Zitto chupuchupu kutimuliwa CHADEMA!

Zitto chupuchupu kutimuliwa CHADEMA!

Mkuu,
Hilo huna hata ya msukumo kutaka kubainisha.

Huyo double agent anatumia nguvu nyingi za kimbea kutaka kuuaminisha umma kama Zitto ni adui number one wa maendeleo ya CDM bila kujua historia ya Zitto ndani ya chama. Yeye ndiye wa kuogopwa kama ukoma katika umaarufu wa kugonganisha viongozi kwa faida yake ya kisiasa.

What's really matter, ukweli ni ngao katika vita.

Fortunate, Aliingia ndani ya chama kwa mlango wa umbea na atatoka kwa mlango huo huo.

Time is in our side.
Ninachojiuliza kama suala la kutaka kumfuta Zitto uanachama ndani ya kikao chao tu kimeleta mgawanyiko, je iwapo kitendo hicho kingetendeka kingepokelewaje na wanachama wote wa CDM ndani ya tanzania.

Mi nadhani hawa jamaa wanaokujaga hapa JF kutetea CDM at anycost na wengine kuwaachia tu kukwepa matusi huwa wanadhani hoja zao zinaukweli na convincing.

Lets face it Zitto ndio mwanasaisa pekee ndani CDM ambaye huwa anajaribu kukosoa sera za CCM na kutoa mapendekezo ya sera bora zingegefanana vipi au zifanyike vipi (aina maana yupo sawa all the time but he tries). Wengine ni kukosoa tu pengine kweli kuna makosa lakini they never offer their perspectives. Hila Zitto akifanya kipekee watakwambia ohoo kwanini asisubiri kutoa kichama does he have to think for the party and ask the permission to address his concerns.
 
Kichwa cha habari kingekaa hivi:

Zitto na shibuda chupuchupu kutimuliwa CHADEMA!

mpango wa kumtimua JOHN SHIBUDA haujaelezwa ni nini kilichojiri kwa upande wake, Baraza lilijadili au halikumjadili Shibuda?

Hakuna haja ya kumjadili SHIBUDA. Kwani kafanya nini la ajabu ambalo hajawahi kufanya maishani mwake?
 
Huu ni ukweli ambao unawauma Chadema, madai yanaletwa kila kukicha juu ya usaliti wa Zitto, hapa wapo kumtetea Mbowe hii habari siyo ya kweli na ni mtu wa kutochukua maamuzi ya pupa.

Wamesahau wiki chache zilizo pita walidai kuwa Zitto ni msaliti na atavuliwa uongozi sababu ni msaliti. Inakuwa kama vile hawajitambui katika hoja zao linapokuja suala la Zitto. Mie nina hamu afukuzwe nione nguvu ya Chadema katika maamuzi iko kiwango kipi.

Na asipofukuzwa ina maana hata habari na ushahidi ulioletwa na Ben Saanane wote ni magumashi siyo kweli na kuwa alikuwa anatafuta cheap popularity!

Mbona nyie hamjawafukuza wale mafisadi PACHA? Zitto hatumfukuzi akitaka atoke mwenyewe kwa utashi wake! Mtasubiri sana tumfukuze Zitto maana hilo ndo hasa mnalolinga, ili kuidhoofisha chadema, CHADEMA huwa haikurupuki kazi tuliyonayo ni moja tu, kujenga chama imara kitakachoingia Ikulu 2015!
 
Mkuu Ritz
Sikiliza kauli za makamanda wanavyochemsha; Mbowe na slaa wanajua wazi Zitto mziki wake mzito na ndiyo sababu Mbowe alijaribu kuwatumia vile vikaragosi vya BAVICHA na amegonga mwamba.

Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu chama,

Hao Bavicha ni janga la taifa nimewasika wakimfukuza Mchange kisa kuwaambia wasome katiba ya Chadema kuna Audio imewekwa humu jamvini.

Zitto alishasema ukimgusa yeye umeigusa Chadema. Dr Slaa kamkuta.
 
