chama makini ni kile kinachowachukulia watu hatua bila kujali wadhifa,rangi au tabaka, na chadema imekua makini katika kutekeleza hayo ispokua tu inapofika kwa Zito. Je ni kweli kuwa hufahamu ni jinsi gani zito amekua akifanya mambo yake kinyume kabisa na misingi ya chama. Sasa kama chama kikianza kuwa na matabaka hasa katika kuchukua maamuzi hatutakua tofauti na CCM waliowafunga kima falijala hussein na kuwaacha kagoda, au wanaposhinwa kuwashughulikia magamba aka mapacha watatu. Huoni kuwa misingi ya chama hapo itaanza kuwa ya kiupendeleo? hasa pale viongozi wa chini wanapowajibiswa kwa adhabu kali kali ikiwemo kufukuzwa uana chama, lakini huyu bwana haguswi? yeye ni nani?
kwa misingi hii ntarudisha kadi