Zitto chupuchupu kutimuliwa CHADEMA!

Zitto chupuchupu kutimuliwa CHADEMA!

Wajumbe wa kikao cha Baraza Kuu waliokuwepo juzi Jumatatu Diamond Jubilee, wakisoma hii habari watashangaa sana na kuhoji umakini wetu wanahabari...

Unajifanya hujui kuwa Wanahabari wa Tanzania mna bei kama nyanya- nyanya za mshumaa bei yake, na nyanya za mviringo bei yake?
Watanzania makini tumeshawachoka na tunajua vyombo gani vimeshanunuliwa kama Jambo Leo, Majira, na Mtanzania ni vyombo Tanzu vya Habari Leo na Uhuru. Mwananchi nao kuna baadhi yao wameshauzwa!
 
Mkuu Aweda tuwekee mambo sawa hapa maana hili gazeti ambalo ni source ya taarifa hii ni Mtanzania,nimeku-point coz najua ulikuwepo na nimepata habari juu ya uamuzi wako wa kusema ukweli kwa mtakabali wa Taifa,please weka taarifa sahii kwa ama ku-support au kukanusha kilichochapishwa na gazeti hili
 
ikifika december bado Zitto Kabwe hajafukuzwa ndani ya CHADEMA ntarudisha kadi yangu kwa hiari...nikiwa kama mwanachama wa kawaida sana, nasikitiswa sana na jinsi kijana huyu anavyohujumu mipango na mikakati ya chama, zito ni mbinafsi, msiri, mchochezi, mpika majungu na M-CCM pia...anamatukio ya ajabu ajabu sana..SHAME ON ZITTO ZUBERI KABWE.

Huna haja ya kuirudisha ichambie tu; Zitto haendi popote huwa ni mkakati mahsusi wa Mbowe na babu ila wajumbe wameushtukia! vile vikaragosi vyenu vipo wapi?

Chama
Gongo la mboto DSM

cc Ritz
 
Last edited by a moderator:
kwa nini mbowe hakutoa fursa kwa zitto kujitetea kuhusu kashfa hizo???? Alikuwa anamlinda zitto au chama?
jaribuni kumfukuza kama mtabaki na chama .huyu ndio nguzo ya chama iliyobaki akiondoka hamna chama
 
Unajifanya hujui kuwa Wanahabari wa Tanzania mna bei kama nyanya- nyanya za mshumaa bei yake, na nyanya za mviringo bei yake?
Watanzania makini tumeshawachoka na tunajua vyombo gani vimeshanunuliwa kama Jambo Leo, Majira, na Mtanzania ni vyombo Tanzu vya Habari Leo na Uhuru. Mwananchi nao kuna baadhi yao wameshauzwa!

wakiandika uchafu wa machedama wamenunuliwa, wakiandika uzuri wa ccm pia wamenunuliwa
 
Zitto na shibuda ndio nguzo ya machadema kanda ya ziwa
 
ikifika december bado Zitto Kabwe hajafukuzwa ndani ya CHADEMA ntarudisha kadi yangu kwa hiari...nikiwa kama mwanachama wa kawaida sana, nasikitiswa sana na jinsi kijana huyu anavyohujumu mipango na mikakati ya chama, zito ni mbinafsi, msiri, mchochezi, mpika majungu na M-CCM pia...anamatukio ya ajabu ajabu sana..SHAME ON ZITTO ZUBERI KABWE.

Mkuu is alishaomba msamaha humu JF, kuwa atabadilika? Mpeni muda ndugu zangu kwani mnafki ajifichi, asipo badilika tutajua tu.
 
Kamati kuu wamekaa watu wenye hekima na busara.................... tunataka haki, kila moja apewe anachostahili!
Kama Zitto ni Prezoo na shibuda ni PM7, tafuta uhusiano wa Zitto na Shibuda.

Hapa inabidi tutumie Quadratic Equation ili jibu liwe 0
 
CHADEMA wako vitani askari wengine wanapigwa risas na kufa na wengine wanajeruhiwa.waliyouawa wanazikwa waliyojeruhiwa wanabebwa na kupatiwa matibabu.wakipona tunasonga nao kwa pamoja kwa ajili ya kuufikia ukombozi.
 
kwa wanaotaka zzk aadhibiwe watachoka kusubiri. kwanza adhabu ya kumpuuzia mtu katika jamii yoyote, chamani au katika familia ni tosha kabisa. kwa sababu mhusika anabaki akijiuliza maswali na kujijibu mwenyewe. watanitoa? kimya, watanishitaki kimya, watagombana na mimi kimya. mahali ambapo hakuna anayekuuliza kuhusu jambo au tabia tofauti unayoionyesha, unateseka sana, unatamani hata wagombane tu nawewe ujue moja.
wakisema tu wareact ni bingo kwa zzk, kwa sababu hiyo reaction ndio mlo unaosubiriwa kwa hamu na wale wanaomtuma pamoja na yeye mwenyewe, kumpaisha na kuporomosha cdm.
tumekuelewa kwa hiyo kaachwa kama pakacha maana halina kazi loo nadhani hii ni approach nzuri na bora zaidi yeye anabaki anablanket ukweli akisema hawawezi kunifiukuza
 
