Elias Msuya
Platinum Member
- Dec 23, 2011
- 248
- 969
Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amewataka wananchi kujitokeza kupiga kura na kuwaepuka wanaosema watasusia, akisema kususa hakutawasaidia, kwani CCM hawajali.
Ameyasema hayo leo Julai 15 wilayani Namtumbo Mkoa wa Ruvuma alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara.
Ameyasema hayo leo Julai 15 wilayani Namtumbo Mkoa wa Ruvuma alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara.