KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,149
itakua poa tu si ni kwa ajili ya usalama wataifa letu bwana au we mwenzetu hupendi usalama wa taifa hili?Hivi siku ukigundua kuwa kafulila ni TISS itakuaje?
itakua poa tu si ni kwa ajili ya usalama wataifa letu bwana au we mwenzetu hupendi usalama wa taifa hili?Hivi siku ukigundua kuwa kafulila ni TISS itakuaje?
=ibange-i=bange = Mibange - M = Jibange - J = ba+ngeNilikuwa najifunza Formula za Ms Excel leo mwalimu wangu akanifundisha formula hii hapa:
=ibange-i=bange
Hivi kupanga "mikakati" ya kugombea uenyekiti kwenye uchaguzi ulio halali kikatiba huko chadema ni dhambi?!!!acheni kubaka demokrasia mchana kweupe nyie watu wa chama cha demokrasia,leo mnamkataa Kafulila wakati mnaweza kuishi shibuda!He is like concubine. Ukivuliwa madaraka kwa maslahi ya wengi ndo unajiondoa miongoni mwao? Kafulila hafai kwenda CHADEMA, yeye na Mwenyekiti HENCHE ni samaki na ndoana majini. Ni mgogoro mtupu mnaoutafuta. Ni bora akaenda CCM kuliko kupokelewa na upande wowote wa upinzani. Kilichomuondoa CDM ni tamaa ya kuutaka uenyekiti wa BAVICHA ili wapange mikakati(na wenzake anawajua) ya kuutwaa uenyekiti wa CDM. sio siri. ninanukuu" David ni rafiki yangu hata akihamia wapi lazima nimpigie kampeni ya ubunge
Kwa mfumo tulionao mtu ukiwa TISS basi unachukuliwa ni adui wa Taifa?Hivi siku ukigundua kuwa kafulila ni TISS itakuaje?
itakua poa tu si ni kwa ajili ya usalama wataifa letu bwana au we mwenzetu hupendi usalama wa taifa hili?
Nilikuwa najifunza Formula za Ms Excel leo mwalimu wangu akanifundisha formula hii hapa:
=ibange-i=bange
Ni kweli Mkuu!Chadema itafanya jambo la busara na la kuheshimika sana endapo hawatomruhusu huyu Kafulila arudi chadema.
Hahaaaaaaa. Umesoma chemistry nini?=ibange-i=bange = Mibange M = Jibange - J = ba+nge
Habari zilizonifikia kutoka source ya kuaminika ni kuwa Kafulia amefanya kikao na Chadema leo kwa madhumuni ya kurudi kwenye chama hicho. Nimedikezwa kwamba ameona kwenda mahakamani ni ngumu na pia kukata rufaa ndani ya chama ni ngumu pia maana uwezekano wa kumsamehe ni mdogo maana anahitalafiana na mbatia kuhusu jinsi ya kuongoza chama. Mbatia yeye anataka chama kiwe ccm B wakati kafulila anataka chama kiwe cha upinzani