Last edited by a moderator:
Kwa vile ZZK amesema yeye ni CDM damu damu basi ni vizuri akatumia njia za halali kujiweka kwenye matumaini ya malengo yake kuliko kutumia njia za panya za hao kina Kisanduku na Shonza, wanaomgeuka!!!!

Ukilima bangi tegemea kuvuna bangi si vinginevyo, sasa heshima ya huyu bwn inaanza kuporomoka inahitajika achunge saana maan huo ni mwanzo hatujui mwisho wa hili jambo ni nini???
 
Mbona nyie hamjawafukuza wale mafisadi PACHA? Zitto hatumfukuzi akitaka atoke mwenyewe kwa utashi wake! Mtasubiri sana tumfukuze Zitto maana hilo ndo hasa mnalolinga, ili kuidhoofisha chadema, CHADEMA huwa haikurupuki kazi tuliyonayo ni moja tu, kujenga chama imara kitakachoingia Ikulu 2015!

Leo hii sababu uongozi wa juu wamegwaya kumfukuza ndio unaunga mkono hamumfukuzi? Suala siyo kumfukuza, si mlisema mtamvua uongozi? Chadema hawana ubavu wa kumfukuza Zitto, jipeni sana moyo kujifanya yupo hapo sababu ya kum ignore na siyo kukubali kazi na nguvu yake ndani ya chama.
 
Ninachojiuliza kama suala la kutaka kumfuta Zitto uanachama ndani ya kikao chao tu kimeleta mgawanyiko, je iwapo kitendo hicho kingetendeka kingepokelewaje na wanachama wote wa CDM ndani ya tanzania.

Mi nadhani hawa jamaa wanaokujaga hapa JF kutetea CDM at anycost na wengine kuwaachia tu kukwepa matusi huwa wanadhani hoja zao zinaukweli na convincing.

Lets face it Zitto ndio mwanasaisa pekee ndani CDM ambaye huwa anajaribu kukosoa sera za CCM na kutoa mapendekezo ya sera bora zingegefanana vipi au zifanyike vipi (aina maana yupo sawa all the time but he tries). Wengine ni kukosoa tu pengine kweli kuna makosa lakini they never offer their perspectives. Hila Zitto akifanya kipekee watakwambia ohoo kwanini asisubiri kutoa kichama does he have to think for the party and ask the permission to address his concerns.

Ogopa chauvinist illusional. Hawa ndiyo wanaoharibu image ya chama kwa kujifanya wao ndiyo wanakijua chama zaidi ya mwanachama na mpenzi wa chama yeyote.

Hao ndiyo utakumbana nao hapa wakirushwa matusi kwa Zitto na kusema ni fisadi, anatumiwa, muongo, mchonganishi, mhaini n.k

They have no choice now. To dance Zitto's tune or go away and die

Things are falling apart in their side
 
ikifika december bado Zitto Kabwe hajafukuzwa ndani ya CHADEMA ntarudisha kadi yangu kwa hiari...nikiwa kama mwanachama wa kawaida sana, nasikitiswa sana na jinsi kijana huyu anavyohujumu mipango na mikakati ya chama, zito ni mbinafsi, msiri, mchochezi, mpika majungu na M-CCM pia...anamatukio ya ajabu ajabu sana..SHAME ON ZITTO ZUBERI KABWE.
wewe ni gamba kadi ya chadema utairudisha kutoka wapi?
au ndio zile mlizoziprint?
kalaga baho, chadema hamtaivuruga kwa mikakati hii,
mmeshindwa kuwatumia wakina shonza na Ganzi sasa mmerudi JF kumchafua zitto,
shame on you.
hamtowachonganisha viongozi kamwe
 
Ogopa chauvinist illusional. Hawa ndiyo wanaoharibu image ya chama kwa kujifanya wao ndiyo wanakijua chama zaidi ya mwanachama na mpenzi wa chama yeyote.

