habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,739
Mkuu utafungwaHuyu Naibu Spika ni pumbavu la viwango vyote.
Mkuu utafungwaHuyu Naibu Spika ni pumbavu la viwango vyote.
Kisa ?Mkuu utafungwa
Hahahahahaha..Mkuu utafungwa
Nifungwe kwa kusema ukweli Mkuu..!!Kisa ?
Chakula cha wakubwa hakisemwi hakisemwi hadharanHahahahahaha..
Nifungwe kwa kusema ukweli Mkuu..??
Nimekupata vema Mkuu wangu.Chakula cha wakubwa hakisemwi hakisemwi hadharan
Mtandao wa majizi ulioanzia Ikulu, Serikalini, ccm hadi bungeni chini ya uongozi wa kubwa la majizi pale Ikulu.
Jamani we mama ! Wewe unasemaga mungu wabariki wazungu ! Leo tena ibariki Tanzania ? Lahaula !Mungu ibariki Tanzania ukipenda mwenyewe , hatutakulazimisha Baba
nimesema akipenda mwenyewe , nisome kwa herufi kubwaJamani we mama ! Wewe unasemaga mungu wabariki wazungu ! Leo tena ibariki Tanzania ? Lahaula !
Kwa hiyo asipopenda aimwage tu kama Afghanistan etieee! Du ! Barikiwa mamaangu.nimesema akipenda mwenyewe , nisome kwa herufi kubwa
ila sisi CCM tuna nyege mbaya na Chadema.... hasa mimi hapa.Huyu Zitto awe mwenyekiti chadema
Kwanza unatakiwa kujua tafsiri ya hizo % kufuatana na uchumi wa dunia kwa jumla, kwani china iliyo endelea kuliko tz na idadi ya Watu pia ukuwaji wa uchumi umeshuka lakini bado hali Yao ni nzuri kuliko taharuki unayo taka kuonyesha. Pili unatakiwa kuangalia uwekezaji wa vitu vya muda mrefu vs shughuli za kiuchumi za muda mfupi . Kwa mfano Mtu akifuga kuku wa nyama yeye ataanza kupata baada ya wiki 6 wakati mfugaji wa kuku wa Mayai itachukuwa muda mrefu zaidi hivyo ukitumia hizo % utasema mfugaji wa kuku wa nyama anafanya vizuri zaidi , wakati kiukweli mfugaji wa kuku wa mayai in the long run anafanya vizuri.Hii ni baada ya kuporomosha uchumi wa nchi Kwa kasi ya radi ambapo ukuaji wake kwa miaka 10 mfululizo ulikuwa 7% lakini sasa umedondoka pwaaaa mithili ya parachichi la Njombe !! hadi kufikia ukuaji wa aibu wa 4% (hii ni kwa mujibu wa IMF )
View attachment 1085191
Yetu macho tu!Hii ni baada ya kuporomosha uchumi wa nchi Kwa kasi ya radi ambapo ukuaji wake kwa miaka 10 mfululizo ulikuwa 7% lakini sasa umedondoka pwaaaa mithili ya parachichi la Njombe !! hadi kufikia ukuaji wa aibu wa 4% (hii ni kwa mujibu wa IMF )
View attachment 1085191
Yapo waliofanikiwa sana na wanajisifia kwayo Mkuu.Hii ni serikali iliyoshindwa karibu kwenye kila kitu!
Wastani ni 6.9 kwa miaka kumi yote ya JkZitto aache kuleta data za uwongo, kuna miaka uchumi ulikua kwa 5.2%, siyo miaka yote 10 ya JK ulikua kwa 7%
Kipigo tunapata sote mkuu2020 kipigo kipo pale pale msijisahaulishe
ni kweli tulikumbwa na ukame lakini hoja yake ina uzito uleuleWastani ni 6.9 kwa miaka kumi yote ya Jk
Mtandao wa majizi ulioanzia Ikulu, Serikalini, ccm hadi bungeni chini ya uongozi wa kubwa la majizi pale Ikulu.