Zitto akera wajumbe kamati kuu CHADEMA - Tanzania Daima

Zitto akera wajumbe kamati kuu CHADEMA - Tanzania Daima

Status
Not open for further replies.
Sijui ukweli ni upi,lakini Zitto atambue kuwa bila kuwa CHADEMA atapoteza kabisa mvuto wake kisiasa na wengi wanaovutiwa naye hawatapenda hata kumsikia,asijidanganye kwenda CCM au NCCR ,huko popularity yake itaisha kabisa.CHADEMA bila Zitto pia itayumba kwa muda lakini with proper strategy na kama Zito atatumika kukichafua chama basi kinaweza ku survive vizuri
 
Kitu ninachojiuliza hivi kwanini Zitto Kabwe anatetewa kwa NGUVU SANA na PRO CCM?

Mimi sina tatizo na Zitto tena namkubari sana, Lakini hili suala la kutetewa kwa nguvu na CCM linanipa mashaka makubwa. Ninaweza kuwa siko sahihi lakini ni mtazamo wangu.

Hata ungekuwa mjinga kiasi gani hii ina raise eye blows!
Wapi katibu mkuu wa ccm au mwenezi wa ccm kamtetea zitto unaposema jambo uwe na ushahidi siyo kusema sema tu.
 
Sijui ukweli ni upi,lakini Zitto atambue kuwa bila kuwa CHADEMA atapoteza kabisa mvuto wake kisiasa na wengi wanaovutiwa naye hawatapenda hata kumsikia,asijidanganye kwenda CCM au NCCR ,huko popularity yake itaisha kabisa.CHADEMA bila Zitto pia itayumba kwa muda lakini with proper strategy na kama Zito atatumika kukichafua chama basi kinaweza ku survive vizuri
Zitto habebwi na chama anakubalika kwa hoja zake na mijadala yake yenye tija kwa taifa wala siyo propaganda za chadema kwani zitto umewahi kumuona kwenye mandamano ya chadema kuuza sura.
 
Kama amekuwa kero na vigezo vya kumwajibisha ikibid hata kumfukuza shime wafanye hivyo,yapo mengi ya kufanya na sio kilasiku zito kabwe zito kabwe,

Kama hauonekanik umuhimu wake na anaonekana ana case ya kujibu asomewe mashitaka yake halali,na vikao vya chama vimuwajibishe,kama kweli mnahis ni pandikiz la ccm yanin kuchelea kuendelea kuwa nae??imeshakuwa kero sasa...

Unashauri wachaga wamfukuze mwislamu mwenzako?

Najuwa amewavunja moyo mazuzu wake kama wewe kwa kukimbia vikao muhimu na vizito kama kamati kuu na ndio uwanja mpana wa kutoa hoja zenye mashiko kwa chama.

Waacheni wachaga na watu wa kaskazini wafanye vikao halali vya kikatiba, nyinyi wamakonde na wazaramo msubili mwenyekiti wenu wa Twitter na Facebook arudi kutoka Sudan ili muendelee na vikao vya mtandaoni.
 
Zitto habebwi na chama anakubalika kwa hoja zake na mijadala yake yenye tija kwa taifa wala siyo propaganda za chadema kwani zitto umewahi kumuona kwenye mandamano ya chadema kuuza sura.
Utake usitake anabebwa na chama,mbona CCM kuna watu wengi wenye hoja nzuri lakini jamii inawapuuzia simply because they are in the wrong side of the pitch?
 
Gazeti lenyewe lipo kipropoganda zaidi, kichwa cha habari tosha kupata picha halisi kuwa limekaa kimajungujungu tu.

Umelazimishwa uisome? Matokeo ya shule za kata haya, uwezo wa kufikiri na kuchambua habari uko chini ya sifuri. Pole sana, ilaumu serikali yako.
 
Nampongeza zitto kutohuzulia kikao hicho kwanza ndani ya chama hapendwe hata hao tanzania daima kila leo huandika tarifa mbaya kuhusu zitto safi sana zitto usiende make mule ndani pamejaa adui zako watupu.

Ndio aeleweke vipi asipohuzuria?
Au ndo baada ya hapo anaanzisha mipasho kwenye mitandao?
 
sioni tatzo katka hili..watu mnalikuza pasi na hoja za msingi. Kikao cha jana kilihudhuriwa na watu wote?? Hata kama walifka wote kasoro zzk, safar yake ni ya ghafla ama ilikuwa kwenye mpango. Kama ilikuwa kwenye mpango kwa nin haikuzngatiwa muda wa kupanga tarehe ya kikao kama zzk alikuwa muhmu hvyo? Kama ni ya ghafla ana excuse kubwa zaidi kwani hakupanga litokee.....some Cdm leaders na wafuasi wake wanatakiwa kubadili mtizamo wao dhidi ya zzk, kwasababu mtizamo ndio unawaua wala sio matendo ya zito"
 
WAKATI Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ikiendelea na kikao chake jijini Dar es Salaam, Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe, amekacha.

