Zitto: CHADEMA yaelekea kushinda zaidi ya nusu ya viti vya udiwani

aisee mkuu rombo tupe maupdate huko, hata mapicha hakuna..... ngonja nianze kusherehekea maushindi ya majimbo 25 kesho CDM, CHUKUA CHAKO MAPEMA 4.... halloo weita nipe tusker baridi mbili fasta, piga round kwa makanda woote utakaowaona leo
 
Ndugu Zitto Kabwe ambaye hivi sasa yuko Rombo kwa ajili ya kufunga campaign za udiwani kata ya Nanjarareha amehamasika na ukuaji wa mji wa Moshi na haswa mapokezi aliyoyapata kule Rombo na kukiri kwamba CHADEMA imewiva sana uko, haya ni baadhi ya maneno aliyo post kwenye ukurasa wake wa twitter ikiwa ni pamoja na utabiri wake juu ya ushindi wa CHADEMA kwa zaidi ya nusu ya viti vinavyogombewa nchi nzima:
Zittokabwe: Rombo kufunga kampeni za Udiwani kata ya Nanjarareha. #CHADEMA twaelekea kushinda zaidi ya nusu ya viti tunavyogombea nchi nzima. Fired up
Zittokabwe: Rombo imewiva sana kisiasa. No. Kichadema. Nimepokelewa na umati mkubwa sana. Kata ya #Nanjarareha inaonyesha twaibeba

Bukhari :: Book 1 :: Volume 2 :: Hadith 32
Narrated Abu Huraira:

The Prophet said, "The signs of a hypocrite are three:

1. Whenever he speaks, he tells a lie.

2. Whenever he promises, he always breaks it (his promise ).

3. If you trust him, he proves to be dishonest. (If you keep something as a trust with him, he will not return it.)
 
Lakini sio atoke hapo aseme anataka kugombea urais

...tuweke kado tofauti zetu ili tumkabili adui vizuri,cha muhim hapa kwanza ni kumua nyoka aliyeingia ndani ya nyumba yetu and then tutaendelea kutatua tofauti zetu kati yetu...hajalishi ni nani,hata kama ni Shibuda anamchango wa utakaotupata ushindi huko Shinyanga yote kheri...
 
nyie ndio wachochezi wa machafuko Nchini na kauli zenu zisizojenga

Nikweli. Hata hivyo, sisiiti kumtahadharisha Zitto dhidi ya Mbunge wa Rombo, huyo Bw. 30. Selasini ni nyoka wa siasa za upinzani. Selasini angefurahi sana kuona mauti ya Zitto kisiasa. Selasini ni miongoni mwa watu wanaoeneza Tanzania nzima kwamba Zitto ana UTAJIRI wa kutisha.

Zito na 30 rudini kwa nguvu na maarifa yenu yote ktk siasa za ukombozi wa taifa hili ambalo rushwa sasa ni mpaka vyooni.
 
Nikweli. Hata hivyo, sisiiti kumtahadharisha Zitto dhidi ya Mbunge wa Rombo, huyo Bw. 30. Selasini ni nyoka wa siasa za upinzani. Selasini angefurahi sana kuona mauti ya Zitto kisiasa. Selasini ni miongoni mwa watu wanaoeneza Tanzania nzima kwamba Zitto ana UTAJIRI wa kutisha.

Zito na 30 rudini kwa nguvu na maarifa yenu yote ktk siasa za ukombozi wa taifa hili ambalo rushwa sasa ni mpaka vyooni.

Ww juha hebu acha kuchafua hali ya hewa humu, sisi tunawaza ushindi we bado unaleta ujinga humu kama vipi fungua thread yako ndo uandike pumba zako hizo na wehu waje kuchangia.
 
Hongera Kamanda Zitto we want to see one CDM working together Kuipoteza CCM
 
Last edited by a moderator:
Inaonesha ni namna gani hawa watu wa Rombo na mikoa wa kaskazini kwa ujumla wamesha kombolewa kifikra na kiuchumi ndio maana itakuwa vigumu kwa CCM kuendeleza propaganda zake. Matatizo yote yanayoonekana hapa nchini iwe elimu, afya, migororo ya kidini, ardhi na mengine yote yakija kujulikana kati ya watanzania wengi ninakuhakikishia Nape na CCM yake watavuma makijani yao kwani yanatumika kuwaadaa watanzania maskini...... Na bado...!!! Watanzania wameanza kutambua kwamba matatizo waliyonayo wanatokana na chama kilichoko madarakani yaani CCM huku kikiendelea kujinadi bila aibu.
 
Cha msingi wakumbuke kuzilinda kura zao hapo kesho. Magamba ni mabingwa wa rafu na wizi.
 
jamaa anapandwa na midadi sana anapoona watu wanakusanyika wengi, kumbuka kukusanya watu wengi si kura, wapiga kura yawezekana si miongoni wa hao waliokuja kwenye mkutano wako. kikubwa be firm na endelea na campaign na umwombe Mungu atusaidie tulikomboe Taifa kuliko kubweteka na idadi ya watu wanaokusanyika kwenye mikutano. Pambana na endelea na mapambano mpaka ushinde kama hujashinda usijisifu kuwa umeshinda. toa ushuhuda baada ya kushinda, na sio kabla ya kushinda, huwezi jua tone moja laweza badirisha rangi ya bahari. Pia kumbuka waswahili wanasema hata tone moja la Mvua laweza leta gharika. hao unawadharau wanaweza badirisha upepo dakika za mwisho.ZZK kuwa na busara acha mchecheto, acha kuwashwa na madaraka
 
Ww juha hebu acha kuchafua hali ya hewa humu, sisi tunawaza ushindi we bado unaleta ujinga humu kama vipi fungua thread yako ndo uandike pumba zako hizo na wehu waje kuchangia.

Hukuzaliwa kwa ajili ya kutukana kiongozi
Hukuregister JF kwa ajili ya kutukana bali kwa ajili ya kujenga nchi kwa hoja zitokanazo na utafiti wa kina. Nimeyatafiti haya ninayoyasema. Mwisho nimewataka wote wawili kurudi kundini kwa maslahi ya taifa.

Ogopa utashi wako kutawaliwa na jazba. Wengi hapa JF hatufahamiani kwa majina halisi wala kwa sura. Tukana tukana yako utakujakuta kumbe Penguine ni Baba yako.

Karibu ktk hekima ya JF Kiongozi. Bila shaka umejisikia aibu lkn nimekusamehe.
 
Back
Top Bottom