Zitto chupuchupu kutimuliwa CHADEMA!

Zitto chupuchupu kutimuliwa CHADEMA!

Kama Mbowe aliruhusu watu watoe hoja ni vyema angempa nafasi Zitto ajitetee lakini kama hakutaka hiyo hoja ijadiliwe alipaswa kuizuia toka mwanzo badala ya kuzuia mgogoro ndio kwanza amechochea kwani pale ilikuwa nafasi pekee ya kila mtu kutoa dukuduku lake
 
ikifika december bado Zitto Kabwe hajafukuzwa ndani ya CHADEMA ntarudisha kadi yangu kwa hiari...nikiwa kama mwanachama wa kawaida sana, nasikitiswa sana na jinsi kijana huyu anavyohujumu mipango na mikakati ya chama, zito ni mbinafsi, msiri, mchochezi, mpika majungu na M-CCM pia...anamatukio ya ajabu ajabu sana..SHAME ON ZITTO ZUBERI KABWE.

Mkuu: "A Right Decision at A Wrong Time is Wrong!!"
 
Mkuu chama,

Mbowe anajua siku Zitto akifukuzwa Chadema na ndiyo siku hiyo watu wanagawana mbao.

Kuna Pro-Chadema kaskazini kama 30 JF wanajidanganya sana kuwa Chadema ni chama cha kitafa.

Shibunda imekuwa ngumu kumfukuza watapunguza ruzuku ya chama. Ndiyo maana wanawaonea kina Juliana na wenzake.

Mtaisoma cdm
mlitegemea mtakiletea mgogoro kwa mambo yenu ya kipuuzi.
Hii ndo chadema tumekomaa na tupo tayari kuchukuwa dola.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ritz
Pro Cahdema JF ni watu wa kupokea posho wanatumwa kuandika pumba ila ukweli ndio huo Zitto ni mhimili ndani ya Chadema kuliko hata kile kituko chao kinachosepea wake za watu!

Chama
Gongo la mboto DSM

halafu wenyewe wanavyo kiheshimu hicho kibabu!

Hichi kibabu vituko kweli
(⊙o&#8857😉 wake za watu
(⊙o&#8857😉 vyama viwili kwa wakati mmoja
(⊙o&#8857😉 mara kalamba posho

Vituko vyooote hivyo bado watu wanataka awe Raisi.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Last edited by a moderator:
halafu wenyewe wanavyo kiheshimu hicho kibabu!

Hichi kibabu vituko kweli
(o) wake za watu
(o) vyama viwili kwa wakati mmoja
(o) mara kalamba posho

Vituko vyooote hivyo bado watu wanataka awe Raisi.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2

Kumbe mnaongezeka,wengine mnataka muolewe na babu make mnawashwa kinoma hamna raha na babu hamtalala hadi baada ya uchaguzi 2015 ndipo mtaacha majungu yenu
 
Nyumba yako na ya jirani inavuja halafu unamcheka mwenzio kwamba nyumba yako inavuja una akili kweli ziba kwanza kwako ndipo umcheke mwenzio
Ccm inatumia wanajeshi kutisha wananchi halafu mnasema utawala bora ndivyo mnajidanganya hivyo?
 
Back
Top Bottom