Zitto Kabwe achunguzwa kuvuna PAP

Zitto Kabwe achunguzwa kuvuna PAP

Ingekuwa hivyo kwa ninavyomfahamu Profesa Muhongo basi pale kwenye utetezi wake angeshambulia kwa hilo kombora.Ukiona alikaa kimya basi halikuwepo.

zitto ni mnafiki wa kufa kazi yake ni kutembelea na kuwapigia simu wakurugenzi wa mashirika ya umma wampe hela wasipompa anawatafutia scandal hivi sasa kijana mdogo huyu ana nyumba 4 za ghorofa hivyo basi naye anahitaji kuchunguzwa.
 
mbona muhongo hajachukua hata senti tano katimliwa iweje yeye aliyekomba milioni kumi aachwe? tutaandamana kwenda dodoma labda awe analala bungeni

Ukiandamana utakumbanna mabomu ya policcm, shauri yako,,, c umeona kwa cuf?
 
Damu ya Muhongo itamtafuna sana Zitto na wenzie. Haitapotea bure naamini Zitto anaota ndoto mbaya kila siku tangu Muhongo ajiuzulu ile mil.450 aliyopewa na yule tajiri ammalize Muhongo ndio itampeleka ktk uchizi pindi ripoti ya PCCB ikitoka
 
Mm nadhani imefika wakati tuwaombe watafiti wa mardhi sugu na makubwa watutafutie chanjo ya huu ugonjwa wa rushwa na ubinafi na kukosa uzalendo kwa wtz kwa nchi yao..bila kupata chanjo kama vile za surua na polio nchii haitakwisha mafisadi na mijambazi..maana kila mtz ni fisadi kwa urefu wake wa kamba. Wengine wezi wa luku wengine wakwepa kodi wengine wapiga bambo wengine ndio hao mjengoni nk...kila mtz hakosi ufisadi..
 
Kwa adabu tu zitto angejiuzuru wadhifa wake sawa na ngeleja na chenge, huu ndo uwajibikaji wa kiungwana. nasikia upo ushahidi wa cctv, ndo maana siku zote nasema jk vunja hili bunge tuunde serikali ya mpito tuanze moja haya yote mapiga dili. juzi hapa hawa wabunge wa cdm walikuwa watoto wa shule na wengine wanauza grocery leo wanautajiri wa kutisha wamefanya biashara gani ndani ya miaka mitano hii tu?

Huwezi kuita kila mwenye maendeleo mwizi au fisadi unless utoe ushahidi wa alipoiba. Kuna mikopo ya wabunge ni fedha nyingi. Pia kiwango chao cha seating allowances ni kizuri mtu akisettle ana uwezo wa kufanya vitu vikubwa vya kumletea maendeleo. Isitoshe wapo wengi wanaopiga deal japo c wote.
 
Nitarudi
[
UOTE=mchalo mtamu;11764875]Hii tabia ya kuchukua pesa kwa zitto hajaanza leo hata mbinu yake anayotumia ni hii wala haijabadilika kwa yeye kutumia watu kuchukua pesa zake halafu ndiyo wa kwanza kujikosha.[/QUOTE]
 
Looooh, orodha ya waliochota fedha kupitia bank ya Mkombozi inaeleweka (jumla 7 billioni plus); lakini orodha ya waliochota fedha kupitia bank ya Stanbic haieleweki (jumla 75 billioni plus). Lini wananchi tutajulishwa kuhusu hawa waliochota /kuchukua fedha kupitia bank ya Stanbic??? Mwenye tetesi???
 
Ingekuwa hivyo kwa ninavyomfahamu Profesa Muhongo basi pale kwenye utetezi wake angeshambulia kwa hilo kombora.Ukiona alikaa kimya basi halikuwepo.

Yani hapo ndo umeconclude hahhahaha! Fungua macho na akili!
 
Kamati ya maadili ya BUnge isipochunguza hizi tuhuma! Nitaamini BUNGE lote.ni corrupt! Na kazi yao ni kucheza michezo michafu
 
nasikia hata alichukua stanbic ana mahusiano ya karibu na kaya kuu, hata madini alichukua pia!
 
Zitto hatoacha wizi maisha yake yote kazoea sana.
 
Muhongo hakuonewa aliingizwa mkenge(hakujua wajanja wanamtumia kupiga mshiko) kama wanvyomuingiza mkenge huyu mpya na umeme wa sola.
aliingizwa mkenge kwa sababu ya ujinga wake
 
Back
Top Bottom