Hao ndiyo utakumbana nao hapa wakirushwa matusi kwa Zitto na kusema ni fisadi, anatumiwa, muongo, mchonganishi, mhaini n.k

They have no choice now. To dance Zitto's tune or go away and die

Things are falling apart in their side

Ni kama CCM inavyotakiwa kujifunza mzaha mzaha na natural resources za watu na kuwapuuza is bound to create problems on their governance.

Na CDM inatakiwa kuelewa chama ni cha kitaifa sasa muda wa kusema nani muasisi na kumpa pongezi zake umeshapita, as a national party kina viongozi ambao wamekuwa role models on their own merits people look up to them for guidance wameshakuwa wanasiasa ambao wamekuwa wakisikilizwa na kupata attention independently.

Sasa kama babo kuna watu wanafikiri they can still call cheap shots because of their historical affiliations they need to understand that time is almost finish if not yet the party is big beyond a few puppet masters.
 
CHADEMA kilikuwa kinafanya vikao vya kawaida kabisa, chauvinist illusional wanakuja JF na vimatangazo eti CDM kitafanya maamuzi 'magumu'. Sijui shetani gani huyo aliwadanganya kama kuna ajenda kama hiyo. CDM is more than vimisemo vya kitoto kitoto
 
Baadhi yenu mnaijua CDM hivi karibuni, moja wa wabunge wa kwanza ni kutoka mkoa wa Kigoma, Mheshimiwa Dr Warid Kabour kupitia CDM. wakati hua NCCR na CUF vinatesa sana, wakati huo Watanzania hawaaamini upinzani, lakini wananchi wa Kigoma waliamini upinzani na kukipa kura, mwenyekiti wakati huo akiwa mwasisi wa chama mzee mtei. CDM ikifanya kosa kumfukuza zito uchaguzi ujao 2015 CCM haina mpinzani. kumbuka watu wa Kigoma walimwamini zito akiwa mdogo sana na kumtuma kuwakilisha jimbo. Zito, Dr Slaa na Mheshimiwa Mbowe wamekifikisha chama hapo kilipo.

Mchango wa zito ni mkubwa kukifanya CDM kiwe chama chenye wafuasi wengi na kionekane chama pekee chenye kuweza kuwatoa watanzania kwenye lindi la umasikini. kumbuka hoja za ZITO kama buzwagi na misimamo yake bungeni vimesababisha CDM iaminike zaidi kwa wananchi. iwapo Zito atafukuzwa ataondoka na wafuasi wengi sana hasa wale wanaoona kama CDM ni chama cha kikanda, kumbuka Zito ana siri nyingi za CDM pia.

Kama Zito amekosea chama kikae nae na kimrekebishe ili chama kisonge mbele, ili chama kiwe makini ni lazima kikubali mawazo mbadala kwaani kila mtu ana mtazamo na fikra tofauti. CDM kikianza kufukuzana basi utakuwa mwanzo wa kujichimbia kaburi. Kumbukeni kuwa zito ni muisilam kutoka kanda tofauti na kanda ya kaskazini hivyo kuwepo kwake inasaidia kuondoa hoja ya kuwa CDM ni chama cha udini,chama cha ukabila na nk.

CDM ni chama cha demokrasia kama jina lake lilivyo, hivyo demokrasia ni pamoja na kuvumiliana kwa kukubali mawazo ya watu tofauti, hii ndiyo demokrasia ya kweli. Ni kweli yawezekana zito anataka kugombea urais lakini wamwache demokrasia itafanya kazi yake, wengi tunajua kuwa ukiwaweka zito na Dr Slaa mbele ya wananchama Dr Slaa atapita. Nafikiri zito anajua kuwa lengo lake siyo 2015, najua ni zaidi ya hapo hasa miaka ijayo.

Pia wananchi wa mkoa wa Kigoma ni wapinzani wa kweli dhidi ya CCM kumbuka katika uchaguzi wa 2010 kama si njama za CCM mkoa wote wa Kigoma ungekuwa CDM NA NCCR mageuzi. Kwa sasa NCCR mageuzi hawakiamini hasa baada ya James Mbatia kuteuliwa na Kikwete kuwa mbunge hivyo kwa sasa NCCR kinaonekana kama tawi la CCM. Hongera Mheshimiwa Mbowe kwa kutumia busara.
 
