Zitto kwa JK ni kama MBWA kwa CHATU. Lolote utalojaribu kulifanya linalombomoa JK Zito hatakubaliana nawe.
nilipolisoma jina hapo juu nilidhani mjenga hoja wa maana, kumbe pumba zimekujaa kichwani.
Ivi unajua kinachojadiliwa hapa?Ukweli unauma MUNGI. Na huo ndi ukweli wenyewe Zitto ni mtu makini, amekataa unafiki wa kwenda kinyume na kiapo chake kwa ajili yaku wafurahisa wakina Mbowe.
zito anastahili kuwaondolea wasiwasi watanzania wapenda mabadiliko walio nao juu yake wa kuwa yeye sasa yawezekana yupo chadema lakini kwa maslahi zaidi ya kwake na ya ccm. Kumekuwa na minong'ono mingi juu ya ukaribu wa zito na viongozi wa ccm. Minong'ono hii inaweza kuwa ya kweli kwa 100% au kwa kiwango fulani au pengine isiwe ya kweli lakini yeye anastahili kuitolea ufafanuzi. Lakini lililo dhahiri ni kuwa zito anapenda sana umaarufu wake binafsi kuliko mafanikio ya chadema kama taasisi. Unapopiga kura kwaajili ya kupata uamuzi maana yake ni kuwa upo tayari kukubaliana na uamuzi wa walio wengi. Kama walio wengi wa waliopiga kura waliazimia kuwa wabunge wa chadema watoke mara kikwete akianza kuhutubia, kwa nini zito alichukua uamuzi tofauti? Ina maana haamini katika demokrasia ya maamuzi ya walio wengi? Yeye kama kiongozi wa chama alistahili kuonesha mfano katika kukubaliana na maamuzi ya walio wengi kuliko kuona kuwa wakati wote watu wote ni lazima wakubaliane na anachotaka yeye. Huo ni ubinafsi mkubwa!
Zitto anadhani yeye ni superstar
Wakuu habari za punde ni kwamba Zitto Kabwe atahamia NCCR mageuzi, na kwamba atagombea ubunge kigoma kaskazini kwa chama hicho. kwa hiyo basi atakua ametimiza kazi yake ya kuivuruga cdm na mafisadi watashangilia. ila cdm itaendelea kuwepo na kuendelea kufanya kazi uzuri.
Huo ni uchochezi si kweli. Usimuwekee maneno mdomoni. Lakini hata akifanya hivyo ana uhuru wa kufanya hivyo hata kama ni kwa maslahi binafsi.