Zitto amburuza Kilewo polisi

Status
Not open for further replies.
Du Mkuu Punguza hasira, nahisi ukikutana naye njiani unaweza kumrukia na kumpa vichwa.

kaka Stein wee acha tu, hawa vibaraka wanauzi sana, nchi inatopea kwenye umaskini wa kutisha wao wanaendekeza njaa na usaliti.
 




CHAMVIGA,

Nimekusoma Mkuu.

Niwia radhi ndugu yangu, maana nalizongwa na vijishughuli vya hapa kibaruani kiduchu.

Huyo Yeriko Yohana Msambila aka "Yericko Nyerere"...mbona "shughuli" yake huyo tumeishaimaliza kitambo humu!

Yaani sasa hivi hata akienda kule jukwaa la MMU...pia nako wanamfukuza! Teeh! Teh! Teh!

Tatizo hawa Mods huwa wanajaribu kumbeba kila mara na kufunga/kufuta threads tunazommaliza nazo,japo zoote huwa anazianzisha yeye mwenyewe huyo ndondosa! Teh! Teh!

Yaani hiyo nchi yatia huruma na kusikitisha...leo inafikia wachovu wa maisha kama kina Yeriko, ambae hata pa kulala hana(analala bandani pale Mbutu!),ati nae ndo anatumiwa na kupewa sauti ya kuleta farka na kuchafuana baina ya Viongozi wa vyama vya upinzani maskini!? Dah!

Majambo haya si ndo alokua "akiyaogopa" yule Nyerere maskini...pale aliposema yakuwa siwezi kukaa kimya isije nchi "yangu" ikachukuliwa na "majibwa koko"!? Teh! Teh!

...ni kweli maneno ya "Mwalimu" aka "Baba wa Taifa" leo yanatimia! Duh!

Ahsanta.
 
 
for sure, it is imporant that zitto gets a good and serious advisor otherwise if he is left to continue like this he is likely to face uch more embarassing moments in politics

Unakaribishwa kuwa "advisor" wake...
 
Kilewo ahojiwa na Polisi
"Natoka Kigoma , nimeaga kwetu!
Kifo
changu kikitokana na mkono wa
mtu,
huyo hata panya hatabaki
nyumbani
kwao" - Zitto Zuberi Kabwe

Mimi hapo kwenye panya wetu ndo ameniudhi, panya wetu wamemkosea nini!??.
 
Jeshi la Polisi limemwachilia Katibu wa Chadema DSM Kamanda Henry Kilewo kwa kujidhamini mwenyewe tena bila ya Masharti yoyote.

Kilewo aliwasilimakao makuu ya jeshi hilo leo kuitikia wito.Alipofika alikuta anapaswa kuhojiwa kuhusiana na kumtishia maisha Naibu katibu mkuu wa Chadema aliyefukuzwa Zitto Kabwe.

Kulitokea mabishano makali ya zaidi ya saa moja na baada ya hapo alihojiwa kwa saa moja.

Inadaiwa Kilewo alilitaka jeshi hilo kushughulika na mambo ya msingi yanayowasumbua wananchi na kuachana na wanasiasa waliofilisika kisiasa na sasa wanatafuta pa kujishikiza.

Kamanda Kilewo anatetewa na Wakili Msomi Peter Kibatala ambaye ameteuliwa hivi karibuni na Kamati Kuu kuwa mkurugenzi wa sheria na haki za binadamu wa Chadema.
 
Zitto amejidhihirisha kuwa yeye ni gamba kwa 100%
 
Last edited by a moderator:
na kapuya atahojiwa lini kwa kumbaka mwanafunzi na kumuambukiza mimba na ukimwi?
 
Kileo ni yupi huyo au ndo yule kijana anaelelewa na Jimama!!
 
Kumbe zitto alishitaki?...yataisha, haya ni rahisi tu...kama tulishinda ugaidi hapo ni kunywa chai tu
 
Hongera kilewo luka 18 (1-9) zitto hayajui
 
Kaoa mke wa mtu, tena anayemzidi umri, analea watoto wa mwanaume mwenzake.

Utaachaje kuchanganyikiwa?

Hata watoto wako ukitaka wanalelewa tu kwani kuna shida? Au hata kama inahitaji kuolewa vile vile hakuna ubaya unaeza wekwa ndani tu usijali.

Controler
 
We shall overcome, never give up kamanda kileo, time will tell, kwang'oa hawa mashetani sio kazi ndogo lakini lazima watang'oka tu by hooks or crooks, never say die!!!!!
 
 
Kileo kazima anyee debe. Zitto hatamuachia. Mimi namsubiria tu yule dada alie nona. Lazima nimrithi.

Bila kusahahu wanaume watakavyo kurithi na wewe na kukupa Mpododo wa Hatare...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…