Kwa ushahid upi? Hebu watanzania kuweni na akili bas japo kidogo.Sio mnaanza kutokwa na povu wakati hata huo uchunguzi wenyewe hauna uhakika kama kweli upo au la! Hata kama ni kweli anachunguzwa basi subirini muone majibu yatakuwaje ndo muanze kutokwa na povuNa huyu nyepesi hajaonewa hiyo ni kusema kwamba naye jela inamsubiri
ndo maana tunasema apishe kwanza kiti, tunataka tumsafishe si anabidi achuchumae kwanza?