Tatizo mnajadili taarifa iliyoandikwa na Charles Mulinda , wa Mtanzania. Sasa mnajikuta mnajadili, mnaamua bila kujua nini kilijadiliwa kwenye kikao , na pia jueni katiba ya chadema inasema nini kuhusu majukumu ya baraza kuu, ajenda za baraza kuu zinaandaliwa wapi na huwasilishwa kwa utaratibu upi .........
 
Kwa nini MBOWE hakutoa fursa kwa ZITTO kujitetea kuhusu kashfa hizo???? alikuwa anamlinda ZITTO au Chama?

Habari imepikwa na Mtanzania............... Mambo hayo hayakutokea kwenye Baraza (Makene, 2013 post # 5)!!!
 
wamebadilisha kwanza kanuni na miongozo, zilizopo zinampa mwanya wa kujitetea!
 
Ni kama CCM inavyotakiwa kujifunza mzaha mzaha na natural resources za watu na kuwapuuza is bound to create problems on their governance.

Na CDM inatakiwa kuelewa chama ni cha kitaifa sasa muda wa kusema nani muasisi na kumpa pongezi zake umeshapita, as a national party kina viongozi ambao wamekuwa role models on their own merits people look up to them for guidance wameshakuwa wanasiasa ambao wamekuwa wakisikilizwa na kupata attention independently.

Sasa kama babo kuna watu wanafikiri they can still call cheap shots because of their historical affiliations they need to understand that time is almost finish if not yet the party is big beyond a few puppet masters.

Yes, it looks like some of them can't diggest the reality.

It's slow learning curve for them. Kilichotokea kwenye vikao nafikili hata mwenye hekima ndogo atafahamu kama CDM now is not a simple organisation bali ni chama ambacho ustawi wake ni nguzo katika mstakabari wa taifa.

CDM is not just Mbowe, Arfi, Dr. Slaa and Zitto. Chadema ni ya wananchi wote wapenda maendeleo bila kujali sehemu wanatoka nchini, chama kipi na dini ipi.
 
Acha ushabiki mkuu....Kama ni busara na uvumilivu basi vitumike kwa usawa na haki na kwa kila mwanachama..kwani hao waliofukuzwa hawakustahili huo uvumilivu??nina sababu lukuki zinazonifanya nishangae haya maamuzi ya kiupendeleo yaliyoanza kutawala vikao vya chama.Je ni nani ambaye hana damu ya chama ndani yake?? tutajie kama unawajua??Kimsingi sikubaliani na jinsi chama kinavyobeza hoja ya zito kuchukuliwa hatua...huu ni muda wa kujiandaa kuchukua nchi na si muda wa kuwavumilia wasaliti na waleta utata

Wale waliofukuzwa walifanywa vile kwa sababu ya jeuri yao. Walishindwa kukili makosa yao ili waadhibiwe kadiri ya utetezi wao. Wale waliokiri na kufanya utetezi wao kama walivyofanya wamepewa onyo na kuwa chini ya uangalizi. Sasa ZZK yeye amekahidi? Ameitwa akakataa? Ameendeleza mambo kinyume na taratibu. Maana huwezi kumlinganish ZZK na Shonza au Mwampambwa ambao kwa kadili ya maelezo yao au ya wapambe wao waligoma kutoa utetezi wao mbele ya authority iliyowataka kufanya hivyo.

Unaambiwa jieleze ahalafu unaanza ngonjera za kutokutambua mamlaka iliyokuita. Unategemea nini? Unataka maelezo toka uongozi wa juu huku unauporomeshea matusi, kejeli, tuhuma na yenye kufanana nayo. Lazima tutafautishe watu hawa na jinsi walivyoamua ku-behave
 
ikifika december bado zitto kabwe hajafukuzwa ndani ya chadema ntarudisha kadi yangu kwa hiari...nikiwa kama mwanachama wa kawaida sana, nasikitiswa sana na jinsi kijana huyu anavyohujumu mipango na mikakati ya chama, zito ni mbinafsi, msiri, mchochezi, mpika majungu na m-ccm pia...anamatukio ya ajabu ajabu sana..shame on zitto zuberi kabwe.

