Njilembera
JF-Expert Member
- May 10, 2008
- 1,496
- 610
Siku zote nasema namkumbuka Zito toka Daruso, hajabadilika, sidhani kama atabadilika. Huyo ndio Zito.
Zitto kachakachuliwa, anaogpa kutemwa kwenye kamati ya madini, hummer lake atalijazaje mafuta kupiga starta tu lita tano
si jamvini pekee ndugu. ni tatizo letu watanzania! TUNATAKA TUNACHOKITAKA NA HATUTAKI TUSICHOKITAKA, mara nyingi tunashindwa KUKUBALIANA KUTOKUBALIANA. Huku tukiimba kwamba tunajenga demokrasia. Sidhani kama tunaweza kujenga Demokrasi bila kukubali kupingana, bila kuwa wawazi, kwanini iwe siri? Iwe siri ili iweje? Zito Kabwe amefanya kitu sahihi kabisa na ninamuunga mkono kwa hilo. Alipata kujibu alipohojiwa "...Maslahi ya taifa kwanza!" Ndicho alichoangalia. Je kwanini ahukumiwe kwa hilo? Chadema si baba wala mama yake.zitto ameongea vizuri sana... tatizo humu jamvini tunataka mambo ya upinzani yaende kama mechi ya kinondoni muslim na tambaza
na hayo ya kupingana yangetokea ccm kesho ungesikia mtu katolewa chamani
:redfaces: na hao walikuwa CDM??? kuweni na uvumilivu wa kupingana.Zitto anahujumu CDM, wewe ndio Naibu katibu mkuu husimamii maamuzi ya chama je unafaa kweli? acha unafiki na kujiona wewe ni Mungu mtu.kama vipi timkia ccm ukawaulize akina Lamwai,Kabourou,Hiza.
- Mkuu kama ninakuelewa kura ilipigwa ndani ya Chadema kufuata Demokrasia, sasa ni Demokrasia gani hiyo inayomnyima Kiongozi msaidizi wa Upinzani bungeni kutoizungumzia hiyo Demokrasia to the public? Demokrasia haifanywi kwa siri mkuu wala kuzuiwa waliohusika kutosema to the public, rekebisha hilo mkuu!
- Kilichofanyika ilikuwa ni Demokrasia au siri? Chagua moja mkuu!
William.
"I think Zitto has to go...amaekuwa ni virus ana ataharibu mikakati ya chama..Wamruhusu ajiunge CCM..I recall comments zake toka wakati Kafulila alipofukuzwa kazi CHADEMA,pili wakati wa uchaguzi wa mwenyekiti wa chama,thirdly ni jinsi anavojiona yuko above CHAMA..sasa he has to go...hatuwezi kuwa na team yenye beki anayekuwa hakabi mipira inapita tu
I dont see an issue (hapa tuna make a mountain out of a mole hill) kutokukubaliana ni kawaida kura zikapigwa wengi wakashinda thats normal lakini i think Zitto angekaa kimya tu there is no need awaambie vyombo vya habari what went behind the scenes
I dont see an issue (hapa tuna make a mountain out of a mole hill) kutokukubaliana ni kawaida kura zikapigwa wengi wakashinda thats normal lakini i think Zitto angekaa kimya tu there is no need awaambie vyombo vya habari what went behind the scenes