Zitto amkaribisha Kafulila CHADEMA

Zitto amkaribisha Kafulila CHADEMA

Kafulila aje tu mnafikiri CCM walikuwa wajinga walipomtumia RA na kulibakisha jimbo la Igunga? Hata kama CDM wataona Lowassa atawasaidia kushika dola na kutekeleza ndoto zao za kuwakomboa watanzania kwani kuna ubaya gani? Kisu ni hatari kukichezea lakini sometimes kinakuwa siraha ya kujilinda. Kuna mchangiaji mmoja ameshauri CDM ijifunze kushirikiana na hata wana CCM wanaoonekana kuwashambulia wanaweza kuwa msaada.

Kwa stage CDM ilipofikia wanatakiwa kuwa na mission na vision pana zaidi maana kadri wanavyokua na kupata wanachama vivyo hivyo wanazidi kupata maadui wengi tena wenye nguvu na uwezo mkubwa, kwa hiyo wakiendelea kutegemea mbinu zilezile za mwaka juzi eti kuogopa kupokea wafitini wao hawatafika popote, wasione aibu kukopi toka CCM wanavyowatumia kina Wassira, Tambwe ambao walikuwa mahasimu wao na wanavyowatumia kina Nape, Sitta mbali ya kukisaliti chama kwa kuanzisha CCJ lakini leo ndio wanaokinadi chama. Nashauri CDM kama Slaa anavyosema wanakuja na mbinu mpya ikibidi wafanye Head hunting kwa vyama mahasimu wao.
Wakuu wanajamvi,sitaki kugusia unafiki wa Kafulila na kushikwa masikio na Zitto bali ushauri wa bure kwake,kwanza bado anayosafari ndefu ya kisiasa na after my critical analysis the only exit door kwake ni CDM hakuna ujanja Kafulila hata kama NCCR watamsamehe bado haina future nzuri wala mipango ya kueleweka mwisho atakuwa Mtatiro tuliyemshauri sana lakini hakutusikia! Chadema is very strong na kinakua kwa kasi kubwa achana na ndoto za kuinua NCCR huo mpango wa Zitto hauwezi kufanikiwa na ipo siku wewe na Zitto mtaelewa kwanini tumekuwa tukiwaambia hamuwezi kufanikiwa ktk siasa za Tz kwa mipango yenu dhaifu! Jisimamie Kafulila acha kupelekeshwa na Zitto au mwanasiasa yeyote tengeneza mustakabali wako mwenyewe! Unajua kwanini ulilia juzi mbele ya Mbatia? Siri yako! Hebu jifunzeni Nyerere aliwezaje kuwa mnyenyekevu na kuwashinda wenzake kisiasa kwa hoja zenye nidhamu bila utovu wa nidhamu na dharau hata wazee wakamwamini na kumpa nafasi! Mnatuangusha sana vijana wenzenu kwa papara zenu!mnaposifiwa mnavimba kichwa na kudhani mmekuwa malaika.mnachangia kuchelewesha ukombozi kwa papara za ajabu ajabu! Usidanganyike rudi CDM jipange ukijua malengo yako na jinsi utavyofanikiwa ktk mazingira ya siasa zetu.kwa sisi vijana makosa ni sehemu ya kujifunza!
 
Ni kuwa makini naye,kama ataomba kurudi lazima CHADEMA kijiridhishe kwamba kufukuzwa kwake NCCR-Mageuzi si kwa sababu ya ukorofi wake,bali ni kwa sab ya ukorofi ndani ya NCCR-Mageuzi
 
kwani CHADEMA haina mtu anayefaa kwenda kugombea kwenye hilo jimbo?
majembe yameisha CHADEMA? mimi nashauri CHADEMA wekeni jembe likapambane na yeyote yule kulitwaa tena jimbo hilo iwapi inakuwa ngumu kumpokea tena kafulila...
 
Mbona vyama ni vingi tu, anaweza hata kwenda UMD au aende CCK. Tatizo wala si kutumikia wananchi kama alivyodai Kafulila (sababu ya kulia na kupiga magoti), jamaa anawaza mkwanja aliokuwa akilamba kila mwezi as Mbunge. Kazi kweli, naamini akirudi CDM atakuwa na fundisho tayari.
 
