Zitto: CHADEMA yaelekea kushinda zaidi ya nusu ya viti vya udiwani

Ameona amepokolewa na watu wengi kwa sababu watu wa rombo hawajui viongozi wa nchi.Hawajatembelewa muda mrefu sana walifikiri ni kiongozi wa serikali
 
kuna watu wanaelewa maana ya mabadiliko na faida zake. wengine wanaogopa utadhani kifo
 
Ameona amepokolewa na watu wengi kwa sababu watu wa rombo hawajui viongozi wa nchi.Hawajatembelewa muda mrefu sana walifikiri ni kiongozi wa serikali

Omba radhi mkuu....
Rombo ilianza kuchagua upinzani kwa kumchagua Alfred Salakana wa Chadema mwaka 1995.
Wana experience nzuri kwenye mabadiliko
Kauli zako hizi.....be warned!
 
Kesho muda kama huu shangwe zinaanza nchi nzima.Viva CDM Vivaa

Mim ni wakala Daraja mbili naenda kusimamia kura za chadema, Wassira na Sendeka leo wameumbuka Arusha mkutano wao wa kufunga ulikuwa na watu wasiotoka kata ya Daraja mbili! Hahahahaaaaa halafu anawaomba kura sijui watazitoa wapi!
 
Hivi jamani CCM hawana watu wa kupiga campaign kabisa? Hahahaa Wasirra si ataanza kugombeza wananchi jukwaani
 
Umati wa watu K'njaro ni sawa na kuuliza vumbi stoo,au ndevu pakistani,huko ndio uchagani, i.e CDM = WACHAGGA.
 
Back
Top Bottom