Zitto is wrong, anapaswa apewe adhabu! Je, ambao hawakumpigia kura Kigoma, wanahaki ya kusema 'sisi hatukumpigia kura'? La, hasha. Ukishaamua demokrasia itegemee kura, HESHIMU KURA.
Ndiyo maana mzee mapesa wa UDP aliadhibiwa na Sitta kwa kosa la kutowaunga mkono wapinzanni wenzake. Je, Sitta alifanya kosa? NO! Red must be red, and bluee must be blue...Tanzania ya leo, HUWEZI KUABURUZA WATU, after all, kila mtu ni kama maua tu hapa duniani. Hakuna cha fisadi wala mzalendo, sharti tuonje kaburi.
Zitto kukaa nyumbani (if it is true) bila kuja bungeni, ni sawa. Lakini kutoa siri za vikao vyao ni kosa.
Jeshini huwa watu hawa wanaitwa VIHEREHERE. Nadhani hajapita JKT? Au ndo ile ya miezi 6?
Kufanywa au kutofanywa wajinga inategemea mtu amnaelewaje na anatafsiri viti taratibu na sheria zinazosimamia eneo husika. Naamini mdogo wangu Zitto ana akili timamu na anafanya jambo bila kukurupuka kama unavyodhani. Demokrasia ni pamoja na kujua jinsi ya kuwa mwana dipromasia pia. Kijana huyu anajua kusoma nyakati...... big up ZITTO!!
1. Kama ulikuwa unanisoma ungeweza kuona kwamba mgawanyiko huu ulikuwa wazi hata kabla ya Zitoo kuusema, Zitto kathibitisha.
2. Zitto talks too much, there is such a thing as "too much information". Anataka kujifanya "A Profile in Courage". Lakini kuna tofauti kati ya courage na narcisissm. Hivi kulikuwa na ulazima gani wa yeye kusema haya? Naona kwa nini Zitto hakupewa uongozi wa upinzani.
Moja ya upuuzi wa kujiunga na chams, na moja inayofanya independent thinkers kupata ugumu kujiunga na chama, ni ukweli kwamba chama kikishaamua, unatakiwa kukubali. Ndiyo maana ya "collective responsibility". Kama swala lina uzito na unatofautiana na chama unaweza hata kujitoa kwenye chama. Watu walijitoa TANU enzi ya kupiga kura iliyoruhusu wazungu na waasia kupiga kura Tanganyika.
Kwa hiyo Zitto naye ilimbidi kwenda na maamuzi ya chama, kama tofauti zitazidi anaweza kuachia ngazi kwenda kwenye chama anachokipenda au kuanzisha chake.
Kufanywa au kutofanywa wajinga inategemea mtu amnaelewaje na anatafsiri viti taratibu na sheria zinazosimamia eneo husika. Naamini mdogo wangu Zitto ana akili timamu na anafanya jambo bila kukurupuka kama unavyodhani. Demokrasia ni pamoja na kujua jinsi ya kuwa mwana dipromasia pia. Kijana huyu anajua kusoma nyakati...... big up ZITTO!!
shida ya zitto kabwe ni kujiona ana uelewa kuliko vijana wengine wa kitanzania....mbowe aliulizwa na tanzania daima kuwa watahudhuria hotuba ya kikwete bungeni akajibu kuwa watu wasubiri muda utasema....na kweli muda ulipofika tuliona...hakuzungumzia habari za kupiga kura sababu hayo ni mambo ya chama..mbona zitto hakuwaambia waandishi kwamba watapiga kura kabla ya zoezi...au alishtukizwa ghafla akiwa kwenye kikao...?ajaribu kutulia akili yake ipevuke vya kutosha...ndio maana hakuchaguliwa kuwa msemaji wa chama...hawa watu wapo makini na walishagundua tatizo la huyu dogo...
Hivi hapa pana siri gani?walipanga watoke nje na wametoka na wengine mkaanzisha chokochoko kwamba wale ambao hawakwenda bungeni na kutoka nje yaani hawakuingia kabisa bungeni ni wasaliti kwa bahati Zitto ni mmojawapo na ndiyo ameenda kujisafisha na kueleza kinagaubaga.mpaka mtakapoacha kila analolifanya Mh.Zitto kuwa ni issue nafikiri naye hataacha kuwashangaza kwani anaelewa gharama ya vijineno vyenu kwa wapiga kura wake.
Zitto ASANTE KWA MSIMAMO WAKO
NAJUA SIKU ZINAKUJA UTATOA TAMKO LA KUWASHANGAZA WENGI KAMA ULIVYOSEMA SIKU MOJA KUWA UTATOA UHAMZI MUGUMU
ZITTO KARIBU CHAMANI