Zitto: Baraza zima la Mawaziri la awamu ya 5 linapaswa kushitakiwa kwa Uhujumu uchumi

Mtandao wa majizi ulioanzia Ikulu, Serikalini, ccm hadi bungeni chini ya uongozi wa kubwa la majizi pale Ikulu.


Huyu kiumbe kuna kiungo kimoja nyeti cha mwili wake napendekeza kukiitia kama jina lake la sifa.
 
Hii ni baada ya kuporomosha uchumi wa nchi Kwa kasi ya radi ambapo ukuaji wake kwa miaka 10 mfululizo ulikuwa 7% lakini sasa umedondoka pwaaaa mithili ya parachichi la Njombe !! hadi kufikia ukuaji wa aibu wa 4% (hii ni kwa mujibu wa IMF )

View attachment 1085191
Kwanza unatakiwa kujua tafsiri ya hizo % kufuatana na uchumi wa dunia kwa jumla, kwani china iliyo endelea kuliko tz na idadi ya Watu pia ukuwaji wa uchumi umeshuka lakini bado hali Yao ni nzuri kuliko taharuki unayo taka kuonyesha. Pili unatakiwa kuangalia uwekezaji wa vitu vya muda mrefu vs shughuli za kiuchumi za muda mfupi . Kwa mfano Mtu akifuga kuku wa nyama yeye ataanza kupata baada ya wiki 6 wakati mfugaji wa kuku wa Mayai itachukuwa muda mrefu zaidi hivyo ukitumia hizo % utasema mfugaji wa kuku wa nyama anafanya vizuri zaidi , wakati kiukweli mfugaji wa kuku wa mayai in the long run anafanya vizuri.
Sasa Huko unakodai na asilimia zako je mifuko ya kujamii, ilikuwaje?? Mapato bandarini ilikuwaje, uwekezaji nida ulikuwaje, barabara ubora wake ulikuwaje au wewe Ndio mwenye kupenda dhahabu fake na sio halisia
 
Baraza la mawaziri kwa nini lishitakiwe mahakamani?
Nadhani ungesema Serikali ungeeleweka vizuri - lkn unapoandika mada nyingi huwa unatoa suluhu ya nini kifanyike kukuza uchumi sasa kushitaki Baraza la mawaziri kutakuza uchumi?
 
Back
Top Bottom