Kauli kama hii inakuza mjadala., haipo kibusara sana..
Kauli hii inaonyesha kukomaa kisiasa na hekima
hakika
Kauli kama hii inakuza mjadala., haipo kibusara sana..
Kauli hii inaonyesha kukomaa kisiasa na hekima
....haa ha ha,Mbunge unatoa mapovu hapa,kwa kuwa Baraza kuu limepuuzia madai dhidi ya Zitto ni wazi sasa Makamanda wa JF ndio maamluki wasioitakia mema Chadena,go Zitto go...
No no ndugu unatafsiri vibaya ah ahah ahha.
Mie nasimamia haki kwenye haki inasema kama ni kusamehewa basi wote sio wenye nguvu hapo ndio mie natofautiana na wewe Butola.
Hivi fikiri inakuwaje wazalendo wa kweli wanaumia chini alafu wao wakikosea kidogo hawasamehewi hata chembe kisa tu eti ni watu wadogo.
Then Top wanasamehehana kwa kufichiana maovu yao..hii ndio mie sikubaliani kama ni kusamehe wangesamehewa wote hapo CDM ningewaona wapo makini lkn kwa walilofanya kwaheri hamana kitu...ona hii nukuu ya Mwenyekiti CDM kwenye hicho kikao..
'haiwezekani CDM ifanye siasa kwenye ukwapuaji wa mali za umma mfano mtwara" sasa jiulize kwanini ifanye siasa kwenye uhai wa wanyonge chini ambao ndio wanapigana on the ground..kwa maana ya kuwa akikosea mnyonge hawafanyi siasa ambaye ndio anaumia lkn akikosea mkubwa anasamehewa ambaye anatumia mgongo wa wanaoumia kuwa mkubwa.[[tafakari
Ndio maana huwa namkubali sana MBOWE...palipo na MBOWE hapaharibiki jambo...safi sana...ZITTO is there to stay...magamba tafuteni kwingine kwa kutokea.......
CHONDE CHONDE!!!!!! HALA HALA CHDM!!!!!!!!!!! ZZK ni nguzo ya chadema. asiguswe!
Umetumwa na babu Slaa na Mtei weweikifika december bado Zitto Kabwe hajafukuzwa ndani ya CHADEMA ntarudisha kadi yangu kwa hiari...nikiwa kama mwanachama wa kawaida sana, nasikitiswa sana na jinsi kijana huyu anavyohujumu mipango na mikakati ya chama, zito ni mbinafsi, msiri, mchochezi, mpika majungu na M-CCM pia...anamatukio ya ajabu ajabu sana..SHAME ON ZITTO ZUBERI KABWE.
Down Zitto, DOWN Chadema....that is the CCM slogan! Kina Slaa, Mbowe na Mtei msijidanganye na fyokofyoko hizi. Zitawa-cost mpaka mtajuta kwa kosa la kumfukuza huyu kijana Zitto! Sisi tumefikisha ujumbe, msije sema hamkufahamu. majuto ni mjukuu!Umenena mkuu.Tatizo watu hawaelewi umuhimu wa ZZK katika chadema,wasio elewa ndo wale waliobase kwenye ukabila na ukanda.Ukifuatilia chimbuko la hiyo migogoro ni ZZK kuutaka uraisi.Mim nadhani chadema ina kanuni na taratibu zake wacha ZZK ajaribu kete yake kwani si democrasia ndio inayotumika,badala ya kukaa na kuwafanya baadhi ya watu kuwa miungu watu kuwa hawaguswi.
Aliye waambia kuna upendo ndani ya vyama vya siasa ni nani?