chuki
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,715
- 534
Vp mbona watapatapa sana? umeshindwa kuziona siku zako?
Umeelewa nilichoandika au umetokea bar ukafikia kwenye keyboard?
Vp mbona watapatapa sana? umeshindwa kuziona siku zako?
Ha ha ha ha ha ha ,bagosha naseka sana lelo!
Mtaishia jf tu hakuna wa kumgusa zitto hata mmoja vitanda vyote mlivyotandika lazima mtavitandua tu.
Usikimbie Kifaranga,njoo ujibu haya maswali hapa,
1.Nin maana ya udini??una maanisha nin??
2.Nin maana ya ugaidi?na nani hasa ni gaidi??
Hoja hii ya zitto imewashinda sasa naona mmeamua kuanzisha mada nyingine isiyo na kichwa wala miguu
Zitto ni mwanasiasa mzuri- there is no doubt.Tatizo ni kiburi (intellectual arrogance)
Aliweza sana kuikamata CHADEMA na sasa anaiendesha kama atakavyo.CHADEMA wanatakiwa kujifunza jambo moja dogo tu, ya kwamba hata binadamu wakati mwingine inabidi akatwe mguu, mkono au atolewe jicho kama moja ya kiungu hicho kitaonekana kumletea shida kuliko manufaa. Zitto ana options nyingi kwa kuwa yupo potential - anaweza hata kuanzisha Chama chake na akapata wafuasi wengi- kwa hali ilivyo sasa, si Chadema wala Zitto wana furaha ndani ya CHADEMA.