Kwanza nichukue fursa hii Kumshukuru Mwenyezi Mungu aliyeumba mbingu na dunia na viumbe wote tuliomo. Mungu UTUKUZWE. Baada ya kumshukuru Mungu napenda sa kumuunga mkono Mjumbe wa Longido, Hivi ninyi Chadema kwa nini mnataka kuharibu Chama kwa mambo ambayo yako wazi, hamjui mbinu za CCM hadi mnajisahau kiasi hicho.

Hao wote wanaotaka kumtimua Zitto watimuliwe wao kwa sababu mbinu za kiusalama hawazijui. Zitto ni LULU ndani ya Chadema. Mh. Mbowe, Mh. Dr. Wilbroad Thlaa (Slaa) tafadhali zingatieni maoni haya. Timu nzima ya Chadema iliyopo sasa hivi madarakani siyo ya kuitimua BILA ANGALIZO MUHIMU. You have to that with SPECIAL CAUTION.

Chadema haikuwa popular kiasi hiki ilivyo leo bali ni kwasababu ya michango ya hao mnaotaka kuwatimua. Hao wanaotaka kumtimua Zitto wanatumiwa na CCM, inatakiwa WACHUNGUZWE SANA.
 
Amebanwa kwenye angle flan huyo mchawi hana nguvu tena

Mkuu Ritz
Sikiliza kauli za makamanda wanavyochemsha; Mbowe na slaa wanajua wazi Zitto mziki wake mzito na ndiyo sababu Mbowe alijaribu kuwatumia vile vikaragosi vya BAVICHA na amegonga mwamba.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Ukweli husemwa:

Kuna vijana hapa janvini walikuwa wanapiga kelele kila kukicha. Kwa sasa wafiche sura zao au waende wakapigane na ukuta.

Nilisema, Mh. Zitto is more than CHADEMA ile ambayo imebeba vikaragosi vya kisiasa na siasa za umbea kutafuta umaarufu.

Huwezi kumuharibu Mh. Zitto bila kuiharibu CHADEMA.

Kama wangeijua historia ya Mh. ZItto ndani ya CHADEMA hata wasingepoteza muda wao wakipiga vikelele kutaka afukuzwe.

Zitto is going nowhere..........Zitto is embedded to CDM more than chimera.

Just take a sit, It's time to eat your humble pie
 
Kwanza nichukue fursa hii Kumshukuru Mwenyezi Mungu aliyeumba mbingu na dunia na viumbe wote tuliomo. Mungu UTUKUZWE. Baada ya kumshukuru Mungu napenda sa kumuunga mkono Mjumbe wa Longido, Hivi ninyi Chadema kwa nini mnataka kuharibu Chama kwa mambo ambayo yako wazi, hamjui mbinu za CCM hadi mnajisahau kiasi hicho. Hao wote wanaotaka kumtimua Zitto watimuliwe wao kwa sababu mbinu za kiusalama hawazijui. Zitto ni LULU ndani ya Chadema....
hahaha unamaanisha yule aliyekua masalia anajifanya akua mzalendo per night na kutaka ZZK afukuzwe kwa kuletea majungu kila siku hapa JF kuhusu ZZK?
 
ikifika december bado Zitto Kabwe hajafukuzwa ndani ya CHADEMA ntarudisha kadi yangu kwa hiari...nikiwa kama mwanachama wa kawaida sana, nasikitiswa sana na jinsi kijana huyu anavyohujumu mipango na mikakati ya chama, zito ni mbinafsi, msiri, mchochezi, mpika majungu na M-CCM pia...anamatukio ya ajabu ajabu sana..SHAME ON ZITTO ZUBERI KABWE.
Songoka jipime kwanza wewe na Zitto umuhimu wenu ndani ya Chadema.
 
Ukweli husemwa:

Kuna vijana hapa janvini walikuwa wanapiga kelele kila kukicha. Kwa sasa wafiche sura zao au waende wakapigane na ukuta.

Nilisema, Mh. Zitto is more than CHADEMA ile ambayo imebeba vikaragosi vya kisiasa na siasa za umbea kutafuta umaarufu.

Huwezi kumuharibu Mh. Zitto bila kuiharibu CHADEMA.

Kama wangeijua historia ya Mh. ZItto ndani ya CHADEMA hata wasingepoteza muda wao wakipiga vikelele kutaka afukuzwe.

Zitto is going nowhere..........Zitto is embedded to CDM more than chimera.

