wengemtimua tu. kwani akina machange, juliana shonza, mwampamba na wengineo walipewa nafasi kujitetea? kwanini chadema inakuwa bias hivi kwa wanachama wa chama hichohicho? kama ni kiongozi bwana hata shonza alikuwa kiongozi na hakupewa nafasi ya kujitetea?Kwa nini MBOWE hakutoa fursa kwa ZITTO kujitetea kuhusu kashfa hizo???? alikuwa anamlinda ZITTO au Chama?
kwa misingi hii ntarudisha kadi
Zitto mwenyewe alipotafutwa kuzungumzia suala hilo alijibu kwa kifupi, I have no comment akimaanisha kwamba hakuwa na cha kusema kabla ya kukata simu.
John Mnyika ambaye hata baada ya kupigiwa simu kwa zaidi ya mara moja, hakuwa tayari kueleza lolote.
Pengine katika hayo uliyouliza, miye binafsi sina majibu nashauri ungewasiliana na huyo aliyekupatia taarifa hizo kwa ajili ya kukupa maelezo sahihi, alieleza Mnyika.
Rudisha tu, Mkuu mbona kuna watu wengi tu hawana kadi chama chochote lakni kura wanapiga kulingana na chama wanachokipenda,
December mbali rudisha leo! kwani! una mchango gani ndani ya chama? chama hakiwezi kukurupuka kumfukuza Zitto au mwingine yoyote kabla ya taratibu kufuatwa kwa mujibu wa katiba! rudisha kadi hata leo!ikifika december bado Zitto Kabwe hajafukuzwa ndani ya CHADEMA ntarudisha kadi yangu kwa hiari...nikiwa kama mwanachama wa kawaida sana, nasikitiswa sana na jinsi kijana huyu anavyohujumu mipango na mikakati ya chama, zito ni mbinafsi, msiri, mchochezi, mpika majungu na M-CCM pia...anamatukio ya ajabu ajabu sana..SHAME ON ZITTO ZUBERI KABWE.
ikifika december bado Zitto Kabwe hajafukuzwa ndani ya CHADEMA ntarudisha kadi yangu kwa hiari...nikiwa kama mwanachama wa kawaida sana, nasikitiswa sana na jinsi kijana huyu anavyohujumu mipango na mikakati ya chama, zito ni mbinafsi, msiri, mchochezi, mpika majungu na M-CCM pia...anamatukio ya ajabu ajabu sana..SHAME ON ZITTO ZUBERI KABWE.
Kwa nini MBOWE hakutoa fursa kwa ZITTO kujitetea kuhusu kashfa hizo???? alikuwa anamlinda ZITTO au Chama?
Ni makosa kuwazuia wanahabari wasiwepo ndio maana wanaweza kuandika namna hii. Hakukuwa na sababu ya msingi ya kuzuia waandishi wa habari kushuhudia ufanyaji kazi wa demokrasia...
December mbali rudisha leo! kwani! una mchango gani ndani ya chama? chama hakiwezi kukurupuka kumfukuza Zitto au mwingine yoyote kabla ya taratibu kufuatwa kwa mujibu wa katiba! rudisha kadi hata leo!
Zitto ni Mwiba hongera zake basi lakini kuna majina kibao ndani ya chadema kwa sasa mpaka mawazo analiza watuchamsingi mie ninacho ona zitto kabwe kuandamwa kwake kuna sababu maalum nyuma ya pazia hii kitu sio bure kutajua kuna watu either ndani au nje ya chma wanao dhamini mpambano na zitto anaonekana kua mwiba sababu ni mtu asie pelekwapelekwa tuu na kiongozi au chama chochote na hii ndio inamfanya aonekane kama kutofautiana kimtizamo na wengine BIG UP ZITTO KEEP GOING......