Zitto: Baraza zima la Mawaziri la awamu ya 5 linapaswa kushitakiwa kwa Uhujumu uchumi

Wanasiasa wa bongo wa saaulifu kwel kipindi cha kikwete walikuwa wanasema miaka 50 ccm aijafanya lolote , Leo hii wanasema serikal ya awam ya5 inauwa uchumi, kweli wapinzani awajielewi
 
Baraza la mawaziri kwa nini lishitakiwe mahakamani?
Nadhani ungesema Serikali ungeeleweka vizuri - lkn unapoandika mada nyingi huwa unatoa suluhu ya nini kifanyike kukuza uchumi sasa kushitaki Baraza la mawaziri kutakuza uchumi?
Kutakomesha hii tabia ya kuporomosha uchumi kwa maksudi kwa kunyamazia miradi isiyo na tija inayojengwa kinyume cha katiba ya nchi
 
Watanzania wanataka matokeo hawataki mambo ya kwenye ma karatasi, kama barabara iwepo, umeme pia, maji,vituo vya Afya, hayo ndiyo wataka Watanzania, mahesabu ya benki ya dunia ni jambo lingine.
 
Aiseee !!!
 
Hii ni baada ya kuporomosha uchumi wa nchi Kwa kasi ya radi ambapo ukuaji wake kwa miaka 10 mfululizo ulikuwa 7% lakini sasa umedondoka pwaaaa mithili ya parachichi la Njombe !! hadi kufikia ukuaji wa aibu wa 4% (hii ni kwa mujibu wa IMF )

View attachment 1085191

This is sad; kusinyaa kwa uchumi siyo KOSA la uhujumu uchumi mbona? Na Uchumi si lazima ukue asilimia 8 au 10... Ingekuwa kila uchumi ukipunguza kasi ya ukuaji basi viongozi washtakiwe hii dunia ingekuwa haikaliki..
 
Je ukiwekewa hoja zilizoshiba kuhusiana na uhujumu wa baraza la mawaziri hasa baada ya kuacha mtu mmoja kutapanya hela kinyume cha katiba kwenye miradi isiyo na tija na mingine ya gizani utakuwa tayari kukubaliana na Zitto ?
 
Siyo hoja ila ushahidi..na huwezi kulishtaki Baraza la Mawaziri
 
Hii ni baada ya kuporomosha uchumi wa nchi Kwa kasi ya radi ambapo ukuaji wake kwa miaka 10 mfululizo ulikuwa 7% lakini sasa umedondoka pwaaaa mithili ya parachichi la Njombe !! hadi kufikia ukuaji wa aibu wa 4% (hii ni kwa mujibu wa IMF )

View attachment 1085191

Britain's quarterly economic growth was confirmed at 0.2 percent in the three months to December 2018, below the previous three-month period's revised figure of 0.7 percent. Household consumption and government spending supported the expansion, while gross capital formation and net trade contributed negatively to GDP growth. GDP Growth Rate in the United Kingdom averaged 0.60 percent from 1955 until 2018, reaching an all time high of 5 percent in the first quarter of 1973 and a record low of -2.70 percent in the first quarter of 1974.

United Kingdom GDP Growth Rate

1Y5Y10YMAX

Compare

Embed

CalendarGMTActualPreviousConsensusTEForecast
2018-11-0909:30 AMGDP Growth Rate QoQ Prel0.6%0.4%0.6%0.7%
2018-12-2109:30 AMGDP Growth Rate QoQ Final0.6%0.4%0.6%0.6%
2019-02-1109:30 AMGDP Growth Rate QoQ Prel0.2%0.6%0.2%0.3%
2019-03-2909:30 AMGDP Growth Rate QoQ Final0.2%0.7%0.2%0.2%
2019-05-1008:30 AMGDP Growth Rate QoQ Prel0.2%0.2%0.4%
2019-06-2808:30 AMGDP Growth Rate QoQ Final0.2%0.4%
2019-08-0908:30 AMGDP Growth Rate QoQ Prel0.3%
https://tradingeconomics.com/calendar
Kesho naanza mkakati kumshitaki Theresa May na wenzake kwanini uchumi wetu hapa umeshuka kutoka 0.6% November mwaka jana mpaka 0.2% March mwaka huu.

