Zitto azomewa Bukoba

sasa Bavicha Picha si mmeona? Sasa mnabisha nini kama kubisha ni fashion basi nyie mpo level ya mbali
 
"Action speaks louder than words" sasa Bavicha Picha si mmeona? Sasa mnabisha nini kama kubisha ni fashion basi nyie mpo level ya mbali

... Mkuu Unasoma Darasa La Ngapi?
 
Au na wew ni moja uliyepewa viroba uzomee kama mama tibaijuka alivyoambia mnapewa viroba ili mzomee
 
Ndugu wananchi jiandae huko anapokuja.wembe ni ule ule....zomea zomea iendelee mpaka pale atakapoacha
 
Lete kavideo kadogo

http://matukiosiasa.blogspot.com/2015/06/zitto-kabwe-awahutubia-wakazi-wa-mkoa.html Jaribu kupata angalau picha kutoka kwa waandishi wa habari wakongwe ili ujue ZZK na ACT ni moto wa kuotea mbali. Pasipo demokrasia ni vigumu kuishi na wanachama.
 
aloycious ulimi hauna mfupa. zotto namaanisha zitto ila umenielewa hata kama kichwa chako kigumu.
 
Last edited by a moderator:
Kwa huu mchakamchaka wacha Chadema wapagawe daa!!!

Bavicha endeleeni kujifariji na kujiliwaza hapa JF bila kufanya hivyo mnadhani itakuaje.

Hee!! kumbe Hali iko hivi nimegundua kwa nini kwa nini chadema wanalalamika.
Hata hivyo wameyataka wenyewe
Wemelikoroga lazima walinywe.
 
View attachment 260638
DUH... AISEE NAONA WANANCHI WA BUKOBA WAKIZOMEA KWA MAKINI SANA......LITAWAPWELEPWETA MKIA HAUWEZI KUTIKISA NGO'MBE....Hizo ni za rasharasha za masika bado:smow::smow::smow:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…