Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,199
KUFUKUZWA KWA KOSA LA KI-FIKRA NCCR-MAGEUZI NA KUBAKISHWA KAMA SHUJAA KWA KOSA LA UFISADI DHIDI YA TAIFA KULE CCM IPI NI HATARI ZAIDI?
CHADEMA tuendelee kutumia vema kanuni hii ya "Working with a LESSER DEVIL" si tu kwa huyu Kafulila bali hata kwa makundi mengine hasimu kule CCM ili kukiimaarisha chama zaidi kabla ya kushika dola mapema Novemba 2015.
Ingawaje binafsi bado sijamuondolea kibendera chekundu huyu kijana Kafulila na Zitto mwenyewe kwa mienendo yao yenye maswali mengi sana huko nyuma, lakini kwa kuzingatia hiyo kanuni yetu mpya hapo juu basi sina budi kukubliana na uongozi wangu utkavyoona inafaa.
Lakini hata akiruhusiwa kujiunga tena ni sharti aturidhishe kwamba anajutia makosa yake, atakua mpambanaji wa kweli chamani kuliko rafiki yangu Zitto ambaye siku hizi 'kaishiwa na risasi' kwenye bunduki yake ya kisiasa na kwamba atakua team-player mwenye nidhamu ili kuharakisha azma ya umma kuking'olea mbali Magamba 2015.