What are you doing, Putting the blame of the news on me? Mara zimekuwa allegations zangu? Usisome heading tu mkuu soma habari yote hadi sosi. Mjumbe hauwawi!
angalia usije pigwa banHakuna MWENYE UWEZO WA KUMTIMUA ZITTO CHAMANI. EBO
Somettimes nakwepa kujibishana na watu wenye upeo mdogo kama wako! kwanza sijajiunga chadema juzi mimi ni miongoni mwa waasisi! Ninachopenda kukuambia ni kuwa Simtetei Zitto au yeyote kwenye chama natetea katiba na miongozo ya chama! Kama Zitto alifanya hayo yote (ni kosa kama ni kweli) then kwa nini uongozi wa juu wa chama haukuweza ku doccument ushahidi wote huo na ku impitch?wewe pia kama ni mwanachama au kiongozi wa chama katiba inakupa uhuru wa kuandaa mashataka ya kiongozi au mwanachama yoyote yule na kuwasilisha kwenye kamati kuu akipatikana na hatia sheria zipo, Nachopinga ni kufukuza mtu kwa hisia tuu au mambo ya juu ambayo hayajawa confirmed beyond any reasonable doubt!utafiti ulifanyia wapi ukaja na data kuwa wengi HATUMUAMINI?? na data kuwa akigombea urais atapata chini ya 10%? Jamii forrum ni mahali pa facts na takwimu sio pa kupigia soga !!Lazima tuheshimu katiba ya chama na haki ya mtu kujitetea kabla ya kuhumiwa, ieleweke kuwa sitetei na sitakaa nitetee yoyote anyekwenda kinyume na katiba yetu!!!ACHA UVIVU WA KUFIKIRI MKUU OSOKONI..we unajua zito kaanza chokochoko lini??? au umejiunga chadema jana?? ulikuepo wakati ule zito na kafulila walipokua wanaleta mipasuo chadema?? wakati wa zito na chacha wangwe??wakati zito anabaki ndani ya bunge wakati chama kiliamua wabunge wote wa chadema watoke??wakati tunampigia kampeni nasari, yeye zito anatoa waraka kua atagombea uraisi tena akiwa kigoma na kuanzisha mijadala mingine??wakati zito akifanya vikao vya siri na mkuu wa usalama wa taifa?? few to mention..Ulikuepo wewe?? wakati zito akimtumia kikwete sms ya kinafiki?? Usipende ushabiki mkuu toa hoja kwa nini unamtetea zito...KIMSINGI WANACHAMA WENGI HATUMUAMINI TENA, ukibisha mpitisheni basi agombee uraisi kama atapata ata 10% ya kura.....
yeye mwenyewe ndiye anajifitinisha,Kama kuna mahali ambapo kiwango cha juu kabisa cha busara kinatakiwa kutumika na Mwanachadema yeyote, kama kuna mahali ambapo rasilimali za chama zinatakiwa kutumika kujenga chama ni hapa kwenye suala shutuma dhidi ya Zitto.
Kama wewe unadhani unaipenda CDM, na unapenda kiwe chama kinachofuata katika utawala wa nchi hii, usikubali kutekwa na mipango ya kijinga ya kumfitinisha Zitto kwa Wanachadema...
yeye mwenyewe ndiye anajifitinisha,
ukiwa mfitini watu watakufitini twice..How?...
Chama cha wachaga hichoZitto is a damn good boy,that's all I can say,
Mkuu chama,
Hao Bavicha ni janga la taifa nimewasika wakimfukuza Mchange kisa kuwaambia wasome katiba ya Chadema kuna Audio imewekwa humu jamvini.
Zitto alishasema ukimgusa yeye umeigusa Chadema. Dr Slaa kamkuta.
Inafurahisha unapoonyesha kwamba Zitto yupo juu ya chadema na viongozi wake na wananchama wote lakini wakati huo huo unasema ni kiongozi hivi anaweza kuwa kiongozi wa watu amabao kwake silolote duh hii mpyaTatizo lenu mnaongelea kwenye Mitandao, ni mwanachama wenu,kiongozi wenu lakini mkikutana nae mnafyata hamtaki hata ajitetee, Nakumbuka siku moja humu mtandaoni alimtaka Ben saanane na viongozi wote wanaomshutumu wakutane kwenye Vikao, sasa sijui vikaoni mnamuogopa kitu gani mkija huku kwa ID feki mnajifanya mmechoka nae!! Kama Uamuzi wa kumfukuza Zitto umewashinda mnaweza kweli kufanya Maamuzi magumu nyie mkiaminiwa?????
Mkuu chama,
Mbowe anajua siku Zitto akifukuzwa Chadema na ndiyo siku hiyo watu wanagawana mbao.
Kuna Pro-Chadema kaskazini kama 30 JF wanajidanganya sana kuwa Chadema ni chama cha kitafa.
Shibunda imekuwa ngumu kumfukuza watapunguza ruzuku ya chama. Ndiyo maana wanawaonea kina Juliana na wenzake.
Umeona saizi walivyojitenda wanajiita kanda ya Kaskazini.
Mkuu Ritz
Kamanda Mohamedi Mtoi sijamuona akichangia uzi wa ukanda vipi ameshaijua kabila yake?
Chama
Gongo la mboto DSM
ZITTO ndio nembo ya uislam ndani ya chadema,mbowe ni strategist mzuri sana,hakurupuki,anafahamu kitendo chochote cha kumdhuru zitto kitazidi kuwaudhi waislam wazidi kuichukia na kuiona chadema imekaa kikristo zaidi na inatekeleza nadharia ya mfumo kristo kwa kwa vitendo nchini