yy angekuwa anajikita kukielezea chama cha mfukoni kwake kulikobkutafuta kiki kwa kuiponda cdm hapo ndo watu wanaamini kuwa jamaa lengo lake ni kuiua cdm na si kujenga demokrasi
Acha ushabiki we mbuzi,nani asiejua kuwa mbowe na mkwe wake Mtei ndo mamungu wa cdm?Juzi dj mbowe alikuwa hapa segerea liwiti hakuwa na sera yoyote zaidi yakumtaja Zitto tu.Tulieni iwaingie, cmnajua kuwa haina mabega?
watu mnavyo viwanda vya uongo balaa. nawewe unatofauti gani na mafisadi. mimi nilikuwepo mbona hilo sikuliona? wewe tu ndio ulikuwa kwenye huo mkutano?. ukweli ni kwamba mkutano wa zotto leo ulifana na haijawahi pata tokea. kijana anakipawa kikubwa cha kupenda.