Zitto ambaye katika siku za hivi karibuni aliibua mjadala kwenye vyombo vya habari, hasa alipoingia kwenye malumbano na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, amekacha kikao hicho na badala yake ametoa taarifa ya kusafiri nje ya nchi.

Kwa mujibu wa habari hizo, taarifa iliyotolewa kwa wajumbe wa mkutano huo na Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Freeman Mbowe, ilisema kuwa Zitto yuko safarini nchini Sudan, lakini anatarajia kuhudhuria mkutano huo wakati wowote.

Habari kutoka ndani ya kikao hicho kinachofanyika kwenye Hoteli ya Blue Pearl, jijini Dar es Salaam zilieleza kuwa baadhi ya wajumbe wameonyesha dhahiri kukerwa na hatua ya naibu katibu mkuu huyo kutoshiriki.

Waliolalamikia hatua hiyo walisema kuwa limekuwa jambo la kawaida kwa Zitto kutohudhuria vikao muhimu vya chama huku akijua fika kwamba yeye ndiye msaidizi mkuu wa katibu mkuu wa chama taifa.

Mmoja wa wajumbe wa kikao hicho aliliambia gazeti hili kuwa moja ya ajenda zilizowasilishwa jana na Mkurugenzi wa Fedha na Uchumi ni kuhusu mapato na matumizi ya chama ambayo alidai ingefaa Zitto awepo kuisikiliza.

Mjumbe huyo ambaye aliomba jina lake lihifadhiwe, alisema ajenda hiyo ilikuwa muhimu kwa Zitto kuwepo kwani akiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), amekuwa akidai kwamba CHADEMA na vyama vingine hawana hesabu za mapato na matumizi ya fedha za ruzuku wanazopata kila mwezi.

Mkutano huo unaendelea leo.

- Yaaani badala ya kukerwa na uchaguzi wa Chama kutofanyika kwa miaka mingi hivi wanakerwa na Zitto kutokuwepo? Duh!!, zile zile siasa za majina!!

Le Mutuz
 
Unashauri wachaga wamfukuze mwislamu mwenzako?

Najuwa amewavunja moyo mazuzu wake kama wewe kwa kukimbia vikao muhimu na vizito kama kamati kuu na ndio uwanja mpana wa kutoa hoja zenye mashiko kwa chama.

Waacheni wachaga na watu wa kaskazini wafanye vikao halali vya kikatiba, nyinyi wamakonde na wazaramo msubili mwenyekiti wenu wa Twitter na Facebook arudi kutoka Sudan ili muendelee na vikao vya mtandaoni.

Matola umevurugwa sana kwa kweli,nikikusoma naburudika sana,hivi una akili kweli wewe??

Haya kila la heri endeleeni na iwe kwa wema kabisa,,UBONGO WA TEMBO HUU,lol...
 
Yote heri cha msingi jadilini maendeleo ta chama na jinsi ya kulikomboa taifa mjadala juu ya zito sijui mboe sijui lema hauwezi kuzuia mgawo wa umeme wala kuleta dawa kwenye mahospital wala kuleta maji kwa wananchi yote hayo yatapita lakini mahitaji ya watanzani yapo palepale.cdm tokeni humo na mikakati ya ukombozi achaneni na majungu tutapotea
 
Zitto habebwi na chama anakubalika kwa hoja zake na mijadala yake yenye tija kwa taifa wala siyo propaganda za chadema kwani zitto umewahi kumuona kwenye mandamano ya chadema kuuza sura.

mkuu unajikoroga sana humu jamvini. Na hii inanipa hakikisho wewe unatumika
 
Huyu Zito anaogopwa nini afukuzwe tu mbona hamad rashid cuf walimtimua Zito anatumika vikao anakwepa Kazi take ktk media km hamad rashid wa cuf alikuwa hivihivi mwendo wake
 
Matola umevurugwa sana kwa kweli,nikikusoma naburudika sana,hivi una akili kweli wewe??

Haya kila la heri endeleeni na iwe kwa wema kabisa,,UBONGO WA TEMBO HUU,lol...

Huna la kuongea umebaki na taharuki, hilo boya lenu mlilokuwa mnatokwa na mimate kuona anaonewa nadhani sasa hata nyinyi mazuzu wake hamuamini kama amekimbia kikao muhimu kwake kuhudhuria kuliko wakati wowote ule kabla.

Msubirini arudi mtapata habari motomoto kutoka kwake Facebook na twitter.
 
Zitto ni janga , ndani ya CDM na Taifa kwa ujula, huyu Bwana ni Ndumilakwili! I don't trust him at all! Halafu kama wanamlealea hivi, atimuliwe tu kama Madiwani wa Arusha..yeye ni nani ajioni keki hivyo kama mwanamke anayeringia Uchi wake!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom