ambaye kamati yake imeshiriki uchunguzi uliokuwa unajadiliwa.