Naunga mkono Kafulila kurudi CHADEMA, kwa kuwa daima alisimama kama mpinzani, na aliungana na chadema kule bungeni kupinga sera za kifisadi na kidikteta za CCM. Hata katika sakata la katiba ni kafulila na mkosamali waliokuwa bega kwa bega na wabunge wa CHADEMA katika kuukataa uozo wa CCM. For sure kafulila ni mpinzani wa kweli. Apewe nafasi nyingine CHADEMA.
Umesahau pia kuwa aliungana na CUF kuipiga vita chadema kuhusu kambi rasmi ya upinzani? Umesahau yeye na hamad walivyochukua fasta siti pale bungeni kuchukua nafasi baada ya chadema kutoka nje? Labda kama na nyie mko nyuma ya mpango wa Zitto kabwe.
 
Habari zilizonifikia kutoka source ya kuaminika ni kuwa Kafulia amefanya kikao na Chadema leo kwa madhumuni ya kurudi kwenye chama hicho. Nimedikezwa kwamba ameona kwenda mahakamani ni ngumu na pia kukata rufaa ndani ya chama ni ngumu pia maana uwezekano wa kumsamehe ni mdogo maana anahitalafiana na mbatia kuhusu jinsi ya kuongoza chama. Mbatia yeye anataka chama kiwe ccm B wakati kafulila anataka chama kiwe cha upinzani
CCM hawataki Kafulila aende CDM kwa kuwa wanajua atawamaliza,wao wanataka aende TLP ili jimbo liende CCM.hivyo humu ndani Jf kuna watu wanapinga sana Kafulila kwenda CDM kwani Ni Tishio kwa CCM.!
 
Mbona vyama ni vingi tu, anaweza hata kwenda UMD au aende CCK. Tatizo wala si kutumikia wananchi kama alivyodai Kafulila (sababu ya kulia na kupiga magoti), jamaa anawaza mkwanja aliokuwa akilamba kila mwezi as Mbunge. Kazi kweli, naamini akirudi CDM atakuwa na fundisho tayari.
Hafundishiki huyo maana anaendeshwa kwa rimoti na ZZK.
 
Kama CDM imewapokea watu kutoka CCM na kuwaruhusu kugombea iweje Kafulila ambaye yupo upinzani na amefukuzwa kwa kutetea Masla
 
Kafulila amefukuzwa akitetea maslahi ya upinzani na amefanya kazi kubwa sana ya kuteketeza Nccr na CCM .NCCR imedhirika kuwa CCM B na hakuna mtu anayeweza kugombea Kupitia Nccr akashinda hapa kuna mtihani kwa Mkosamali!
 
CCM hawataki Kafulila aende CDM kwa kuwa wanajua atawamaliza,wao wanataka aende TLP ili jimbo liende CCM.hivyo humu ndani Jf kuna watu wanapinga sana Kafulila kwenda CDM kwani Ni Tishio kwa CCM.!
Wewe ndo ccm, mnamtafutia upenyo aje kutuvuruga pamoja na kaka yake mliyemnunua. CDM haikosi watu wa kugombea bwana mwache aende CCM wala asiende TLP ili awahakikishie ushindi nyie. Anatakiwa ajue kwamba WanaCDM wengi sio wajinga kiasi kutuchezea. Kikatiba hazuiwi kurudi CDM, aje lakini ataingia kwenye kura za maoni na anaweza asichaguliwe na hata akichaguliwa tutaishi nae kwa akili kama tunavyoishi na mamluki wenu zito.
 
kwani CHADEMA haina mtu anayefaa kwenda kugombea kwenye hilo jimbo?
majembe yameisha CHADEMA? mimi nashauri CHADEMA wekeni jembe likapambane na yeyote yule kulitwaa tena jimbo hilo iwapi inakuwa ngumu kumpokea tena kafulila...
Haya ni mawazo ya CCM kupotosha ukweli, Tueleze kwa ni Kafulila asigombe kupitia CDM?
 
Back
Top Bottom