mimi nadhani mbowe ana akili kumishinda wana cdm nyote muliomo humu jf, kwani japokua yeye ndiye mchochezi wa kupigwa vita kijana zzk, he still knows that kicking out zzk, is just putting the last nail in the cdm coffin. Au mwataka cdm kibaki chama cha kimangi. Tusisahau zzk ndie mwana siyasa pekee anayeleta uvutizi cdm. Slaa n mbowe are just riders who cannot drive. Hebu cdm wasubutu kumfukuza zito, kama hatutakua zilipendwa. Wanafiki nyie
 
Sijawahi kuona nchi yenye watu wasio na msimamo kama Tanzania hasa linapokuja swala la vyama vya siasa.

Baada ya kuangaza macho ndani ya mada hapa janvini, nachelea kusema, kwa mtindo huu, siyo ajabu kuna watu wanapiga kelele kuhusu ufisadi lakini watu wengine wanasikiliza na kuachana nao.

Hutaamini wale watu ambao walikuwa mbele kuleta nyuzi hata kila kukicha kuhusu 'masalia' na wengine mpaka wakijitoa 'mhanga' kama wana vidhibitisho halisi mpaka hata vya sauti sikilizi kama waliwanasa katika mikakati wa kukiangamiza chama, leo wanasema ni vizuri chama hakikuwafukuza kwa sababu chama ni makini. REALLY?

Inakuja akilini kweli chama kinatumia 'nguvu zake' katika upelelezi na kuwanasa wahaini halafu wanaachiwa waendelee kuhaini zaidi. IS IT TRUE?

Kibaya zaidi, 'mikia' ya hao wanyama imekatwa kitu ambacho kinawafanya wawe wakali zaidi. Kwa akili ya kawaida, huwezi ukamjeruhi simba halafu umwachie zizi la ngombe. YOU HAVE TO BE MAD.

Kama yote hayo ni kweli, basi CDM imeonyesha udhaifu na upendeleo wa hali ya juu katika kushughulika na kushughulikia 'masalia' na kutatua matatizo ndani ya chama.

Kama haya yote siyo kweli, basi chama kitakuwa kimeingiliwa na watu ambao ni sumu kali (wambea, waongo! Wazandiki ) miongoni mwa wanachama na viongozi na hawatakiwi hata kusogea karibu ya lango la chama. PARTY KILLER.

FUNDISHO: Chama kinakosa moral autholity katika jamii kuaminisha kama kiko imara na mapambano ya hali ya juu na yanayosumbua taifa, kama swala dogo lenye vidhibiti walivyo kutwa 'masalia' ndani ya chama yamewashinda.

Huku ni zaidi ya kula matapishi na kuchapua siasa za UDAKU

KITAFIKA KWELI?.
 
Watu wenye mawazo kama haya ni wavivu na wachovu kufikiri...we umuhimu wa mtu wako unaona ni kwenye magazeti au humu JF.

Ngoja nikusaidie kufikiri..

CDM inataka kuendesha nchi kwa hiyo kadi za wanachama kama SONGORO na wengine ni za umuhimu kuliko huyo mtu wako maana ndio waeneza sera na kushawishi watu pia ndio wapiga kura hao ...sasa wakitoka na wengi wanatoka baada ya kuona chama chenu pia kina fungato la umimi na wao.

Hii ni aibu na mmejiweka wazi kuwa mtu msafoi CDM ni mmoja Slaa. Hivyo wengine mnashindwa kuchukua maamuzi maana wote ni wachafu CDM kwaheri ndio mmeanza kuwa mahututi hivyo.

....haa ha ha,Mbunge unatoa mapovu hapa,kwa kuwa Baraza kuu limepuuzia madai dhidi ya Zitto ni wazi sasa Makamanda wa JF ndio maamluki wasioitakia mema Chadena,go Zitto go...
 
Back
Top Bottom