Zitto amburuza Kilewo polisi

Status
Not open for further replies.
Yericko ameukana ule waraka, kilewo akakae selo moja na babu seya ili atatuliwe marinda halafu yule mke wake akaandamane posta kupinga unyanyasaji wa kijinsia atakaofanyiwa mume wake.
 
Yericko ameukana ule waraka, kilewo akakae selo moja na babu seya ili atatuliwe marinda halafu yule mke wake akaandamane posta kupinga unyanyasaji wa kijinsia atakaofanyiwa mume wake.
Hapa na wewe unaona umejadili hii mada kwa hoja nzito!!.
 
 
Last edited by a moderator:
Nashauri zzk atulize akili kwa sasa hiyo ni kutapatapa na kukosa mwelekeo
 
 

Wanajf...
Ni kweli niliitwa na jeshi la polisi na mimi bila kusita nilipokea wito huwo kwa furaha kubwa sana. Tulifika makao makuu ya jeshi tukakubaliana tufanya hayo mahojiano kesho, jambo ambalo nimeitiwa ni moja tu, nilielezwa kuwa zitto kaenda kulalamika ila sikuambiwa kaenda kunilalamikia kwa kosa gani.

kwa hiyo baada ya kesho wakili wangu ataeleza umma wa watanzania kile kilichojiri kutokana na mahojiano hayo.

Ni weke wazi mambo kazaa ya msingi na kwaajili ya rekodi sahihi, sina hofu hata kidogo kuitwa na jeshi la polisi wala sintokaa niwe na hofu pale nitakapoitwa na jeshi la polisi kama sababu ni ukombozi wa nchi yangu na siyo ubakaji.

msiwe na hofu vitisho tutaletewa vikubwa zaidi ya kuitwa polisi au kufungwa jela, ila lengo letu ni lazima litimie la kukomboa nchi hii.

We shall overcome, never say never.
 
 
Last edited by a moderator:

Mungu yupo upande wetu.
 

Gaidi at work
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…