Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,979
Kamati kuu ya CHADEMA itoe tamko la kulaani Mgao wa Umeme. Maelfu ya watanzania tunakoseshwa mapato na huu mgao na hakuna mtetezi, tegemeo pekee lililobaki ni CHADEMA. Msiache maCCM waendelee kuharibu nchi kwa kukaa kimya
Mkuu tamko peke yake halitatosha maana wameishatoa matamko mengi. Sasa waende mbali zaidi kwa kuitisha maandamano. After all tumemiss Sana maandamano, sijui kwa nini CHADEMA siku hizi hawaitumii hii haki ya kujieleza. Huu Ni wakati muafaka, Mh Mbowe(KUB) itisha maandamano ya kudai umeme.