Duniani

CountryLastPreviousRange
United States3.20Mar/192.216.7 : -10%
Singapore2.00Mar/191.436.1 : -13.4%
India1.60Dec/181.55.4 : -1.7%
Saudi Arabia1.60Sep/180.68.8 : -2.3%
China1.40Mar/191.52.4 : 1.4%
South Africa1.40Dec/182.67.6 : -6.1%
Russia0.80Dec/180.74.1 : -5.4%
Spain0.70Mar/190.61.6 : -1.6%
Japan0.50Dec/18-0.63.2 : -4.8%
Netherlands0.50Dec/180.21.7 : -3.6%
Euro Area0.40Mar/190.21.3 : -3%
France0.30Mar/190.38 : -5.3%
Australia0.20Dec/180.34.4 : -2%
Italy0.20Mar/19-0.16 : -2.7%
Switzerland0.20Dec/18-0.32.4 : -1.9%
United Kingdom0.20Dec/180.75 : -2.7%
Brazil0.10Dec/180.54 : -3.9%
Canada0.10Dec/180.53.1 : -2.3%
Germany0.00Dec/18-0.24 : -4.5%
Mexico-0.20Mar/190.23.2 : -5.7%
South Korea-0.30Mar/1917.8 : -7%
Argentina-1.20Dec/18-0.55 : -5.7%
Indonesia-1.69Dec/183.094.21 : -3.57%
Turkey-2.40Dec/18-1.65.6 : -5.2%
 
Mkuu nakuonea huruma sana unalinganisha developed economic country na nchi ambayo ni developing katika kukua kwa uchumi?
 
Unataka kutetea kitu gani hapa ?
 
Kule Sudani wamewasukuma ndani.

Wanachosahau watawala na wakubwa wachache wa dola ni kwamba wananchi wengi ni ndugu moja na wanapata shida zinazofanana.
Watawala ni wachache sana na wale wanaofaidika na hali yoyote iwe uchumi mzuri au mbaya pia ni wachache sana.
Tusema ni wanaofaidika na hali yaoyaote ya nchi ni:
wabunge .
Mawaziri,
Mabalozi
Wakuu wa idara mbalimbali kama majaji na makamishna mbalimbali kama wa forodha n.k.
Wakuu wa vyombo vya dola.
Wala rushwa
Wahujumu uchumi
Wakwepa kodi
Wanaopeana matenda makubwa .
Wakuu wa mikoa
Wakuu wa wilaya
Wakurugenzi n.k
Wajumbe wa Tume ya uchaguzi
Msajili na watu wake n.k

Kakundi hako kadogo kamejishau na kufikiri kuwa kanaweza kakaogelea kwenye dimbwi la raha na maisha bora kupitia kodi za wanananchi wanyonge na wakati huo huo wakawa wanawakejeli wananchi kuwa wafunge mikanda vita ya kiuchumi ni ngumu huku wakiwatisha wananchi kwa mabunduki na kuvuruga uchaguzi ili waendelee kutawala na kula raha.
Nadhani kakundi haka kanakojisahau kabisa hakazidi watu elfu taono nchi nzima.
Kanategemea kutumia maguvu ya watoto wetu wenye maisha magumu wanaotaka pia ndugu zao waishi maisha bora ili wajitegemee.
Nadhani wakae wajitafakari zaidi namna ya kukuza uchumi wa nchi na ule wa mwananchi mmoja mmoja sio kuangalia mifukoni mwao tu na kujisifu kwa ubora wa maisha na kuwa na uwezo wa kifedha na mishahara mizuri ya kuweza kuongeza idadi ya michepuko wakati wafanyakazi wanashindwa kuongeza hata chakula cha mchana kwa mama Ntilie.
 
Back
Top Bottom