Zitto: Baraza zima la Mawaziri la awamu ya 5 linapaswa kushitakiwa kwa Uhujumu uchumi

Hii ni baada ya kuporomosha uchumi wa nchi Kwa kasi ya radi ambapo ukuaji wake kwa miaka 10 mfululizo ulikuwa 7% lakini sasa umedondoka pwaaaa mithili ya parachichi la Njombe !! hadi kufikia ukuaji wa aibu wa 4% (hii ni kwa mujibu wa IMF )

View attachment 1085191
Kama huyo zito ana ushahidi na awe wa kwanza kuwaburuza hao mawaziri mahakamani vinginevyo asitulete porojo zake.
 
Back
Top Bottom