Just take a sit, It's time to eat your humble pie
duh naona wamepotea kabisa kaka ila kwa hili niliwaambia mwisho wa ubaya ni aibu sasa walitegemea huo ujasusi waliopewa na kusabisha kufukuzwa kwa kina Shonza wakajua ndivyo itakua kwa ZZK bila kujua umuhim wa huyu mtu ndani ya CDM toka enzi zile CDM inawabunge watano tu.
 
chama makini ni kile kinachowachukulia watu hatua bila kujali wadhifa, rangi au tabaka, na CHADEMA imekua makini katika kutekeleza hayo ispokua tu inapofika kwa Zitto. Je ni kweli kuwa hufahamu ni jinsi gani Zitto amekua akifanya mambo yake kinyume kabisa na misingi ya chama. Sasa kama chama kikianza kuwa na matabaka hasa katika kuchukua maamuzi hatutakua tofauti na CCM waliowafunga kima Farijala Hussein na kuwaacha KAGODA, au wanaposhinwa kuwashughulikia magamba aka mapacha watatu. Huoni kuwa misingi ya chama hapo itaanza kuwa ya kiupendeleo? hasa pale viongozi wa chini wanapowajibiswa kwa adhabu kali kali ikiwemo kufukuzwa uanachama, lakini huyu bwana haguswi? yeye ni nani?

kwa misingi hii ntarudisha kadi

Baadhi yenu mnaijua CDM hivi karibuni, moja wa wabunge wa kwanza ni kutoka mkoa wa Kigoma, Mheshimiwa Dr Warid Kabour kupitia CDM. wakati hua NCCR na CUF vinatesa sana, wakati huo Watanzania hawaaamini upinzani, lakini wananchi wa Kigoma waliamini upinzani na kukipa kura, mwenyekiti wakati huo akiwa mwasisi wa chama mzee mtei. CDM ikifanya kosa kumfukuza zito uchaguzi ujao 2015 CCM haina mpinzani. kumbuka watu wa Kigoma walimwamini zito akiwa mdogo sana na kumtuma kuwakilisha jimbo. Zito, Dr Slaa na Mheshimiwa Mbowe wamekifikisha chama hapo kilipo.

Mchango wa zito ni mkubwa kukifanya CDM kiwe chama chenye wafuasi wengi na kionekane chama pekee chenye kuweza kuwatoa watanzania kwenye lindi la umasikini. kumbuka hoja za ZITO kama buzwagi na misimamo yake bungeni vimesababisha CDM iaminike zaidi kwa wananchi. iwapo Zito atafukuzwa ataondoka na wafuasi wengi sana hasa wale wanaoona kama CDM ni chama cha kikanda, kumbuka Zito ana siri nyingi za CDM pia.

Kama Zito amekosea chama kikae nae na kimrekebishe ili chama kisonge mbele, ili chama kiwe makini ni lazima kikubali mawazo mbadala kwaani kila mtu ana mtazamo na fikra tofauti. CDM kikianza kufukuzana basi utakuwa mwanzo wa kujichimbia kaburi. Kumbukeni kuwa zito ni muisilam kutoka kanda tofauti na kanda ya kaskazini hivyo kuwepo kwake inasaidia kuondoa hoja ya kuwa CDM ni chama cha udini,chama cha ukabila na nk.

CDM ni chama cha demokrasia kama jina lake lilivyo, hivyo demokrasia ni pamoja na kuvumiliana kwa kukubali mawazo ya watu tofauti, hii ndiyo demokrasia ya kweli. Ni kweli yawezekana zito anataka kugombea urais lakini wamwache demokrasia itafanya kazi yake, wengi tunajua kuwa ukiwaweka zito na Dr Slaa mbele ya wananchama Dr Slaa atapita. Nafikiri zito anajua kuwa lengo lake siyo 2015, najua ni zaidi ya hapo hasa miaka ijayo.

Pia wananchi wa mkoa wa Kigoma ni wapinzani wa kweli dhidi ya CCM kumbuka katika uchaguzi wa 2010 kama si njama za CCM mkoa wote wa Kigoma ungekuwa CDM NA NCCR mageuzi. Kwa sasa NCCR mageuzi hawakiamini hasa baada ya James Mbatia kuteuliwa na Kikwete kuwa mbunge hivyo kwa sasa NCCR kinaonekana kama tawi la CCM. Hongera Mheshimiwa Mbowe kwa kutumia busara.
 
Informer kama wewe kweli ni mwanachama na mwenye mapenzi na chama chako basi huku upande wa pili tutaanza kuhoji upenzi wako wa chama chako.

Inawezekana na wewe pia ni kati ya wale wanaotoa hujuma za uongo kwa baadhi ya viongozi wa chama chako. Haiingii akilini utoke tu kwenye mkutano uanze kutoa taarifa za mkutano wenu kabla ya ofisa uhusiano wa chama chako kutoa kilichojiri au ajenda zilizozungumzwa.

Jifunze kuwa msiri.
 
Back
Top Bottom